Wickama
Platinum Member
- Mar 8, 2009
- 1,577
- 1,365
Mr Yes, kama huu ulioandika ni ukweli, basi ndani ya ndoa huyu mwenzio atakusumbua sana across WAVES za MAJARIBU na MITIHANI ya maisha. Lugha ya "..... shauri yako wenzako watakutunzia" from a fiancee TO ME naiona ni QUITE OFFENSIVE.
Mwanamke gani kila siku tu unataka muwe kenye raha na siku shida zinitembelea tu basi ishakuwa dhahama.Eti my baby Mr Yes naomba unitumie shilingi elfu hamsini niende kwa masai nikasuke....sasa hata kama mimi ndio Mr Yes jamani hapo nikihoji tu nywele gani hizo za elfu 50 kosa...."yani we mwanaume kila siku huna hela,un adhani nisingekuwa nahudumiwa ungenikuta hivi?shauri yako usipotunza wenzako watakutunzia",damn,jamani ndio maneno ya kumwambia mwenzi wako hayo?halafu kesho unaomba atimize ile ahadi yake ya ndoa....mhh nimeshtuka mtego huo haunikamati ng'ooo.
Last edited by a moderator:
Reply With Quote