Kwa wachaga tu.

Jitokezeni zaidi..... tukutane the gridi(Moshi)
 
Jingle Bells : Lyrics

Dashing through the snow
In a one horse open sleigh
O'er the fields we go
Laughing all the way
Bells on bob tails ring
Making spirits bright
What fun it is to laugh and sing
A sleighing song tonight

Oh,
jingle bells, jingle
bells
Jingle
all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle
bells
Jingle
all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh

A day or two ago
I thought I'd take a ride
And soon Miss Fanny Bright
Was seated by my side
The horse was lean and lank
Misfortune seemed his lot
We got into a drifted bank
And then we got upsot

Oh,
jingle bells, jingle
bells
Jingle
all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle
bells
Jingle
all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh yeah

Jingle bells, jingle
bells
Jingle
all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle
bells
Jingle
all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
 
Jingle Bells : Lyrics

Dashing through the snow
In a one horse open sleigh
O'er the fields we go
Laughing all the way
Bells on bob tails ring
Making spirits bright
What fun it is to laugh and sing
A sleighing song tonight

Oh, jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh

A day or two ago
I thought I'd take a ride
And soon Miss Fanny Bright
Was seated by my side
The horse was lean and lank
Misfortune seemed his lot
We got into a drifted bank
And then we got upsot

Oh, jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh yeah

Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh
Jingle bells, jingle bells
Jingle all the way
Oh, what fun it is to ride
In a one horse open sleigh

Mbaali kuulee naaasikia, malaika waa mbiiiinguniiii,
Wakiimbaa weeeengi pia, wimbo huo juu aaangani.
Gloooh! ooooh! oooooh! ooooooh! riaaaaaa, in excelsis deeeeeoh!

Wachunga tuuaaaambieni, sababu za wiiiiimbo huooo,
Mwenye kwimbiiiiiiwaaaa ni nani, juu ya nani wimboooooo huo,
Gloooh! ooooh! oooooh! ooooooh! riaaaaaa, in excelsis deeeeeoh!

Je hamjuiiiii jambo kuuuu, la kuzaliwaaaa mwooookozi,
Sababu za wiiiiimbo huo, ni wa kumshukuru mwoooookoziiiii,

Unaimba sauti ya ngapi na misa ya ngapi? uko deep! Umeikamata thanks yangu ya kwanza kwenye mwezi wetu huu wa kumi na mbili.
 
Unaimba sauti ya ngapi na misa ya ngapi? uko deep! Umeikamata thanks yangu ya kwanza kwenye mwezi wetu huu wa kumi na mbili.

Hapo linapigwa na lile piano la kujaza na upepo, unalikumbuka? Iwe misa ya usiku, nusu ya waumini wananukia mbege. Wageni toka mijini wao huwa hawaendi ya usiku, wanakutana misa ya tatu kuonyeshana nani ana gari yenye akili kuliko mwenzake: Vita ya ma-academicians toka Dar na wana-apollo toka Arusha huwa inakuwa kali zaidi. Hahaha! Ma-shoe shiners wa Mombasa na Nairobi huwa wanapambana na wachoma nyama wa Moshi na Arusha. Panakuwa patamu sana Moshi. LOL!
 
Leo mimi nazitunuku tu, nataka xsms hii turushe thread moja tokea MASHATI tuwasiliane na wapwa watakao kuwa mjini.
 
Leo mimi nazitunuku tu, nataka xsms hii turushe thread moja tokea MASHATI tuwasiliane na wapwa watakao kuwa mjini.

Hehehe! Ukizingatia mbunge wetu Mramba (wenye wivu wanamwita fisadi eti) kashatuwekea lami, hata Nissan March inafika mpaka tarakea. Unapiga breki pale njia panda ya Himo unapiga shopping ya mikate na kolgeti ya Kenya. Hahaha! Stout lazima likachinjiwe kamburu liache ujinga wa kugoma kustati nyakati maalum! Vameku na Vasheku lazima walipe baraka zao eti. Tunalifanyia kitu inaitwa mtchetche.
 
hAHAHhahahahahahahahahhah hahahahahahahhahahah ahahahahaha

ulifikiria nini kaka....? umenchekesha kinoma....hahahahahhhaa

Tatizo unacheka afu unasahau kugonga senksi! Mchaga wewe?
 
