Hiyo haina cha sauti ya ngapi. We unajimwagia voko zako unavyotaka. Hahaha! Nimekumbuka wimbo anaoupenda sana bibi yangu:
Alaleluyaaaa, aleluya kasaliwa, aleluya kasaliwaaaa aah
Bwana Yesu mwokosi, furahi kasaliwa, ukombosi kufika, furahi kasaliwaaa,
Mwokosi amesaliwaaaaaaa, furahi amesaliwaaaaa. X 2
Kusaliwaaa bwana wetu Yesuuu Kristuuu, kweli ni furaha kwetuuuu