Kwa wale wachepukaji tu

Kwa wale wachepukaji tu

İnawezekana unaweza ukawa unasema kweli. Lakini mimi kwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka kumi ya uchepukaji uliotukuka, sijawahi kumsema mke wangu vibaya. kosa kubwa atakalofanya mchepukaji mwenzangu ni kuuliza habari za mke wangu. Mara nyingi anayemuulizia ndo unakuwa mwanzo wa talaka.

Tumekuja kuchepuka kivyetu, mke wangu ataingiaje hapo?

nawatakieni michepuko myema isiyo na mafumanizi. Chepukeni responsibly, ukimwi upo, hauna tiba na unaua.

Wasalaam,

ODM.
Mwenyekiti wa wachepukaji,
Bazazi Street,
Dsm.

NB... İbilisi asaidie hii post isisomwe na Khantwe

çc Kaizer, Mentor, Vin Diesel, KakaKiiza, Nicas Mtei kwa taarifa na kumbukumbu za chama.

Nimechekaaaaaaa asprin nakupenda bureee
 
Last edited by a moderator:
Wakuu ina maana humu hamna wachepukaji? Maana naona mnatoa sababu za kuchepuka, ni sawa lkn mm mtoa mada nililenga zaidi wale wanaocheat au waliowah kucheat watoe sababu zao binafsi kwann walicheat.

Hayo malalamiko ndo sababu ya kuchepuka I guess.......
 
Kuna vitu vingi vya kuzingatia kwanza demu ulimpata katika mazingira yapi moja hivyo ukiona demu mwingine akakushawishi ni lazima uchepuke pili inategeme huo mchepuko mko katika mazingira yapi pengine mpo mfindi na kuna uwezekano wa kuchepuka inabidi sasa mfanye hivyo ila sasa huo mchepuko unaweza ukawa umejizatiti kuteka kambi ukajikuta unahamia!

Aaaah kumbe huwa mnajua madhala yake! Mnakuwa bize kutafuta 20% mnaacha 80% cku ukistuka unakuta umezipoteza % nyingi kwa kung'ang'ana na 20%
 
Ukweli uchepukaji si mzuri hata kidogo pamoja na baadhi hupenda kuuhalalisha, uchepukaji husababishwa na emotional infidelity na attraction infidelity ambavyo husababisha watu kucheat, tofauti na wanawake wanaume hukubali kuwa ni tamaa ilisababisha lakini wanawake hupenda kujustify infidelity kwa kusema ooo jamaa hanirizishi dakika moja anakojoa dushe yake ndogo, hainifikishi, hajui ku-do. Mwanaume mmoja Marekani aliwahi kusema nikiwa na mahusiano mazuri na mpenzi wangu sifa zote hupewa najua ku-do, mashine yangu nzuri lakini tukiachana naambiwa sijui ku-do na nakojoa baada ya nusu dakika kiasi kwamba sijielewi. Swali linakuja iwapo hamriishi, dushe ndogo, anakojoa baada ya nusu dakika how they managed to keep relationship at first place? Jibu ni uzushi kuhalalisha kucheat

Emotional infidelity na attraction infidelity zipo hutokea makazini, vyuoni, makutanoni, sehemu za starehe dawa ni kuziepuka pia mazingira ya kuruhusu ushawishi na hii ya emotional infidelity wanaume wanaijua sana kuitumia unahakikisha mwanamke anakuzoea unamfanyia mambo ambayo mmewe unajua hafanyi kwasababu na yeye hafanyi kwa mkewe mfano kumsifia kila mara, kumpa attention, maongezi, kujadili chochote bila kuhodhi majadiliano, kutomcriticize kwa lolote hata kama ni baya, kumwambia maneno mazuri mfano anapendeza, ananukia, mcheshi, ana hekima, ana akili maneno ambayo ni kinyume kule kwake iwapo anagombana na mmewe au mpenzi wake na wanawake nao hukubaliana na kuonawaambiwacho ni kweli wakati inaweza kuwa ghriba ya kupatwa. Utakuta mwanamke naye anasifia ooo Karizamani wee mwanaume poa na mme wangu angekuwa kama wewe ningeishi kwa furaha wakati huyo huyo Karizamani anayesifiwa ananyanyasa mkewe nyumbani. Tuwe waangalifu na mitego maana wanadamu tumepewa uwezo wa kuepuka chochote sababu Mungu alitupa self consciousness, self discipline, self respect, self awareness and self determination
So good.....
 
