Kwa tabia hizi nani akuoe?

Kwa tabia hizi nani akuoe?

walaaa. Utegemezi is not my thing. I am the most independent woman I know after my mum. kwanza I think I have wasted so much money in my relationship. I pay for dates. Looking good Costs!! sinaga tabia ya kuomba hela nikiona hanipi I simply susa. we hunipi hela unajua naishije!! halafu unataka unichukue ukaniShow off bure bure.

hizo helaa nikizifikiria ningeweza kufungua magenge kabisaa.

I repeat, there are things I want in life. Otherwise I'll be unhappy. If you cannot make me happy while should I be with you!!
Mimi nakuelewa housegirl, tatizo ni hapo bold tu...!
1. Unataka kuwa na furaha, unategemea utaipata kupitia mtu mwingine? Happiness comes from within, don't expect anyone to make you happy coz it doesn't work like that.
2. Kama unaona furaha yako inategemea kipato au uwezo wa mtu, why don't you work hard to sustain yourself? Siku hizi wote tunapewa urithi na wazazi wetu, we both go to schoo, you guys have more privileges than us( you know what I mean) but you still beg to be cared of..

Life has changed and we should not dweell in the past no more.
 
Last edited by a moderator:
Kila jambo lina namna ya kulithibitisha ....

Kuna muda wa kuona kama huyu ni msanii au laa,mtu wa mipango na vitendo utamuona tu wakati mkiwa "safarini",na mtu wa mipango bila matendo nae utamuona tu huko huko "safarini"

Kuna mipango na namna ya kufikia mipango ile,hapa pana ugumu kwa wale ambao wana mipango hewa,huwezi kuwa na mpango hewa halafu ukawa na njia za kuukamilisha,hii ni sawa na wakati unapokuwa shule mwalimu anasahihisha njia ya kupata jibu na sio jibu

Kama umeibia jibu huwezi kuwa na njia ya kulipata jibu,huwei kuwa na mpango hewa halafu ukahangaika kutafuta njia ya kuifanikisha wakati huna hata mpango wa kuutimiza mpango huo kwasababu ni hewa

Ni kosa kuweka hope zako kwa mtu lakini mume au mke ni mtu anaekuhusu kwa asilimia 100,ukiwa na mume au mke zuzu mahitaji yake utayabeba kwa kiwango ambacho hukutakiwa kubeba kwakuwa huyo nae ni binadamu na anatakiwa a provide kwa kiwango shahiki

Mke wa kiwango chake na mume kwa kiwango chake

Unapokuwa na mke ambae hawezi hata kubuni mradi wa kuku wa mayai na namna ya kuufanikisha huyo ni mke wa kiwango kipi?

Unapokuwa na mume ambae hata hawezi kujua familia yake inahitaji kiwango gani cha pesa na namna ya kupanga mipango ya kukifikia hicho kiwango huyo hafai kuwa mume
Cyan6 yupo sahihi kwenye maeezo yake hapo juu aliyoni quote!

Need I say more? Hapa nimeanza kufall in love na hii intelligence, trust me!
 
Last edited by a moderator:
(let me make it clear this 1.2 man is not a keeper simply because he is a sexist and a theist who strongly beleives that he will convert me to Islam)

a woman who moves from man to man for money....I dont know what she wants.

I know what I want. I Want to make a life with a man ambaye ana future. Even if my next wil be less than 1.2, kama he is ambitious as I am, I will be more than happy to make a lifetime contract to never share our genitals with other people and have kids and travel the globe etc etc

Then u will be banking into a somthing called "Potential",and guess what,it may turn into a "Bust"....whatchu gonn' do?
 
SHIDA huwezi kuvumilia we MTOTO wa BILL GATES Pengine Kwenu Rhumba Tupu Tena la Kikongo Lakin Mjini ARTIFICIAL LIFE Unataka Kuishi km RIHANNA Ebo!?

Hahaaaaaa........Mangi have mercy on these b.itchez ma' man!
 
Mbona hayo mapungufu hukuyaona tangu mwanzo na uliridhika nae?nahisi huyo ndugu yako aliekupa mbinu za kumchunguza alikuwa na wivu na dada wa watu kama ni mwanamke yy alichunguzwa?kama ni mwanaume wa kwake alimchunguza kiasi hicho? Huenda ndio maana hakuwapenda ndugu zako alijua wanamfitini.
Sio kwamba hatuna mapungufu,mapungufu tunayo tena mengi tu,ila mimi ndiye ninayeoa so naangalia vigezo ninavyotaka mimi na wewe ukiona sina vigezo unavyopenda wewe si unapiga chini jamani.
 
Hana vigezo ndio mwanaume gani anafundishwa kumchunguza mwanamke anaoa yeye au ndugu yake?kamchambua dada wa watu wee sasa kashindwa kumla.
sa na ww vigezo unavotaka ka havipo si upige chini malalamiko ya nn? Huenda unafanyiwa hayo coz huna vigezo pia
 
Mbona hayo mapungufu hukuyaona tangu mwanzo na uliridhika nae?nahisi huyo ndugu yako aliekupa mbinu za kumchunguza alikuwa na wivu na dada wa watu kama ni mwanamke yy alichunguzwa?kama ni mwanaume wa kwake alimchunguza kiasi hicho? Huenda ndio maana hakuwapenda ndugu zako alijua wanamfitini.

ni kweli mwanzoni sikuyatambua mapungufu yake,ila baada ya kupewa hints ndio nikajua mapungufu yake.sasa huoni hapo nilisaidiwa?halafu huyo ndugu hakuanimbia mapungufu ya huyo mtu bali yeye alinipa mbinu za kumjua kiundani,upo hapo ndugu yangu
 
