Kwa tabia hizi nani akuoe?

Kwa tabia hizi nani akuoe?

Yes miserable kama nakutegemea unilishe, unilipie makazi, univalishe, card ya bima ya afya unayo wewe, nauli ya daladala inatoka kwako hapo ukiniacha nitameza nyembe!
Ni dudu tu tena kibamia hahaaaaa get a life nigger!

kabisa!!! mtu anajiseme tu "utaolewa na nani". ukimwangalia muoaji mwenyewe unabaki kumwangalia ex-bibi harusi, wondering what she was thinking.

wanaume muwe mnajiangalia basi,'kabla ya kuwasemasema wanawake, what do you have to offer to change her life??
 
Nipo pouwa mimi nimekeketwa antena haishiki dudu siyo ishu kwangu Muhimu pesa yako

Usinikumbushe aisee...mpaka mwili umenisisimka. Seriously nilikutana na msichana aliyekeketwa...yaani dushe lilisinyaa palepale..sikuweza kufanya kitu. Niliogopa nakuona huruma sana..its terrible jamani. Ahhhh. Are seriously , pole sana.
 
That's true! Fair! kwa sababu sipendi kulea marioo huwa normally napenda mwanaume anayejituma whether mi ni multi millionaire au siyo!
Hivi mi ndiyo naleta ugali we mwenzangu umekaa sebleni unaangalia TV mwaka mzima na kutembea na taulo na kugombana na housegirls, nikirudi home saa 4 ucku unapata wapi ujasiri wa kuniuliza ulikua wapi?
Mwanaume anayeheshimika ni yule anayewajibika kama kichwa kwny Nyumba si mpiga mizinga kwa mkewe

OMG yani emesema kila kitu nilichoexperience...are you family perhaps?

wanaume sikuhizi ni WAVIVU!!!! sema tu ni siri zinawekwa ndani but in most households, wanawake ndo the main bread winners kwa Tazania hii! hapo anasubiri hela iletwe halafu aitumie kama ilikuwa yake vile, kila mtu afikiri ni mwanaume ndo kaleta hela. WANATAKA HESHIMA YA KUWA MAIN BREAD WINNERS, BUT ARE THEY???

sasa kama hicho kiboyfriend kinakuacha kisa haujampa hela, I Dont know. hata ungeolewa naye, you would have been the man of the house! It aint pretty. I beleive women do want a man to take charge BUT IF YOU AINT HARDWORKING, PUT YOUR @$$ DOWN.
 
kwani kama mwenza wako hana source ya income ni mbaya kwa wewe kumuwezesha?

Kumuwezesha kivipi? kumpa hela au kumpa akili ya namna ya kupata hela?
Normally Mwanaume mwenye akili ya maisha ndiye mwanaume tajiri kuliko wote! Anaweza leo asiwe nazo lakini baada ya muda hatabaki kama alivo!
Anayekusaidia kwa kukupa nyavu na kukufundisha namna ya kuvua samaki mwenyewe ndiye anayekufaa kuliko anayekuletea samaki kwenye kapu! Trust me akiugua au akashindwa kuvua utakufa njaa!
So kuwezeshwa si kupewa pocket money na kupewa gari nzuri na mwanamke!
A man that has SELF PRIDE won't ask a woman for cash even when he is broke! And that man is the love of my life!
 
hapo tulikuwa tunaongelea ndoa sio hela...

I'm yet to have an official illegal husband but if you have to know, my bf is an IT person....1.2 take home is not bad...
duuh kwa amount hiyo unasema not bad,je mimi wa 186,000 take home per month si nisingekuwa na nafasi kabisaa...
kweli shetani wa pesa na mapenzi wa undugu aisee wala si bure
 
OMG yani emesema kila kitu nilichoexperience...are you family perhaps?

wanaume sikuhizi ni WAVIVU!!!! sema tu ni siri zinawekwa ndani but in most households, wanawake ndo the main bread winners kwa Tazania hii! hapo anasubiri hela iletwe halafu aitumie kama ilikuwa yake vile, kila mtu afikiri ni mwanaume ndo kaleta hela. WANATAKA HESHIMA YA KUWA MAIN BREAD WINNERS, BUT ARE THEY???

sasa kama hicho kiboyfriend kinakuacha kisa haujampa hela, I Dont know. hata ungeolewa naye, you would have been the man of the house! It aint pretty. I beleive women do want a man to take charge BUT IF YOU AINT HARDWORKING, PUT YOUR @$$ DOWN.

hiyo maisha inategemea tu na settings, kuna wanaume hawana kazi na still they can handle thy family effectively.
living happly all the time..
Ishu siyo who is bread winner! what matters mnapendana na kuheshimiana kwa kiasi gani..

Sisi miafrika tumezoea sana kuishi kwa kukariri..
 
Cyan6 unachukulia mapenzi ni kama Financial Showdown hivi....u doing it wrong!

Hujanielewa! Mapenzi na njaa wapi na wapi? Let's be realistic here! Have u ever tried to pay your bills with a hug or a kiss? Hivi ukienda pale muhimbili/ Aghakhan hospitals na mpenzi wako mmekumbatiana ndo mtapewa huduma bure?
Tunaposema Mwanaume uwe financially sound ni uweze kumeet those stuffs!
Lazima basic needs ziwe fulfilled wakati na mm nazaa kwa uchungu, nafua jeans zako, napika, na kutandika kitanda, na nafanya all house management! Nikishindwa hapo basi Mimi sifai!
Asikudanganye mtu kwenye njaa hata naniliu huwa haisimamagi!
 
