Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
Jf ina vituko sana ...Mode of payment inakuwaje unamlipa baba yako au unalipwa wewe? Kwanini usifungue blogspot na ku-upload gari unazouza.
Heshima kwako mkuu
Jf ina vituko sana ...Mode of payment inakuwaje unamlipa baba yako au unalipwa wewe? Kwanini usifungue blogspot na ku-upload gari unazouza.
Nimesema ofisi ipo ilala amana yupo baba pale na Mdogo wangu wa kiume pia. Taratibu zote za utumaji pesa na Mikataba zitafanyika hapo ofisini, ukitaka kununua gari Tradecarview ni hiyari yako ila ni utapeli mtupu huko, nitafungua website soon,kuna time zone pia Japan tupo mbele masaa 6, unaweza nicheki wakati mwingine nimelala na pia Nina kazi nyingi, ukinicheki kwa simu ni rahisi kwangu,wanataka Magari serious wengi wameshafanya mawasiliano nami na Mzee pia. Tuache porojo ndugu.
Basi itakuwa husomi habari za nyumbani kuna watanzania wengi wametapeliwa na tradecarview nafikiri unafahamu tradecarview sio kampuni ila ni website ambayo mtu yoyote mwenye kampuni ya kusafirisha magari hapa Japan anaweza kujiunga nao na kutangaza gari anazouza! Sio kampuni moja ni nyingi, wamejaa wapakistan na wahindi, wapo wajapan wachache pia, ila nalipa hongera kuweza kununua magari kwa watu usio wajua, ila inakuwa ngumu kununua kwa mtanzania mwenzio tena mwenye ofisi tanzania na dhamana kubwa!
Najua watu Kama nyinyi hamkosekani! Sipo hapa muda wote kwasababu nipo busy sana kwa hiyo siwezi jibu maswali wakati wote, nimesema ofisi ipo ilala kwa mawasiliano zaidi mpigie simu baba yangu 07484472008 or 0712272008 au unaweza wasiliana na Mimi mwenyewe namba nimeshataja! Sasa sijui shida ipo wapi!
Kwa majibu ya aina hii utafukuza wateja ndugu yangu. Achana na wanaokukebehi wewe fanya biashara. Ukianza kujibizana na wachokozi utapoteza muelekeo na watu watakudharau kwa majibu ya aina hii.Mpe mama yako achambie k... Yake! Au unaonaje? Au mku... Unakuwasha unataka bwana.
ninunulie hata bodaboda used japan dear jua kali bongooo!!!!!!!!Jf ina vituko sana ...
Heshima kwako mkuu
sokwe nina m 3 ! naitaji gari nzuri range au prado nitapata ? vitz au nissan may sitaki lakiniAsante kwa ushauri sister.
jibu bana utanipa gari au vipi?Duh! Hata wewe smile!