Kwa wahehe & wabena.

vunjajungu

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
576
240
Nyela kamwene!
Jamani hili songi linanikumbusha enzi hizo tunazamia harusi mitaa ya mafinga!
"iligimilo ulunyengo...udado unyoko..kangalage ulimage,ulalya kumwaka!
Hebu tukumbushane songi nyingine jamani!i miss home!
 
Nyie akina Kamwene, mnataka niwape ugali na idogi?
Mnadhani raha mnavyoumua maandazi kwa ulanzi?

Kongosho hao ukiomba ugali watakuambia hatuna [mahindi wametengeneza komoni]
ukiwaambia basi naomba maji ya kunywa watakuambia labda kalasi kapo,
ukiwaambia kuhusu nyama choma hapo utaletewa kk security...
ukiomba mboga ndio hatari zaidi watakuuliza ya malawi au ya tarime?
ukiomba kamba ya manila ufungie mizigo wanaweza anza kulia... maana watahisi unataka kujinanii
 
Last edited by a moderator:
kumbe na wewe unajua kuwa wanatumia ule mnafu Mkuu?

Wakiuwekea na karanga watoto under 14 hawalewi.

Afu watoto under 2 wananyweshwa maji ya miti ili walale mama zao wapate muda wa kulima.

Hahahahahaaa! Yale maji ya miti ndo Ulanzi - pombe yao kuu. Jambo plastics watakuwa wameuza sana yale makopo ya lita moja kule maana kwa mtu unaweza ukakosa kijiko ila sio lile kopo.
 
kumbe na wewe unajua kuwa wanatumia ule mnafu Mkuu?

Wakiuwekea na karanga watoto under 14 hawalewi.

Afu watoto under 2 wananyweshwa maji ya miti ili walale mama zao wapate muda wa kulima.

hao ndio wahehe..... umkute analalamika... unaweza jikuta unamuachia huru hata kama una ushahidi woote kuwa katenda kosa!!
 
Kongosho, Mmwaminifu na Smiling Saint hamna lolote mnatuonea wivu tu. maana kwa wahehe hakuna njaa mambo yote utayapata, komoni, ulanzi, kk security (dogi) mnafu vyote vipo mshindwe wenyewe. karibuni.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho, Mmwaminifu na Smiling Saint hamna lolote mnatuonea wivu tu.
maana kwa wahehe hakuna njaa mambo yote utayapata, komoni, ulanzi, kk security (dogi)
mnafu vyote vipo mshindwe wenyewe. karibuni.

Mh!! Jeji tuwaonee wivu?? yaani una bahati mie sio mod.... ningekulima ban hivihivi..... lol..... by the way... sis tuna samaki, ng'ombe na mazao kibawa!! nyie nasubiri siku nisikie mnasafirisha vi-pelee vya mto ruaha kwenda nje..... uuuuuuwi
 
Last edited by a moderator:
Kongosho, Mmwaminifu na Smiling Saint hamna lolote mnatuonea wivu tu. maana kwa wahehe hakuna njaa mambo yote utayapata, komoni, ulanzi, kk security (dogi) mnafu vyote vipo mshindwe wenyewe. karibuni.

Hamna njaa? Wakati Isimani walipata njaa hadi wakaomba msaada wakapewa mahindi wakaomba na mboga (hope kk security were in strike) wakapelekewa njegele.
 
Last edited by a moderator:
Mh!! Jeji tuwaonee wivu?? yaani una bahati mie sio mod.... ningekulima ban hivihivi..... lol..... by the way... sis tuna samaki, ng'ombe na mazao kibawa!! nyie nasubiri siku nisikie mnasafirisha vi-pelee vya mto ruaha kwenda nje..... uuuuuuwi
yaani Smiling Saint ungenilima ban ningekutwanga na debe 2 za ulanzi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom