Kwa tabia hizi nani akuoe?

Kwa tabia hizi nani akuoe?

mhhh ndugu yangu tabia ni kama ngozi ya mwili,yanini ujipe matatizo wakati umeshajua kuwa hafai?hapo ni mbio tu ndio zitakuokoa

Kujipa moyo kama utambadilisha ni kudanganya na kujiingiza kwenye matatizo yanayoepukika kwani hiyo ndo tabia yake.
Kuna jamaa alikuwa na mwanamke mwenye tabia ya kuficha chakula yaani yupo radhi chakula kioze kuliko kuwapa watu wale. pumbafu.
Chakula ni kitu gani yaani roho mbaya tu ilimjaa.Siku moja alificha kuku aliyekaangwa mzima kabisa halafu akamsahau akakutwa ameoza.
Mwanamke mwenye roho mbaya simpendi mpaka basi yaani sitaki hata kumuona.
Wanawake mmeumbwa mkiwa na sura nzuri sasa mkiwa na roho mbaya hampendezi mnakuwa wabaya kupita maelezo.
 
Yes miserable kama nakutegemea unilishe, unilipie makazi, univalishe, card ya bima ya afya unayo wewe, nauli ya daladala inatoka kwako hapo ukiniacha nitameza nyembe!
Ni dudu tu tena kibamia hahaaaaa get a life nigger!

Cyan6 unachukulia mapenzi ni kama Financial Showdown hivi....u doing it wrong!
 
That's true! Fair! kwa sababu sipendi kulea marioo huwa normally napenda mwanaume anayejituma whether mi ni multi millionaire au siyo!
Hivi mi ndiyo naleta ugali we mwenzangu umekaa sebleni unaangalia TV mwaka mzima na kutembea na taulo na kugombana na housegirls, nikirudi home saa 4 ucku unapata wapi ujasiri wa kuniuliza ulikua wapi?
Mwanaume anayeheshimika ni yule anayewajibika kama kichwa kwny Nyumba si mpiga mizinga kwa mkewe

Sema umekumbana na Marioo then unatoa your negative experiences...

Usiwaambukizie wengine your failures....

get up,clean ur paths get another new nigger!
 
Huyo Illegal husband wako ana turnover worthing how much?


hapo tulikuwa tunaongelea ndoa sio hela...

I'm yet to have an official illegal husband but if you have to know, my bf is an IT person....1.2 take home is not bad...
 
It is true tunapenda kuolewa! Mi sipingi na nakubaliana na wewe 100% Shida ni aina gani ya muoaji!
Kuwa desperate kuolewa ni kitu kizuri kwa sababu nature ipo hivyo! To get someone to compliment you!
Sasa ninyi waoaji mmetumia chance hiyo vibaya, mnaishi hovyo, hamna malengo, wazinzi, matapeli, hamna hofu y Mungu, wavivu mmesahau kusimama kama wanaume, mnasubiri kuletewa na wanawake, halafu mnalazimisha eti msichague!
Yaani sisi tubebe takataka zenu kwa kisingizio tusionekane hatujaolewa?
Wale waliojaribu wamedumu kwenye hizo ndoa sasa?
Stand as a man, I will stand as a woman!

Mhhh cyan6;hivi kweli kuna binadamu asiteishi bila malengo?kama uzinzi mbona wanawake nao ni wazinzi tena wa kutupwa,si ndio nyie mnaoenda na michepuko eti kisa mume ana kibamia?wapo ambao hawakudumu katika hizo ndoa kwasababu mbalimbali na nyingi husababishwa na wanawake,hasaa nyie wanawake wa kileo mnaojidai mmesoma ndio matatizo kabisa,kila kitu mnataka kiwe haki sawa na mmeo....aaaaahh matatizo kama hayo nani anayataka sasa
 
That's true! Fair! kwa sababu sipendi kulea marioo huwa normally napenda mwanaume anayejituma whether mi ni multi millionaire au siyo!
Hivi mi ndiyo naleta ugali we mwenzangu umekaa sebleni unaangalia TV mwaka mzima na kutembea na taulo na kugombana na housegirls, nikirudi home saa 4 ucku unapata wapi ujasiri wa kuniuliza ulikua wapi?
Mwanaume anayeheshimika ni yule anayewajibika kama kichwa kwny Nyumba si mpiga mizinga kwa mkewe

kwani kama mwenza wako hana source ya income ni mbaya kwa wewe kumuwezesha?
 