Ubinafsi, ujinga na ufala hakuna jipya. Kwa ufupi hakuna sababu yoyote ya kuchepuka kwa wanandoa wanaoelewa maana ya kwanini wapo kwenye ndoa. Ntarudi baadaye...
Tusijaribu kutoa ushauri wakati sisi hatuna uzoefu. Walio katika ndoa ndiyo wanaoweza kutusaidia kujibu hili. Ndoa nzuri inapaswa kuongelewa na aliye na ndoa nzuri, ndoa mbaya inafaa kuongelewa na wanandoa walio katika ndoa kimeo. Michepuko wakati mwingine inasaidia kuondokana na divorces zisizo na tija ambazo kwazo zinaweza kuathiri viumbe mliowaleta hapa duniani kwa raha zenu. Kwa anayechepuka ukimsikiliza ni tatizo la 6X6 ukikumbuka kuwa kila siku si jumatatu katika maisha ya mwanadamu.
 
Tusijaribu kutoa ushauri wakati sisi hatuna uzoefu. Walio katika ndoa ndiyo wanaoweza kutusaidia kujibu hili. Ndoa nzuri inapaswa kuongelewa na aliye na ndoa nzuri, ndoa mbaya inafaa kuongelewa na wanandoa walio katika ndoa kimeo. Michepuko wakati mwingine inasaidia kuondokana na divorces zisizo na tija ambazo kwazo zinaweza kuathiri viumbe mliowaleta hapa duniani kwa raha zenu. Kwa anayechepuka ukimsikiliza ni tatizo la 6X6 ukikumbuka kuwa kila siku si jumatatu katika maisha ya mwanadamu.

kumbe kuchepuka hakuathiri viumbe mlivyoleta duniani, we ril difa
 
hahahaaa ni nggumu sana kusma jpo kikubwa ni tamaa tu ndo tatzo kubwa hasa
 
Mkuu Asprin hujatupa sababu mojawapo ya kwann unachepuka, ndio hoja iliyoko mezani.

Mkuu hakuna sababu kuchepuka zaidi ya kutafuta ladha tofauti. Ni kama vile mchele mara nyingi hupikwa wali. İkipikwa pilau, au biriani ni utafutaji wa ladha nyingine tu. Mwisho wa siku wali ndo chakula kikuu cha kutumia mchele. Hebu fanya wali ndo awe mke, na pilau, biriani na vitumbua iwe michepuko... umenielewa???
 
kumbe kuchepuka hakuathiri viumbe mlivyoleta duniani, we ril difa
Madhara ya michepuko na talaka huwezi yalinganisha. Jiulize ni kwa nini mwana mama unaolewa? ni ili upate kitu roho inapenda. Kama huwezi kukipata itakuwaje? Tuache unafiki. Lakini kama nilivyosema kila siku si jumatatu mwanzo wa wiki kuna mwisho wa wiki. Mfano inawezekana mwenzi akawa impotent aidha kwa magonjwa au kiajali, je kama nyie wakristo (mimi mwislamu na talaka inakubaliwa) mwanamama afanyaje? Najua wapungufu wa fikra watadai KUVUMILIA. Katika hali hii ili kuzuia kuchepuka itakubidi mwanamama uombe talaka na ukipata talaka viumbe vitaathirika ile mbaya. Lakini akili mukichwa mchepuko hauwezi kuleta madhara kama ya talaka. Familia nyingi zimelea watoto hadi kuwa watu wazima kwa ile kitu kuchapiwa ni SIRI ya ndani.
 
kila mtu akiplay pat yake y uchepuke
Mpenzi usisahau ubinadamu. Kuna tatizo la kukosa hamu ambalo huwakumba wanandoa wa upande mmoja na second puberty kwa upande wa pili. Hili likitokea, hasa katika miaka ya kukoma kutumia, mchepuko wenye staha ni njia mwafaka ya kuondokana na kusamabaratisha familia hasa mateso kwa viumbe mnavyovileta duniani kwa raha zenu.
 
Back
Top Bottom