Kwa tabia hizi nani akuoe?

Kwa tabia hizi nani akuoe?

1.2 take home is not bad??? Makelele mengi kumbe mpo cheap hivi!!

na mimi nashangaa mnavyolalamiiika. mara 95% of the world is poor sijui hao wenye hela mtawatoa wapi.

i havent said anything about the man. the man is under 30 and and is on the process of establishing his business (a construction company). has a car!
kwa mimi 1.2 ni nyingi kwa huyu, at 27 he is this far. i respect him.

kama unaona 1.2 ni cheap, usilalamike kutoa 50 ya salon......65 ya waxing.....24 ya Amarula ya kukaa home.....picking me up to dates.....na weekend makange ya rose garden. (I finance my own clothes thank you)
 
Hiyo akili ya kutafuta una uhakika ni akili ya kutafuta kweliii?

Usikute lisaniii tu mipango miingii halafu haitakaa i-materialize then dissappointments zikafuata...

Yanini usimpende mtu the way u feel the chemistry btn u too?

Hii mambo ya kuwekeza hopes zako za maisha kwa binadamu,ukija kuchanganyikiwa usishangae...Mungu mwenyewe kawashindwa binadamu,utawawezea wapiii?

Kila jambo lina namna ya kulithibitisha ....

Kuna muda wa kuona kama huyu ni msanii au laa,mtu wa mipango na vitendo utamuona tu wakati mkiwa "safarini",na mtu wa mipango bila matendo nae utamuona tu huko huko "safarini"

Kuna mipango na namna ya kufikia mipango ile,hapa pana ugumu kwa wale ambao wana mipango hewa,huwezi kuwa na mpango hewa halafu ukawa na njia za kuukamilisha,hii ni sawa na wakati unapokuwa shule mwalimu anasahihisha njia ya kupata jibu na sio jibu

Kama umeibia jibu huwezi kuwa na njia ya kulipata jibu,huwei kuwa na mpango hewa halafu ukahangaika kutafuta njia ya kuifanikisha wakati huna hata mpango wa kuutimiza mpango huo kwasababu ni hewa

Ni kosa kuweka hope zako kwa mtu lakini mume au mke ni mtu anaekuhusu kwa asilimia 100,ukiwa na mume au mke zuzu mahitaji yake utayabeba kwa kiwango ambacho hukutakiwa kubeba kwakuwa huyo nae ni binadamu na anatakiwa a provide kwa kiwango shahiki

Mke wa kiwango chake na mume kwa kiwango chake

Unapokuwa na mke ambae hawezi hata kubuni mradi wa kuku wa mayai na namna ya kuufanikisha huyo ni mke wa kiwango kipi?

Unapokuwa na mume ambae hata hawezi kujua familia yake inahitaji kiwango gani cha pesa na namna ya kupanga mipango ya kukifikia hicho kiwango huyo hafai kuwa mume
Cyan6 yupo sahihi kwenye maeezo yake hapo juu aliyoni quote!
 
Last edited by a moderator:
Dada zetu Cyan6 na Housegirl wamekutana na vimeo vya wanaume basi hawana hamuuuuu kabisaaa

Jamani life is good,relationship sio rocket science

Get another nigga of your choice ...stop whinning

you cannot be talking about me....
 
Nimeulizia hela coz ulikua unaitaja saaana...

Nimengalia take home yake,I see nothing special...still,mna-struggle like the rest of 94% of us....so,u selling that coochie for 1.2 per month?u are better than that...

and hes selling his dick for the same amount.

for as long as I get what i need 1.2 is enough for me thank you
 
Whaaaat?

What do whaaaat?

Her life or "our' life?

And by the way,why would i do that for her?