SHIDA huwezi kuvumilia we MTOTO wa BILL GATES Pengine Kwenu Rhumba Tupu Tena la Kikongo Lakin Mjini ARTIFICIAL LIFE Unataka Kuishi km RIHANNA Ebo!?

kwa hiyo nikulie kwenye shida bado niolewe kwenye shida mfyuuuu koma kabisa ... nakataa mwanaume mwenye njaa maishani mwangu
 
Wickama nimekuelewa mkuu ,hata kama ingekua ni wewe hujawai kuona ilivyo lazima ungeshtuka, ..ni sawasawa na umvue msichana pichu alafu ukute ana kadushe....nafikiri ndio maana wakurya ni wakorofi..maana inaitaji moyo wa ziada kabisa. K- iliyo keketwa inatisha jamani.

Sina la ziada benteke, zaidi ya kushukuru kuwa tuko pamoja (hahahahahah.......). Nyoka wanatisha lakini kuna viumbe ambao nyoka ndio "main course" wala sio dessert.
 
Last edited by a moderator:
Then u will be banking into a somthing called "Potential",and guess what,it may turn into a "Bust"....whatchu gonn' do?

well if its a "bust" dont you see it doesnt fit in the "potential" category?

will cross that bridge when I get to it.

giving up my dreams for love!! He has to be veeeery handsome and sexy for that...and he better know what to do sio kutwanga twanga tu....
 
Mimi nakuelewa housegirl, tatizo ni hapo bold tu...!
1. Unataka kuwa na furaha, unategemea utaipata kupitia mtu mwingine? Happiness comes from within, don't expect anyone to make you happy coz it doesn't work like that.
2. Kama unaona furaha yako inategemea kipato au uwezo wa mtu, why don't you work hard to sustain yourself? Siku hizi wote tunapewa urithi na wazazi wetu, we both go to schoo, you guys have more privileges than us( you know what I mean) but you still beg to be cared of..

Life has changed and we should not dweell in the past no more.

you are making it sound so ugly while its not as bad.


sahivi unajifanya happiness comes from within halafu mnawasema wanawake wasioolewa!

I am all for independence but the man should know that that would change the whole dynamic of things! it wont be good for your ego.

so if you want to be a man in the house better make money ohh. or we will both be very unhappy.
 
Last edited by a moderator:
na mimi nashangaa mnavyolalamiiika. mara 95% of the world is poor sijui hao wenye hela mtawatoa wapi.

i havent said anything about the man. the man is under 30 and and is on the process of establishing his business (a construction company). has a car!
kwa mimi 1.2 ni nyingi kwa huyu, at 27 he is this far. i respect him.

kama unaona 1.2 ni cheap, usilalamike kutoa 50 ya salon......65 ya waxing.....24 ya Amarula ya kukaa home.....picking me up to dates.....na weekend makange ya rose garden. (I finance my own clothes thank you)

how much beautiful a u?
BTW kwa mchanganuo huu ina reflect u bado na mawazo ya kitoto..
 
Haya kila la heri Mungu akujaalie mke mwema ila nahisi kama umeumia sana ndio mana ukaja hapa kumsasambua, ni kama yale ya juma nature na sinta sitaki demu,inaniuma sana
ni kweli mwanzoni sikuyatambua mapungufu yake,ila baada ya kupewa hints ndio nikajua mapungufu yake.sasa huoni hapo nilisaidiwa?halafu huyo ndugu hakuanimbia mapungufu ya huyo mtu bali yeye alinipa mbinu za kumjua kiundani,upo hapo ndugu yangu
 
kwa hiyo nikulie kwenye shida bado niolewe kwenye shida mfyuuuu koma kabisa ... nakataa mwanaume mwenye njaa maishani mwangu

hebu kuwa makini kidogo na aina hii ya msimamo, itakugarimu sana hasa kwa nyie mnaokaa dar es salaam..

Kuna watu wanapesa lakini ni za muda mfupi sana.
Unavyosema unakataa mwanaume mwenye njaa, means Men are static kitu ambacho si kweli, mara mia ukampata wa kuchuma nae kuliko kumpata aliyechuma tayari..

Usijiwekee Mazingira ya kuwa slave!!
then kwa maandishi yako haya unaweza ukakutana na pretender akakumaliza..akijua kukupata wewe ni pesa
mambo yanakua so easy, kuazima gari na kukupeleka sehemu za maana inatosha kukumaliza!!

Hebu acha na uvivu wa kutaka kutafutiwa tuu, na wewe si ufanye kazi?
 
you are making it sound so ugly while its not as bad.
I don't think so. You guys have made it look and sound so bad. You engage yourselves in relationships for wrong reasons.
sahivi unajifanya happiness comes from within halafu mnawasema wanawake wasioolewa!
Nyie wanawake mara nyingi ndio hamjiamini when it comes to marriage. Most of you don't really know what you want in life, ndio maana mnasemwa. Binafsi naamini unachagua maisha utakayo. Kama unaona maisha ya ndoa ni mazuri kwako sawa, kama vipi uishi mwenyewe. Lakini ni wadada wangapi wenye courage ya kuishi peke Yao na kuwa na furaha..sijakutana nao bado!
I am all for independence but the man should know that that would change the whole dynamic of things! it wont be good for your ego.

so if you want to be a man in the house better make money ohh. or we will both be very unhappy.

Nakubaliana na usemi wako, a man has to take control of his house. Tatizo liko kwenye viwango, high demands...wakati wenyewe hivyo viwango hamna..!
 
Back
Top Bottom