Kwa wachaga tu.

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Nawatakia wachaga wote wk end njema na xsmas ndio hivyo inakaribia tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu zangu za xsms natuma kwa XSPN NA KYACHAKICHE
wengine siwafahamu.....

Attachments

  • MOSHI BABY.bmp
    420.2 KB · Views: 2,392
duh hii kali umenikumbusha mbali nguli,ukienda moshi unakuta wazee wamejipanga mstari enzi hizo sie watoto watoto miaka ya 80's hivi,ukifika unaonjeshwa kidogo na hilo kombe linaitwa 'kirahu'.then unachuja kwa meno unameza maji unatema mapumba! haya bana
 
he he he tuko paomoja kwa zaidi ya miaka 3 sasa ndio naelekea moshi, napenda kisusio nakimisi sana. Nyimbo za Lucky Dube N BOb marley bila kumsahau Judy Boucher. Nafurahia tamaduni yetu.
 
hawavnao wapo ndani ya utamaduni wenu?
 
Hoi mwana mwele chamecha.......... Mungu kibariki hichi chirahu!!
 
Nawatakia wachaga wote wk end njema na xsmas ndio hivyo inakaribia tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu zangu za xsms natuma kwa XSPN NA KYACHAKICHE
wengine siwafahamu.....

Chamecha mono mshiki yuuuuuu cha kilora basi....
 
Nawatakia wachaga wote wk end njema na xsmas ndio hivyo inakaribia tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu zangu za xsms natuma kwa XSPN NA KYACHAKICHE
wengine siwafahamu.....

Duh!naona umemsahau Kilasara na Iteitei lya kite.nawatakia xmas njema ndugu zangu
 
duh hii kali umenikumbusha mbali nguli,ukienda moshi unakuta wazee wamejipanga mstari enzi hizo sie watoto watoto miaka ya 80's hivi,ukifika unaonjeshwa kidogo na hilo kombe linaitwa 'kirahu'.then unachuja kwa meno unameza maji unatema mapumba! haya bana

Shimbonyi mmeku!.. inu ngaseka mpaka baasi..hehe hee... mkuu kule mlimani kwetu tunaita 'kata' ila sikuizi kwenye vilabu vya mbege wame ireplace na yale makopo ya plastiki wanaita 'kitochi' hehe hee.... umenikumbusha mbali sana mkuu, hapo hiyo mbege huwa inanyeka baada ya kula 'machalari'
 
Aika monoko, nilikuwa sijakuosma vizuri jina lako WANDE opposite yake ni WAMA ha ha ha ha te te, tuko paomja, sifa yetu kubwa hatusahau nyumbani kwetu kila mwaka lazima tutie timu achana na hao wanaotuponda.
 
duh hii kali umenikumbusha mbali nguli,ukienda moshi unakuta wazee wamejipanga mstari enzi hizo sie watoto watoto miaka ya 80's hivi,ukifika unaonjeshwa kidogo na hilo kombe linaitwa 'kirahu'.then unachuja kwa meno unameza maji unatema mapumba! haya bana
Kumbe humu tunajadili seriouse issues na vitoto, ndio maana tunashindwa kuelewana some times,
 
Unashindwa kuelewana nani? au nani anekuelewa wewe? kwa hio umri mkubwa ndio uwezo wa kuchambua mambo? kwa umri wako wewe umewahi kuchambua nini?
 
Hongereni wachaga,hata dada zenu siku hizi siyo kama zamani,wanamvuto kinadharia na vitendo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
salamu kwa maro,shirima,lyimo,materu,urassa,shayo,kisanga na wengine
 
Nawatakia wachaga wote wk end njema na xsmas ndio hivyo inakaribia tukutane MOSHI kuhesabiwa. Salamu zangu za xsms natuma kwa XSPN NA KYACHAKICHE
wengine siwafahamu.....

Hahaha Mpwa umenikumbusha mbaali sana. Akchuale najaza form ya likizo. December lazima nikatie timu NAZARETI. Mzee hiyo ngaru/shori ikiwa imejaa wari (mbege) iliyotiwa mseseve halafu uwe una mustachi inapendezaga sana. Manake ni lazima upulize sambu ziende mbali halafu unaria mkupuo mmoja wa nguvu. Hahaha! Raha yake muwe wawili, ukisharia unamkabidhi mwenzio naye arie. Hahaha!

Kama ni kipindi cha krisimasi, kamburu (mbuzi) kameshachinjwa, watoto wanachemsha supu huku vijana wakiiweka sawa samu (damu) kwa ajili ya kisusio. Unapiga kisusio halafu unakandamizia na mbege kama sadolini moja hivi, Moshi inakuwa kama Nazareti vile.

Wapwa karibuni Moshi December tufanye get tugedha pale. Bia itakuwa Mbege, mdudu itakuwa mbuzi. Sore wanywaji wa banta, nyie mtakunywa nyalu (mbege togwa). Wapenzi wa maji tutawachotea kwenye mto, yale mnayouziwa lita kwa buku kule mtakunywa bure ndoo kadhaa!
 
Thats what m talkin about.....
Mzee umeua...uko deep ile mbaya
 
Hongereni wachaga,hata dada zenu siku hizi siyo kama zamani,wanamvuto kinadharia na vitendo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
salamu kwa maro,shirima,lyimo,materu,urassa,shayo,kisanga na wengine

Actuale hawajabadilika, ukweli ni kwamba mlikuwa hamuwajui vizuri. Baada ya nyie kuyajua mapenzi sasa ndio mnaona wamebadilika. Big up dada zetu! You have proved them wrong. Mko juu kwa kila kitu.

Kimaro, Ngowi, Kimario, Massawe, Mramba, Mrema, Kileo, Ndesamburo, Mallya, Shine, Mrosso, Lema, Utou, Karia na wengine wote ni ma home boys.
 
Unashindwa kuelewana nani? au nani anekuelewa wewe? kwa hio umri mkubwa ndio uwezo wa kuchambua mambo? kwa umri wako wewe umewahi kuchambua nini?
Si mnaona jamani, kitoto hiki hata adabu hakina, oneni sasa kinaanza kutapika utumbo,
 
Back
Top Bottom