This is a diamondigger,its more than gold.............lol 😛lane:
Tumeshamshauri,kazi kwake sasa!!
mnajadili nin?
rose naomba msimamo wako manake wameniandama mpaka nimeamua kujificha.
Halafu ukishamchagua mmoja, hao wengine unawapeleka wapi?
Post ya kwanza hiyo jamani.
Mimi sio Mkaka wa JF, mimi ni Mbaba wa JF
Chabo ruksa?
Marytina naomba nikuulize swali kwani wewe umegeuzwa Test Tube????????
Well said!!...........Lakini sasa Lizzy........kwani mwenye hela hawezi kuwa na mapenzi? naona kama uchagga unarudia hapa, especially umarangu.
najaribu kusoma katikati ya mistari ya bidada hapo juu
wewe bigitaria nimesama wanaume hamuhusiki manake mpo kutukandia tu wadada, niwe na mmoja akinipiga chini nianze tena kuweka mitego ntanasa lini au unataka niolewe uzeeni au nikose kabisa wa kunioa? UMBEA TU HI THREAD NI KWA WADADA .
Sio tukumbuke pesa ni muhimu katika maisha kwani nani hajui hilo banaa, wewe sema unapenda pesa acha kutuzuga hapa banaaa
nani kakwambia mimi mwanaume?........omba radhi.
Tu parles comme une pute?
kwa hiyo nani kati yenu anayetaka mume? wewe au mama yako?
are you sensing something LD? hebu pekua ma-file.
Post ya kwanza tu ananiita mwanaume.........na jina langu kama la Roselyne
rose naomba msimamo wako manake wameniandama mpaka nimeamua kujificha.
sijakwambia naolewa mwaka huu, bado nipo ila nataka kufanya uamuzi wapi pa kwenda.Mhhhh! makubwa haya! weye ndoa wala haikufai bora uendelee kuwahadaa tu hao jamaa na kuendelea kuwapanga mstari.
ukiskia mcharukio ndo wewe:frusty:
wewe nu waukweli manake wakaka wenzako ni wambeya kazi kusemea vya wadada,big upKwakuwa umetubagua na me nakukomoa sisemi kitu!
tatiana nakwambia ukitaka uwe na mmoja and the only one siku wazushi wakimpa uongo utajinyonga kwa maumivu bora uwaweke wengine standby ila sio uwape.hiyo ya marytina mi siiwei kabsaaaa..
kamuulize demu wako alikupendea nini huku ukimwangalia machoni utajua namna hela inavyo....Wewe ni ndaza kapime ukimwi kabla ya kumpoteza masai inelekea vimidola vyake vimekupagawisha wakati ulikuwa huko uswazi na jamaa kibao sasa umeona mwezi na jua unashindwa kuchagua nikipi kinachofaa kwa maisha yako!!huu nimtazamo wangu kwakuwa nipo kwenye jamiiforums my great network!!
afrod kuolewa ntaolewa ila niolewe na yupi?masai au mmarangu,kumbuka ccm haitabiriki mara gafla hamna tena cha loan board watoto watasomaje univarsity?Olewa dada yangu. ..
Saaa nyingine tunachagua kupita kiasi mwishowe twakosa kila kitu. .
tuna tafufuta mwanaume aliye perfect kwenye kila idara. .lakini hakuna alie huvyo. Ukipata mwenye asilimia 80% that is close to perfect dear. .
Haya mie nasubiria mwaliko. .
tatiana nakwambia ukitaka uwe na mmoja and the only one siku wazushi wakimpa uongo utajinyonga kwa maumivu bora uwaweke wengine standby ila sio uwape.
waubani usha safisha banda?
jiulize upendo utalipa bili za matibabu?wanangu wajesoma st.kayumba cz of upendo,upendo hulipa ada za shule, ELEWA MUME SI SWALA LA MCHEZO ni yeye atakayekuwezesha survival ya watoto.TUNAKULA ILI TUISHI, TUNAISHI ILI TO PASS OUR GENETIC MATERIALS TO NEXT KIZAZI sasa ya nini uzae wakati unajua watoto wataperish?au tubadilishe ccm tuweke chadema sera na mwelekeo ueleweke mapema.Ooooooohhhhhh dear najua tunapenda penye fedha. .
Lakini mie naona fuata penye upendo. .
Fedha ni mchanga .
Na upendo ndo ardhi. .
:a s 39:
ndio,vipi sasa chalii yangu,na hamu ya beer???:smile-big:
afrod kuolewa ntaolewa ila niolewe na yupi?masai au mmarangu,kumbuka ccm haitabiriki mara gafla hamna tena cha loan board watoto watasomaje univarsity?