Kwa wachaga tu.

Kwa wachaga tu.

Kwa kawaida wanaochinja mbuzi na kufanya matambiko ni wanaume. Hii ni sehemu ya tambiko. Dada zetu wanalijua hilo.

Na ndiyo maana hawalalamiki humu! Sisi tuko huku nyuma ya nyumba(Kari) na akina Nguli, Chris, tukikata mbege na ndafu, na wao(wake/wadada) wako mbele ya nyumba wakinywa uji wa ulezi(N'so), mtori(ulawi), huku wakisubiri kuwaelekeza akina, Itetei lya kite, Msongoru, nk waje tuimbe wimbo wa TUPALIZE SAUTI ZEETU, WOOTE TUMTUKUZEE LEOOO!
 
Nawatakia wachaga wote wk end njema na xsmas ndio hivyo inakaribia tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu zangu za xsms natuma kwa XSPN NA KYACHAKICHE
wengine siwafahamu.....

Meku kuoitolah

Wakuu tuweke mikakati jinsi ya kuria kinyalu kidogo pamoja. Kama vipi hata kuokya kimburu kitutu halya kwa Kipanga

Mi naregister uwepo wangu nchi ya ahadi kuanzia tar 19 Mpaka 27th December. Kwa watakao kuwepo karibunyi ko kimbeke kidogo
 
Jingle Bells : Lyrics

Dashing through the snow
In a one horse open sleigh
O'er the fields we go
Laughing all the way
Bells on bob tails ring
Making spirits bright
What fun it is to laugh and sing
A sleighing song tonight

Oh, jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh

A day or two ago
I thought I'd take a ride
And soon Miss Fanny Bright
Was seated by my side
The horse was lean and lank
Misfortune seemed his lot
We got into a drifted bank
And then we got upsot

Oh, jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh yeah

Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh

Mkuu najiona kama nazikamua kona za msambiazi alfajiri alfajiri vile, huku kamziki kembamba kanaigonga
 
Wazee wa nyumbani wadumisaha mila hao. Kyila mndu naore kyipata kyakye kya wari wo mbekye.
 
All in all, Shose shicha na tumefurahi sana. way forward, tunakutana wapi xmass hii au kabla? Nani ajitolee kutukutanisha nchi ya ahadi? Twaweza panga mahali muda na saa tukakutana japo tukaria kidogo wakuu. Au maonaje?

Nawakilisha
 
Mzee tutawasiliana siku zikikaribia pia tuna ugeni wa baadhi ya WAPWA wa JF wanaenda nchi ya ahadi kutembea na kuona sherehe za xsmas zinavyosherehekewa. Stout
lipo garage linapigwa sopusopu.

Mzee tutawasiliana siku zikikaribia pia tuna ugeni wa baadhi ya WAPWA wa JF wanaenda nchi ya ahadi kutembea na kuona sherehe za xsmas zinavyosherehekewa. Stout
lipo garage linapigwa sopusopu.

Hiyo bold imekuzawadia senksi mpwa. Tukifika pale njia panda ya himo tunaweka kituo. Tunapiga shoping ya Mikate ya Arusha na Colgate ya Kenya. Raha kuingia mndenyi kagiza kakiwa kameshaingia. Kesho wale wataalamu wa kulamba kiatu (kupinga mizinga) wakikuuliza umekuja lini unawapiga fix ohooooooo! Nna wiki sasa! Njia ya kupunguza mizinga hiyo! Stuka mangi!
 
Lyamba kyaaru, ikia iriso(pole ya jicho sijui tafsiri yake kwa kiswahili) ha ha ha ha ha, umenichekesha vijijini nao kwa mizinga sio mchezo.
 
Lyamba kyaaru, ikia iriso(pole ya jicho sijui tafsiri yake kwa kiswahili) ha ha ha ha ha, umenichekesha vijijini nao kwa mizinga sio mchezo.