HER life. sio unamlalamikia wakati you have nothing to offer.

same with the woman, if she has nothing much to offer the man, asimsemeseme mwanaume wa watu
 
kila anaeombwa ela anakuja kulalama huku jamvini.. kwa uzi huu basi ni dhahiri wanaume suruali wamejaa mtaani.. eboo ebu mpite kando huko

Umeona eewh! na ndo tumegoma hatutaki mwanaume suluari mwanaume pesa vngine mbwembwe!!
 
and hes selling his dick for the same amount.

for as long as I get what i need 1.2 is enough for me thank you

Our Typical African mentality....utegemezi,utegemezi....mnaona relationship/marriage is the good life ticket financially?Really?
 
na mimi nashangaa mnavyolalamiiika. mara 95% of the world is poor sijui hao wenye hela mtawatoa wapi.

i havent said anything about the man. the man is under 30 and and is on the process of establishing his business (a construction company). has a car!
kwa mimi 1.2 ni nyingi kwa huyu, at 27 he is this far. i respect him.

kama unaona 1.2 ni cheap, usilalamike kutoa 50 ya salon......65 ya waxing.....24 ya Amarula ya kukaa home.....picking me up to dates.....na weekend makange ya rose garden. (I finance my own clothes thank you)

Kwahiyo ukipata the guy who is ahead of him financially unampiga chini unaenda kwenye greener pasture?

Then to the other next richer guy,and so and so on....Bible calls these type of ladies ------!
 
Our Typical African mentality....utegemezi,utegemezi....mnaona relationship/marriage is the good life ticket financially?Really?

walaaa. Utegemezi is not my thing. I am the most independent woman I know after my mum. kwanza I think I have wasted so much money in my relationship. I pay for dates. Looking good Costs!! sinaga tabia ya kuomba hela nikiona hanipi I simply susa. we hunipi hela unajua naishije!! halafu unataka unichukue ukaniShow off bure bure.

hizo helaa nikizifikiria ningeweza kufungua magenge kabisaa.

I repeat, there are things I want in life. Otherwise I'll be unhappy. If you cannot make me happy while should I be with you!!
 
Umeona eewh! na ndo tumegoma hatutaki mwanaume suluari mwanaume pesa vngine mbwembwe!!

wanachosha niajeee mamii jmn.. mi nimewachoka, huna hela alafu unataka kumiliki mtoto mzuri.. mtaishiwa kugongewa na kuwaita mashemeji... ebooo
 
Kwahiyo ukipata the guy who is ahead of him financially unampiga chini unaenda kwenye greener pasture?

Then to the other next richer guy,and so and so on....Bible calls these type of ladies ------!

(let me make it clear this 1.2 man is not a keeper simply because he is a sexist and a theist who strongly beleives that he will convert me to Islam)

a woman who moves from man to man for money....I dont know what she wants.

I know what I want. I Want to make a life with a man ambaye ana future. Even if my next wil be less than 1.2, kama he is ambitious as I am, I will be more than happy to make a lifetime contract to never share our genitals with other people and have kids and travel the globe etc etc
 
And life goes on,mapenzi hayalazimishwi,kama vile ulivoona yeye hajafikia vigezo na masharti yako ndio vile na sisi wanaume tunaangalia je unavigezo vya kuwa mke?kama huna unapigwa chini hata kama wewe ni multi-millionaire

Sema tunapgana chini. kwani wewe ni mama yake aliemzaa?
 
Hiyo point ya ' HUWAPENDI NDUGU ZANGU' kumbuka sio ndugu wote wanabebeka, wengine ni visirani mwanzo mwisho, hawajielewi, wanataka uwalambe miguu. Kama ndugu zako hawana gubu, hilo si tatizo hata kidogo.
 
benteke, mimi natoka Tarime, headquater ya hiyo issue unayoisema, na hatujawahi "sinyaa" on the contrary we love our women lot with deep affection. Let alone issue zingine ambazo kwa hiari siziandiki humu. Your problems are psychological and of course you might be missing something only practice can tell. Napotoka mtu kama huyo mdada anayo "added value" and my deep respects too.

cc miss chagga, Tarime one,

Wickama nimekuelewa mkuu ,hata kama ingekua ni wewe hujawai kuona ilivyo lazima ungeshtuka, ..ni sawasawa na umvue msichana pichu alafu ukute ana kadushe....nafikiri ndio maana wakurya ni wakorofi..maana inaitaji moyo wa ziada kabisa. K- iliyo keketwa inatisha jamani.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana ... pesa yako ndiyo kipoozeo

He..! ebu ni PM kwanza uniambie ukweli kama umekeketwa dear...maana K iliyokeketwa naiogopa balaa. Maana nnaweza toka baru na pichu mkononi...kwi.kwi.kwi.
 
Back
Top Bottom