Kwa tuliopigwa na vitu vizito kichwani kisa mapenzi tukutane hapa

Tamaa ilimponza fisi. Huyo uliyemuacha kwa kuona hakufai ni mtu bora sana kwako.
Simu ya smartphone na button, kuna wakati simu ya button ni nzuri sana kuliko smartphone. Ukitaka kuona hilo chukua smartphone na button. Nenda kijijini, hiyo smartphone utaweka kwenye droo.
Mtu Kam huyu anakuaje Bora kwangu em karibu kufafanua nione huo ubora wake
 
Wanaume wa siku hizi wanalalamika sana. Kila kona ya mitandao ya jamiii unakuta mwanaume analalamika kuachwa na mwanamke..

Yani baadhi ya wanaume ni kama vikinda kila mara ng'aaa ng'aaa... Mademu wengi, ukiona haeleweki unapiga chini unarukia mwingine, ndio maana wapo wengi kutuzidi sisi.

Wanawake ndio wamekuwa wagumu siku hizi, hawalii kabisa. Pumbavuuu na nyie mkifika kwenye ndoa ndio mnakimbizwa na wake zenu
 
Back
Top Bottom