Mabinti, niwaibie siri hii kama mnataka kuolewa na vijana wa maana

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Jioni ni njema kwangu. Natumai hata kwenu ni njema. Ila kwa mabinti wenye umri wa miaka kuanzia 25+, jioni hii si ya furaha kwenu. Najua mnayopitia wanangu!

Kwa kujua huko, nimetafakari na kuamua kuja na huu ushauri kama siyo taarifa ili kuwasaidia binti zangu.

Ushauri umejikita kwa uhalisia wa dunia yetu ilipofikia pamoja na hulka za vijana wengi wa kiume wa miaka hii na zama hizi.

Mambo yamebadilika wanangu.
Nataka kuwaambia hivi: siku hizi au tuseme 'era' hii mtaji wa mwanamke ni ubongo(akili) pamoja na kalio(tako).

Wanangu vijana wa kiume wanataka TAKO. Mabinti mlio chuo mnataka kuolewa mara baada ya kuhitimu, tafadhali hakikisheni mnakuwa na matako makubwa na laini. Naongea kimasihara ila ndipo tulipofikia. Usisahau kuwa na 'brain' kubwa pia.

Binafsi kuna kijana wangu nimemuambia katika machaguo yake aangalie akili na tako miongoni mwa vigezo vikuu. Ila afanye afanyavyo, akileta mtu hana tako sitomuelewa. Baba nataka TAKO na nimeshamuambia.

Mabinti wanangu, nasikitika ila ndipo tulipofika. Mazoezi ni mengi, siyo lazima uwe na tako kubwa, tengeneza hata katako ka wastani tu kupitia mazoezi rahisi tu ili uongeze mvuto. Soko gumu limeshakuwa 'saturated' wanangu.

Niwe muwazi mimi niliangalia TAKO pia, nilioa TAKO na akili. Siyo tako tu bali laini pia na la wastani.

Pambana upate akili, TAKO kisha jitunze na ujilinde.
TAKO! TAKO! TAKO!
Vijana wengine hupenda Tumbo, Titi, Tako yaani TTT, hawa wasiwaumize kichwa sana. Achaneni na tumbo sijui titi, suala ni TAKO.
Wengi mtanicheka na kunidhihaki kwa ushauri huu ila niwaambie. Hakuna 1B pasipo 100.

Msije sema sikusema.

NB: msidanganyike na wanaume wanaosema hawataki tako ni mtego huo. Maneno yaliyo ndani ya funga semi ni ya kiingereza.
 
Kila kijana ni wamaana kulingana na Nafasi, hadhi, na tabaka lake.

Hao mabinti watapata vijana wa kufanana nao.

Kosa ni pale MTU kuhama nafasi yake na kutamani nafasi ya mwengine.
Kosa la pili ni kuwafananisha Watu Wakati Watu hawafanani, wapo katika makundi.

Ni vizuri kueleza kuwa kama Binti anatafuta kijana wa Aina Fulani basi naye awe na Sifa na hadhi hiyohiyo.
Sio Binti Hana Mbele wala nyumba analafu anatafu kijana mwenye Mbele na Nyuma.
Au kijana Hana Mbele wala nyuma alafu anatafuta Binti mwenye Mbele na Nyuma.

Hapo watakosa maana.
Kila MTU ni wamaana katika Daraja na hadhi yake
 
Back
Top Bottom