İnawezekana unaweza ukawa unasema kweli. Lakini mimi kwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka kumi ya uchepukaji uliotukuka, sijawahi kumsema mke wangu vibaya. kosa kubwa atakalofanya mchepukaji mwenzangu ni kuuliza habari za mke wangu. Mara nyingi anayemuulizia ndo unakuwa mwanzo wa talaka.
Tumekuja kuchepuka kivyetu, mke wangu ataingiaje hapo?
nawatakieni michepuko myema isiyo na mafumanizi. Chepukeni responsibly, ukimwi upo, hauna tiba na unaua.
Wasalaam,
ODM.
Mwenyekiti wa wachepukaji,
Bazazi Street,
Dsm.
NB... İbilisi asaidie hii post isisomwe na
Khantwe
çc
Kaizer,
Mentor,
Vin Diesel,
KakaKiiza,
Nicas Mtei kwa taarifa na kumbukumbu za chama.