Nimegonga senksi za kufa mtu kwani mbavu sina ......lol.....

Kama kweli umefurahi tunakuomba utuwekee lyrics za wimbo wa JIMU RIFSI/JIM REEVES hapa, za country tutakutunuku na wewe kwa senksi.
 
Unaimba sauti ya ngapi na misa ya ngapi? uko deep! Umeikamata thanks yangu ya kwanza kwenye mwezi wetu huu wa kumi na mbili.

Natabiri hiyo sauti lazima itakuwa ya 6 iliyochanganyika na mbege kwa wingi, misa ya usiku alafu mbaya zaidi kachelea kuingia anakuta nyimbo ndio inaishia ishia, tee tee tee haha ha ha, interesting JF kiboko yao.
 
Ha ha ha ngoja aje ajibu tuhuma.
 
wonderful moment, meet friends and relatives, share together christimass tunes, lovely, nawatakia christimass njema wameku ,wakyeku, wanakye na wapora, msisahau januari ni shule mkanywa bege then januari watoto wanarudishwa ada, pia kwa wale wakware vijijini siku hizi ni kama mjini, chonde chonde bebeni malboro
 
udini tu............ila msikae vikao vya jinsi ya kuwakandamiza wale wa nyanda za juu maana idara nyeti zote na serikali na makampuni binafsi mmeshikiria.....nasikia mkiona tu majina fulani fulani hawapati labda awe alikusaidia sana ukiwa masomoni.
Xmas njema.................
 
Natabiri hiyo sauti lazima itakuwa ya 6 iliyochanganyika na mbege kwa wingi, misa ya usiku alafu mbaya zaidi kachelea kuingia anakuta nyimbo ndio inaishia ishia, tee tee tee haha ha ha, interesting JF kiboko yao.

Hiyo haina cha sauti ya ngapi. We unajimwagia voko zako unavyotaka. Hahaha! Nimekumbuka wimbo anaoupenda sana bibi yangu:

Alaleluyaaaa, aleluya kasaliwa, aleluya kasaliwaaaa aah
Bwana Yesu mwokosi, furahi kasaliwa, ukombosi kufika, furahi kasaliwaaa,
Mwokosi amesaliwaaaaaaa, furahi amesaliwaaaaa. X 2

Kusaliwaaa bwana wetu Yesuuu Kristuuu, kweli ni furaha kwetuuuu

Alaleluyaaaa, aleluya kasaliwa, aleluya kasaliwaaaa aah
Bwana Yesu mwokosi, furahi kasaliwa, ukombosi kufika, furahi kasaliwaaa,
Mwokosi amesaliwaaaaaaa, furahi amesaliwaaaaa. X 2
 
kweli miesi imekaribia babangu, jana rafiki angu etie alienda garage kufanyia gar yake sefisi ili akikanyaga chuma ni mguu tuu hadi moshi yani,
 
udini tu............ila msikae vikao vya jinsi ya kuwakandamiza wale wa nyanda za juu maana idara nyeti zote na serikali na makampuni binafsi mmeshikiria.....nasikia mkiona tu majina fulani fulani hawapati labda awe alikusaidia sana ukiwa masomoni.
Xmas njema.................

Thats all you can say! Watu wanaongelea kwenda kula krisimasi nazareti ya Afrika wengine wanazungumzia mambo ya udini na ufisadi. Kuna majukwaa ya kazi hiyo binamu, nenda huko ukaanzisha thread utapata wachangiaji wazuri hapa ni kazi moja tu: KULA KRISIMASI KWETU MOSHI!
 
Back
Top Bottom