Ilyamba kiaru ni kupiga mzinga. Ikia riso ni mbinu ya kijanja ya kumendea ngera! Stuka mpwa! Kama ulimtwanga mtu kinywaji, kesho anakuja kukusalimu kama ulikia riso (Ulipona jicho eti- Si unajua mausiku huchelewi kula mweleka jicho likapata kasheshe, ofkozi huwezi kumtoa hivihivi mtu aliyekuja kukujulia hali)
 
Ilyamba kiaru ni kupiga mzinga. Ikia riso ni mbinu ya kijanja ya kumendea ngera! Stuka mpwa!

kama mmekosana na ndg wazee wanataka mbuzi/mburu na ISALE LA NJOFU HA HA HA HA wazee bana wanajua kula pia.

CHRSTTR3.gif
CHRSTTR3.gif
CHRSTTR3.gif
CHRSTTR3.gif
 
kama mmekosana na ndg wazee wanataka mbuzi/mburu na ISALE LA NJOFU HA HA HA HA wazee bana wanajua kula pia.

CHRSTTR3.gif
CHRSTTR3.gif
CHRSTTR3.gif
CHRSTTR3.gif

Na hapo usije ukakosana na wife akakushtaki kwa babu. Ni mburi mbili mazee. Dume na jike! Wameku walikuwa na ujanja sana wa kujipatia kilaji kilaini. Mbuzi unatoa wewe kwa ajili ya faini ya kukosana na mkeo. Cha ajabu we unakula nyama nyingi kuliko waifu uliemkosea! LOL! Oroko Mangi!
 
Ilyamba kiaru ni kupiga mzinga. Ikia riso ni mbinu ya kijanja ya kumendea ngera! Stuka mpwa! Kama ulimtwanga mtu kinywaji, kesho anakuja kukusalimu kama ulikia riso (Ulipona jicho eti- Si unajua mausiku huchelewi kula mweleka jicho likapata kasheshe, ofkozi huwezi kumtoa hivihivi mtu aliyekuja kukujulia hali)
Halafu stori nyiiingi, ooh! nimeona kama nisinge kuja kukuona/ kujua umelalaje usingenielewa, ooh mara jana tulishiba sana, tulifurahi sana, mbasa ya jana ilikuwa kiboko! Eee, kumbe bado unakumbuka kuimba vile? Ili mradi sifa kede kede. Mara unampiga na buku anaenda kuzimua kama ngera hamna! Maisha yanakwenda mbele!
 
Hahaha! Umekula senksi meku! Na kuna ile ya madingi kupiga mizinga kiaina: Kijana wangu wakati ukiwa mdogo ulikuwa una akili sana, nakumbuka ulifokuwa na miaka miwili ulikuwa unanipenda sana kweli. Hukutaka mtu mwingine akubebe asee! Unakumbuka wakati ukiwa na miaka mitatu nilifokubeba ukanikojole.a? mama yako alitaka kukushapa nikamkatasa. We kijana wangu kabisa, tumetoka mbali. Ndio maana kila siku nilikuwa nakuombea kwa Mungu ufanikiwe katika maisha!............ Hapo mzee si chini ya buku mbili lazima ikutoke! LOL!
 
Isale pia linachanganywa na NYAAMBI na N'GOORA!

nasikia wakichanganya huu mkorogo maaalumu lazima ukubali kumsamehe mtu ni kama labadiri vile. Halafu kijijini wanaheshimu sana katekisimu kuliko biblia YESU NA MARIA ni maarufu kuliko Mungu.
 
nasikia wakichanganya huu mkorogo maaalumu lazima ukubali kumsamehe mtu ni kama labadiri vile. Halafu kijijini wanaheshimu sana katekisimu kuliko biblia YESU NA MARIA ni maarufu kuliko Mungu.

Yesu na Maria na Yosefu! Lazima Yosefu ahusishwe!
 
Back
Top Bottom