Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Customer care yako ni sifuri, yaani mtu atume USD 15000 kwako halafu gari lichelewe au asilione, na kauli yako ya mwanzo unadai hutaki maswali mengi sasa hapo humpati mtu. After all mbona kuagiza gari siku hizi simpo sana wala haihitaji kujuana na mtu
si ndio apo sasa yan nitoe UD 50,000 niagize gari harafu nikatazwe kuuliza maswali