Kwa wale wanaotaka Magari Japan

Kwa wale wanaotaka Magari Japan

huu ni utapeli wakuu kuweni makini uyu alikuwa anawaponda tradecarview sasa hizo picha zina nembo hiyo. siku nyingine uki copy na kupaste kuwadanganya watu ukumbuke kuondoa nembo. tumia adobe photoshop.

ata matapeli wana office
 
Kwa magari niliyoingiza tradecarview wananilipa wao ila wewe utalipa huko, kuna gari nyingine nauza mwenyewe napata order direct malipo ni ofisini bongo na Mikataba yote, kuna wabongo wengine wananiagiza magari kutoka Sweden, uk, USA hata Malaysia wapo hapa hapa jf na wala hawana tabu, Kama kuna mtu niliyemdhulumu ajitokeze.
 
Najua kuna madalali humu ndio wanaopata tabu.
 
Kwa magari niliyoingiza tradecarview wananilipa wao ila wewe utalipa huko, kuna gari nyingine nauza mwenyewe napata order direct malipo ni ofisini bongo na Mikataba yote, kuna wabongo wengine wananiagiza magari kutoka Sweden, uk, USA hata Malaysia wapo hapa hapa jf na wala hawana tabu, Kama kuna mtu niliyemdhulumu ajitokeze.

Ok mkuu ni vizuri pia ukaweka testmonial kwa mteja ambae ameagiza toka kwako na akapata gari lake ili tusipate hofu tukuunge mkono mtanzania mwenzetu
 
Nina milioni mia nataka fuso tano,nitakupataje mkuu,au nimpe babaako au kama una dada nipe namba yake nimtumie, sitaki maswali we nipe namba yake
.............ha ha ha ha ha haha.....wewe kweli umemuweza....eti "sitaki maswali"....ndo biashara gani hiyo?
 
Nafikiri nilikwisha litolea ufafanuzi hii issue sikusema sitaki maswali boss, nilisema sipo hapa muda wote kwa maswali ya hapa na pale lakini ukinicheki kwenye simu ni rahisi, I don't see the reason why you all exaggerate the issue.
 
Shida inakuja wengine walianza kwa kunipiga mawe sasa kurudi hapa na id zao itakuwa ngumu mkuu, kuna wengi wanakucheki tu kwenye simu Kama kweli huyu mtu yupo basi.
 
Watanzania hatujui biashara lugha ya biashara, wewe ukiwa kama mfanyabiashara hutakiwi kupanic wala kuwa na jaziba inabidi ucontrol hasira zako na kuavoid matusi madam unajua nn unafanya lakini ukitikiswa na maswali na wateja na wengine kukutukana na wewe ukasahau unachokitangaza nakuanza kijibizana nao jua unajidharaulisha nakupoteza hata wateja wenye nia kukutafuta.
 
Kwa hii miaka mi3 kasoro tokea a postvhuu uzi atakua amejifunza.

So don't raise the issue again fanya biashara...

Uzi ni wa 2013....

sokwe hivi bado business ipo
 
Back
Top Bottom