Kwa tuliopigwa na vitu vizito kichwani kisa mapenzi tukutane hapa

hali hii nipo nayo halafu nahudumia kabisa
Hilo zoezi mimi nashkuru nimeliweza na sas yeye ndio analalamika tu
Principle yangu sai ni kama sifurahishwi na binti simwambii tuachane maana najua haisaidii kisaikolojia
Kikubwa we piga kimya tu hata kama unampenda vipi na akikutafuta usimjibu muda huo huo tusiongozwe na vichwa vya chini

UPATIKANAJI WAKO WA SANA UNAPUNGUZA THAMANI YAKO

TOO AVAILABLE REDUCES YOUR VALUABLE
 
Mapenzi huzuzua akili sana haswa pale yule umpendae kwa dhati anapokwenda kinyume na makubaliano yenu ama kutenda ndivyo sivyo!, karibuni tu share mambo hayo.

Binafsi nilikua na mpenzi wangu wakike ambae tulikuwa jirani,awali alianza yeye kuniapproach nami nikazama penzini tukapeana vyakupeana muungwana nikanasa nakujikuta nikitopea kwenye penzi lake hata kuona nimepata kile kilichobora na nilikipenda haswa!.

Baada ya muda kama miezi fulani Kuna siku mazingira yalijitengeneza, Kuna jirani jamaa tu tulikuwa na ushikaji sio kivile, jamaa alinipatia simu yake nikakaa nayo muda mrefu tu bila hata kuiwasha lakini ilipofika usiku nikaamua niiwashe ili niicheki namna ilivyo nikiipenda basi napanda dau!.

Chaajabu simu yake hakuweka password!,hivyo nikapata Uhuru wa kuizungukia simu yake katika apps mbalimbali ndipo nikaongia uwanja wa sms nakukuta namba ya mpenzi wangu akichati na jamaa!.

Kufupisha ni kuwa chat zao zilionyesha wameshakulana,iliniuma sana tena sana mwili ukawa mzito ghafla hata raha nikakosa usiku huo!.
Nilichoamua sikumwambia haraka mpezi wangu ila nilikuja kumwambia siku kadhaa mbele japo alibisha ila nilimuambia yote niliyoyasoma!.

Mapenzi ni ugonjwa wa akili nduguzanguni na yanauma sana, nashukuru hivi sasa nipo sawa hii stage ukivuka salama shukuru sana.
Pole sana aisee. Yanauma lakini hayaui.
 
Daah.Mimi kuna kademu tangu kapate ajira hakajawai tena kujibu text zangu tangu mwezi w nne mbaya zaidi simu nilimnunulia mwenyewe.Nimeamua kuachana nae kabisa najua alikuwa anitaki bali tu shida tu zilimfanya awe na mimi.
😅😅😅😅😅😅😅
Pole sana chief simu ndio imeenda ila kausha!
 
Daah.Mimi kuna kademu tangu kapate ajira hakajawai tena kujibu text zangu tangu mwezi w nne mbaya zaidi simu nilimnunulia mwenyewe.Nimeamua kuachana nae kabisa najua alikuwa anitaki bali tu shida tu zilimfanya awe na mimi.
Mkuu mbna hi imemiuma simu ya bei gani ulimnunulia huyu kabinti
 
Daah.Mimi kuna kademu tangu kapate ajira hakajawai tena kujibu text zangu tangu mwezi w nne mbaya zaidi simu nilimnunulia mwenyewe.Nimeamua kuachana nae kabisa najua alikuwa anitaki bali tu shida tu zilimfanya awe na mimi.
Nikionaga haya ndio huruma na Hawa viumbe hunitoka kabisa
 
Mm yangu kali kuliko yako Ndg mtoa mada. Ngoja kwanza SIMBA amvurumishie Moto Yanga afu naileta humu... jiandaeni kufuta Machozi.... ilibaki kidogo tu humu mletewe TQNZIA
20211209_203453.jpg
 
Masela wapi mnafeli.

Zama hizi acheni kupenda penda,,, hizi ni zama za kuviziana...mademu wanavizia pochi,, na sisi tunavizia ziGo...
 
Tamaa ilimponza fisi. Huyo uliyemuacha kwa kuona hakufai ni mtu bora sana kwako.
Simu ya smartphone na button, kuna wakati simu ya button ni nzuri sana kuliko smartphone. Ukitaka kuona hilo chukua smartphone na button. Nenda kijijini, hiyo smartphone utaweka kwenye droo.
Nilimuacha mtu ambae nna malengo kwa ajil yke nmempambania Sana lakin mwsho wa cku ndio ivo tena Kuna mda nataman nmpgie lakn najikaza maana narud nyuma naon Kam nalazimisha mapenz
 
Utazoea tu ni swala la mda sio riziki yako usimtafute mi waduanzi kama hao nafuta kote na nablock kila kona
Mkuu nilikuwa binti wa Arusha kwa mapenzi yake had nilitengana na mtu niliekuwa nae kwa wakati huo lakin baada ya miezi kadhaa amebadilika Sana unapiga cm Mara 9 ya kumi ndo anapokea ukiacha kumtafuta hakutafuti , tulikuwa tuna mipango mingi Sana na malengo ya kuwa mke na mume.,

Kilichosababisha nikae pembenini swala la mawasiliano Mimi ndio nalazimisha mawacliano Kati ya mim na yeye nikaacha kumtafuta huwezi amini na yeye yupo kimya wiki ya pili Sasa nimeona nipambane tu na Hali yangu mtu Kama uyu anaonesha kabsa hayupo nami npo hapa baa ya jirani napta moja Moto moja barid
 
Daah.Mimi kuna kademu tangu kapate ajira hakajawai tena kujibu text zangu tangu mwezi w nne mbaya zaidi simu nilimnunulia mwenyewe.Nimeamua kuachana nae kabisa najua alikuwa anitaki bali tu shida tu zilimfanya awe na mimi.
Pole
 
Back
Top Bottom