Usinikumbushe aisee...mpaka mwili umenisisimka. Seriously nilikutana na msichana aliyekeketwa...yaani dushe lilisinyaa palepale..sikuweza kufanya kitu. Niliogopa nakuona huruma sana..its terrible jamani. Ahhhh. Are seriously , pole sana.

Asante sana ... pesa yako ndiyo kipoozeo
 
wanaume muwe mnajiangalia basi,'kabla ya kuwasemasema wanawake, what do you have to offer to change her life??
Whaaaat?

What do whaaaat?

Her life or "our' life?

And by the way,why would i do that for her?
 
Kumuwezesha kivipi? kumpa hela au kumpa akili ya namna ya kupata hela?
Normally Mwanaume mwenye akili ya maisha ndiye mwanaume tajiri kuliko wote! Anaweza leo asiwe nazo lakini baada ya muda hatabaki kama alivo!
Anayekusaidia kwa kukupa nyavu na kukufundisha namna ya kuvua samaki mwenyewe ndiye anayekufaa kuliko anayekuletea samaki kwenye kapu! Trust me akiugua au akashindwa kuvua utakufa njaa!
So kuwezeshwa si kupewa pocket money na kupewa gari nzuri na mwanamke!
A man that has SELF PRIDE won't ask a woman for cash even when he is broke! And that man is the love of my life!
sasa hapo sio mapenzi tena bali uadui,yani mwenza wako hana kitu na unataka kae kimya asikwambie wakati wewe upo vizuri eti kisa mwanaume,mimi nikiwa hovyo na ninaona mwenzangu upo fresh nitakuomba hata ukanisema maneno yote mabaya ya dunia hii.
 
hiyo maisha inategemea tu na settings, kuna wanaume hawana kazi na still they can handle thy family effectively.
living happly all the time..
Ishu siyo who is bread winner! what matters mnapendana na kuheshimiana kwa kiasi gani..

Sisi miafrika tumezoea sana kuishi kwa kukariri..

Issue siyo breadwinning who said so? Hii ni nature! Lazima ule kwa jasho mwanaume! You have to carter for your family!
Ndiyo hapo utakuwa na confidence ya kumuwajibisha mkeo kwa nn kitanda hakijatandikwa, kwa nn mchuzi wa leo mbaya!
kwa nini umechelewa kurudi, ulikua wapi? Hata kama naye anachangia lakini wewe ndiye main provider!
 
Hujanielewa! Mapenzi na njaa wapi na wapi? Let's be realistic here! Have u ever tried to pay your bills with a hug or a kiss? Hivi ukienda pale muhimbili/ Aghakhan hospitals na mpenzi wako mmekumbatiana ndo mtapewa huduma bure?
Tunaposema Mwanaume uwe financially sound ni uweze kumeet those stuffs!
Lazima basic needs ziwe fulfilled wakati na mm nazaa kwa uchungu, nafua jeans zako, napika, na kutandika kitanda, na nafanya all house management! Nikishindwa hapo basi Mimi sifai!
Asikudanganye mtu kwenye njaa hata naniliu huwa haisimamagi!

Najua umuhimu wa pesa kwenye maisha ya binadamu,lakini kufanya pesa ndio kigezo cha kuchagua mwenza ni ujinga mkubwa sana,najua unawea usijue kwanini ...

Pesa inatafutwa,lakini kama mtu huyo ni mjinga kwenye mambo mengine huwezi kuyatafuta na kuja ku fix palipo pungua

Let me tell you something young lady,kitu ambacho unatakiwa kukiangalia mwanzo sio pesa bali mipango ya kuipata kama anayo huyo mjamaa,lakini kuna mambo mengine ya msingi sana ya kutazama na sio hapo kwenye hilo eneo tu,kama ana mipango na umekagua mambo mengine na ukaona yupo poa na anaishi uswahilini kwenye nyumba na choo passport size go merry him fasta,mtazipata nyingi tu

Ila kama hakuna plan wala future ya kuhakikisha zinapatikana unaweza kuweka doubt,ila kigezo ikiwa mwenye nazo utaingia chaka
 
Tatizo mnajikita sana kwa wasomi na mnasahau mwanamke kama hajabahatika kuwa na "za kuzaliwa" ukimkuta amepata tu zile za shule yeye mda wote atakuwa anatumia za shuleni tu, ila kama mwanamke amelelewa na akabahatika kuwa na za kuzaliwa kamwe hatakupa stress make anaelewa sana jinsi ya kukuhandle.. ulichokifanya ni sahihi kabisa mwanamke sharti umchunguze ama sivyo utajutia ..hasahas kiburi,mvivu,tamaa,domodomo,utii wa Mungu na heshima na nguzo za mwanamke wa kuoa na usidanganyike,wenye sifa hizo wapo na bado wanapatikana so take it easy boy!
 
hapo tulikuwa tunaongelea ndoa sio hela...

I'm yet to have an official illegal husband but if you have to know, my bf is an IT person....1.2 take home is not bad...

Nimeulizia hela coz ulikua unaitaja saaana...

Nimengalia take home yake,I see nothing special...still,mna-struggle like the rest of 94% of us....so,u selling that coochie for 1.2 per month?u are better than that...
 
Back
Top Bottom