Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
best umeagiza nini?? range au hammer?Kwa majibu ya aina hii utafukuza wateja ndugu yangu. Achana na wanaokukebehi wewe fanya biashara. Ukianza kujibizana na wachokozi utapoteza muelekeo na watu watakudharau kwa majibu ya aina hii.