Hahahaaaaa.....Upo kwenye denial wewe

Hiyo sentensi ya mwisho inaonesha umasikini ndio unaokusumbua....ukija pata ur own cash hutawaza huo ujinga

And kuingiza wazazi (mom) kwenye hii discussion ya nigga vs demu context ni upungufu wa kuelewa...and yes,either way 50yrz p.ussy can never touch what 20yrz pussy brings to the table

mimi wala sibishi....I come from a veeeeery poor background. hapa nilipo mwenyewe I'm not well off but my plans going well so far.

I REFUSE TO GET BACK TO POVERTY.


I have experinced life inavyokuwa when the woman makes more than a man. it aint pretty as fer as your egos are concerned.

na me nikwambie tu If I do make more than you, inabidi uShove your ego in your @$$.

Men these days want to feel in control yet they dont want to be the bread winners¡

yani ni vituko
 
...barbarita..lifestyle. .full of drama for these "rags to riches" seekers...only when there come a point and realize the real deal is nt in her "bucket list"..
..I tell you fella..will never tell you..how much is enough...

and what is the real deal?
 
mimi wala sibishi....I come from a veeeeery poor background. hapa nilipo mwenyewe I'm not well off but my plans going well so far.

I REFUSE TO GET BACK TO POVERTY.


I have experinced life inavyokuwa when the woman makes more than a man. it aint pretty as fer as your egos are concerned.

na me nikwambie tu If I do make more than you, inabidi uShove your ego in your @$$.

Men these days want to feel in control yet they dont want to be the bread winners¡

yani ni vituko

Yaaaani natamani nikubebe sijui kwa mbeleko gani! Great woman!
 
Kufa sifi hela zenu nitakula tu

Hujakutana na dushe wewe.....unapigwa dushe mpaka unaona aibu kuomba pesa. Kuna wadada wasomi wazuri wengi tu na kazi zao nzuri wameolewa na darasa wa saba au form four na wametulia ndoani. mambo dear unaendeleaje lakini.
 
Hujakutana na dushe wewe.....unapigwa dushe mpaka unaona aibu kuomba pesa. Kuna wadada wasomi wazuri wengi tu na kazi zao nzuri wameolewa na darasa wa saba au form four na wametulia ndoani. mambo dear unaendeleaje lakini.

Nipo pouwa mimi nimekeketwa antena haishiki dudu siyo ishu kwangu Muhimu pesa yako
 
sasa hapo ndio penyewe,wadada wengi mnayo hiyo tabia ya kutaka kuolewa ili muifurahishe jamii,unakuta mdada mzuri lakini mpaka anafikia umri wa kuolewa hajaolewa na age inazidi songa mbele,akiangalia mtaani hapo vidole haviishi kwake,sasa hapo ndio utaona huyu mwanamke reaction yake.Ataolewa na yeyote yule atakayekuja kwa jina la kuoa hata awe kibabu.

Sisi wanaume huwa hatupatwi na msongo wa mawazo eti usipooa kwani sisi ndio tunaamua lini tuoe na nani umuoe,hatuna presha sie.

Hizo grand plans unazosema dada yangu;kama unaona umempenda mtu na hana hizo plans kwanini usikubali kuolewa naye na kisha ukawa ndio mwanzo wa kumpa mawazo ili mfikie milestone zenu na ule msemo "kila alipofanikiwa mwanaume basi nyuma yeke kuna mwanamke imara".au unataka mwanamke peke awe ndio think tank?aaaah wewe si msomi bwana?hapo ndio pa kuonyesha usaidizi wako kwa mwanaume housegirl.

Loneliness is a bad thing. whether mwanaume or mwanamke. eti msongo wa mawazo. kwahiyo wanaume wanaokumbatia mito kila siku hawana hiyo misongo ya mawazo?

bado unaendelea kulazimisha kuwa mwanaume ndo anachagua. dont you see a relationship ni two way traffic? kwani yeye mpaka kawa na wewe amewamwaga wangapi ambao hawana sifa? wewe hujawahi kuachwa? kinachokuaminisha wewe ndo mchaguaji ni nani?

kumpenda mtu asiye ambitious, I dont know. I find that very unattractive hata sidhani nitakuja kupenda mtu ambaye ahangaiki na dreams zake.

btw unaolewa AFTER maisha kuwa mazuri....au hata dalili..... nyie mnaoingia kichwa kichwa kusign makaratasi hoping for changes, I'm not in your team kwakweli.
 
Back
Top Bottom