Kwa wahehe & wabena.

Hamna njaa? Wakati Isimani walipata njaa hadi wakaomba msaada wakapewa mahindi wakaomba na mboga (hope kk security were in strike) wakapelekewa njegele.
mkuu hawa jamaa wa Isimani nao walijisahau sana, walikula kk securitty wote hadi vitoto, nadhani wamekoma hawatarudia tena.
 
Na mabinti wao sasa ukiwatomgoza majibu nayapenda 'Ukiniona nauma majani ujue nimekubali, niangusage tu, sambi sako mwenyewe' Kwa lafudhi ya kihehe lol
kwa jinsi wanavyo jibu we mwenyewe unapata picha jinsi mabinti wa kihehe walivyo na adabu, mwanamume akijibiwa hivyo lazima mwenyewe afurahi.
 
Tuwekee na tafsiri mkuu,
si unajua karibia kila familia ina member mmoja kutoka huko kwenu,
hata mimi nina waalimu wawili wa kwaya wanatoka huko huko,
usitupunje bana.

Nyela kamwene!
Jamani hili songi linanikumbusha enzi hizo tunazamia harusi mitaa ya mafinga!
"iligimilo ulunyengo...udado unyoko..kangalage ulimage,ulalya kumwaka!
Hebu tukumbushane songi nyingine jamani!i miss home!
 
Miaka ya 80 hadi 90 wahehe na wabena walikuwa wanyenyekevu sana
hata ukapata binti kutoka huko una uhakika wa mtoto wako kukua vema
sijui miaka hii wamepatwa na nini tena, yaani lol wamebadilika ile mbaya.
 
Ha ha ha ha ha ha ha
Acha majungu Mamdenyi, wangu ameondoka mwezi uliopita baada ya kukaa naye miaka 4
Wakinuna mbona watoto watapata kwashakoo

Tuwekee na tafsiri mkuu,
si unajua karibia kila familia ina member mmoja kutoka huko kwenu,
hata mimi nina waalimu wawili wa kwaya wanatoka huko huko,
usitupunje bana.
 
Ha ha ha ha ha ha ha
Acha majungu Mamdenyi, wangu ameondoka mwezi uliopita baada ya kukaa naye miaka 4
Wakinuna mbona watoto watapata kwashakoo

Sema tu mnaogopa asije kuwa promoted from a house girl to mke mwenza maana dhambi ya HAPANA hawana kabisa
 
Miaka ya 80 hadi 90 wahehe na wabena walikuwa wanyenyekevu sana
hata ukapata binti kutoka huko una uhakika wa mtoto wako kukua vema
sijui miaka hii wamepatwa na nini tena, yaani lol wamebadilika ile mbaya.

utandawazi mkuu,hakuna boya siku hizi.
 
mawazo kibao sawa na tamthilia ya kusadikika...
Kuwa na magari na majumba yasiyohesabika...
Niweze kuishi maisha ya Iringa kama niko Amerika...
Sababu nina mkwanja ningemuoa mtoto wa Malaika...
ningefanya uhalifu polisi nao wasingenishika...
Kunako mahakama mshiko wangu ungetumika...
Ningechora tatoo kichwani nywele ningesuka............................................:....................:..............lakini yote hii ni kama...kama
 
Na mabinti wao sasa ukiwatomgoza majibu nayapenda
'Ukiniona nauma majani ujue nimekubali, niangusage tu, sambi sako mwenyewe' Kwa lafudhi ya kihehe lol

hahahaa umenkumbusha mbalii...
Eti jamaa alimtongoza binti sa kimeru...jamaa anamwAga mistari binti kauchuna tu anamcheki...mwishoni binti akamwambia jamaa ...kiruuu nkabe ngwaraa....lol
 
Back
Top Bottom