Kwa wale wanaotaka Magari Japan

Kwa wale wanaotaka Magari Japan

Napatikana kwenye viber na line pia.
 
That case was closed long time, let's talk something different bro.
 
Nimeshatulia best, but sometime I'm tired of being mr nice guy.

kweli we ni sokwe kuanzia jina, avatar mpaka likutokalo mdomoni
Nina wasiwasi na na wewe kuanzia hiyo lugha yako mpaka..... mawazo yako....
 
Last edited by a moderator:
Sokwe hivi rav4 old model ya 1998 au 1999 naweza nikapata kwa bei gani?
 
Tradecarview sio kampuni ya kusafirisha magari isipokuwa ni website ambayo inatumika kutangaza biashara za wauzaji magari hapa Japan, kuna wapakistan, wahindi, warusi, wajapan sio wengi na mataifa mengine, majority ni matapeli nenda wizara ya mambo ya ndani bongo utapata taarifa za kutosha, Kama ulishawahi kununua huko ni kwasababu dealer wako mwaminifu.

Mkuu kweli tradecarview ni madalali watu hupeleka magari yao kwao wao huyauza
. Naamini kama ukifuata taratibuzao za malipo na wanakuonya kabisa usimpe contact na muuzaji ila pesa watumie wao kwa system yao ya paytrade wale waliotapeliwa hawakufuata taratibu izi bado nna imani nao sana kama utafuata taratibu stahiki kwao sababu watu wanaagiza kwao magari na wanaletewa kwa taratibu izo kila siku naomba kama kuna mtu aliibiwa nao aje atupe ushaidi hapa na alifuata njia zipi paytrade au ali dili na seler moja kwa moja
 
I got no time for your nonsense bro, u got the right to think whatever you want, at the end of the day serious people do contact me.
 
If you bought a car from tradecarview then what's ur problem bro! Keep buying from them and let the others buy from me or someone else!
 
I got no time for your nonsense bro, u got the right to think whatever you want, at the end of the day serious people do contact me.

Mkuu mbona unakuwa mkali unapoulizwa namna hii watu hatutakuamini we tangaza biashara yako sio unaponda za wengine usiwe mkali bana business haiendi ivyo wengi wamelizwa kama unavosema ivyo ndo mana nkakutolea mfano jamaa mmoja alikuja kama wewe aliwaliza wengi sana na ndugu zake walikuwa ilala pia usiwe mkali kiasi icho ndo kwanza unatangaza biashara
 
Sold out!!!! ImageUploadedByJamiiForums1382259869.048089.jpg ImageUploadedByJamiiForums1382259898.689483.jpg ImageUploadedByJamiiForums1382259921.709929.jpg ImageUploadedByJamiiForums1382259945.590998.jpg ImageUploadedByJamiiForums1382259963.699479.jpg ImageUploadedByJamiiForums1382260014.573618.jpg ImageUploadedByJamiiForums1382260069.532661.jpg ImageUploadedByJamiiForums1382260124.376052.jpg
 
Nimejiunga huko pia tafuta yusa international boss, I'm still workin on my website.
 
Nimejiunga huko pia tafuta yusa international boss, I'm still workin on my website.

Mkuu so wewe pia ni seller wa tradecarview? Kwa upande wako malipo tunalipa through paytrade au direct kwako?
 
Nilikuwa intrested tangu mwanzo kufuatilia,ulinipa ushawishi ila hiyo logo naulivyokuwa unaiponda,sasa sijui imefikaje kwako,ume copy na ku paste alafu sold out ukacopy mpaka logo. We nae ni walewale

Wewe sasa unataka akutukane.. subiri matusi..
 
Nilisema kuna watu waaminifu huko ila matapeli wapo boss, na kesi zipo nyingi kuna wengine wametapeliwa huko baadae anakuomba msaada umsaidie kutafuta watu waliomtapeli, issue Kama hiyo kwangu haipo na haitotokea, ofisi ipo bongo na Mikataba ipo, otherwise utakuwa unataka ligi.
 
mkuu malipo ni direct kwako au paytrade system kama wanavoshauri tradecarview?
Naomba nijibu
 
Basi itakuwa husomi habari za nyumbani kuna watanzania wengi wametapeliwa na tradecarview nafikiri unafahamu tradecarview sio kampuni ila ni website ambayo mtu yoyote mwenye kampuni ya kusafirisha magari hapa Japan anaweza kujiunga nao na kutangaza gari anazouza! Sio kampuni moja ni nyingi, wamejaa wapakistan na wahindi, wapo wajapan wachache pia, ila nalipa hongera kuweza kununua magari kwa watu usio wajua, ila inakuwa ngumu kununua kwa mtanzania mwenzio tena mwenye ofisi tanzania na dhamana kubwa!

Usihofu watanzania ndio tulivyo na ndio maana hatuendelei kitaifa ila we kazana tutanunua tu...
 
Back
Top Bottom