Kwa tabia hizi nani akuoe?

Kwa tabia hizi nani akuoe?

Wanaleta maisha ya bongo movie!!!

wanaleta bongo movies tu hawa.

kuna mwanaume anae honga honga kizembe zembe nowdays..

hao mambo safi wanaoa mambo safi wenzao hii ni dunia nzima..

kila mtu humu bwana wangu ana hela na ana drive range,mara mimi nina phd, mara kwetu tuna hela.. mimi indepedent najituma sana. mara nina kazi nzuri sijui bot,mara kpmg

nyoo ungekuwa una hela na mtu indepedent na muhangaikaji ungeshinda mmu humu masaa 24 unapiga domo.

endeleeni kudanganyana tu humu mmu na mtamegwa sana na ndala ndefu wenzenu mpaka mgawe tigo hiyo na hamuongwi chochote.

wa kishua wanaoana wao kwa wao na tena wanakutana majuu huko kwenye varsity za ukweli au mitaani kwao masaki na oysterbay..

ndala ndefu zimejaa jamiiforums humu kazi kuanzisha thread tu masaa 24 kupunuza stress za kukosa ajira, vipato, na matatizo ya familia zao zenye dhiki na matatizo tele,

humu wengi wenu ni ndala ndefu tu, mnaishi maisha ya bongo movie ya kuandika mitandaoni tu... na mtaishia kushinda mmu tu kupunuza stress za maisha maana ajira hakuna, home njaa kali, wanaume wanaoeleweka wanaoa level zao.. we ukibahatika kukutana nae unaishia kumegwa na kusepa tu.. utapania sana game ili umbahatishe mmojawapo akuoe, utalamba sana dushe had pumbuz, utazungusha sana kiuno hiko hadi nyonga iteguke but hatokaa.. muda wa kuoa ukifika anarudi ushuani anatafuta wa level zake anaoa na kuweka ndani.. utaishia kuenjoy treatment tu na hotel nzuri but mwanaume anaejielewa haoi ndala ndefu. nyooo kazi kushinda mmu tu..

jiwe limerushwa gizani hilo ukisikia yalaaa ujue limempata mty
 
humu wote ndala ndefu tu, mnaishi maisha ya bongo movie ya kuandika mitandaoni tu..

jiwe limerushwa gizani hilo ukisikia yalaaa ujue limempata mty

Kuna ukweli na kasoro katika maneno yako, nadhani hujafanya uchunguzi wa kina mpaka sasa.

Be positive, wapo hali zote.
 
Kuna ukweli na kasoro katika maneno yako, nadhani hujafanya uchunguzi wa kina mpaka sasa.

Be positive, wapo hali zote.

jiwe limerushwa gizani hilo.. lisilomhusu atapita kimya kimya tu sababu anajua ukweli moyoni mwake. but linamhusu utasikia yalaaahh hapo ujue jiwe limempata mtu. maana limerushwa gizani
 
Ukisema uangalie looks tu,akija kuchoka penzi litapungua....

Ukisema hela,akija kuchacha lazima penzi lifutike....

Heri niangalie natural chemistry between the two
NDugu yangu mimi siangalii sura naangalia zaidi tabia zilizopo ndani ya mtu,unajua wanawake wengi wanajivunia uzuri na kusahau kuwa uzuri huisha jinsi umri unavyoongezeka,ndio wale wanaokuja kushtuka jua lishazama na ashafanywa sana na ndoa hamna.

Mkuu hiyo chemistry unayoizungumzia unamaanisha chemistry ya aina gani?

Hii thread naona imeletwa hapa kwa hisani ya watu wa Marekani
___________________________________
Tabia za mwanamke utazijuaje ikiwa mwanamke ni kama mtoto unaweza kumbadili utakavyo na akiwa haihitaji ongezeka la thamani (VAT) ila vigezo na masharti kuzingatiwa
 
ni kwa jinsi gani imeletwa kwa hisani ya hao watu wa marekani?
 
haha labda kwenye hiyo kampuni butbalianza kazi toka yuko 22!!

we kama ndo umeanza tu maisha unataka mwanamke wa nini. ama sivyo na wewe uwe na low expectations sio unataka a high maintanance wakati kufinance huwezi.

Dada Housegirl acha urongo...eti alianza kazi tangu 22,alisoma lini?

Yaani sasa hivi yuko 27 ndio yuko 1.2mil,I doubt alianza kwa ku volunteer aisee...sasa hapo akifika 37 atakua ndio 2mil wakati at 37 his peers watakua wanachukua % ya turnover ya mwajiri na sio vimshahara...

Angalie wasije kucheka watu!!!
 
wanaleta bongo movies tu hawa.

kuna mwanaume anae honga honga kizembe zembe nowdays..

hao mambo safi wanaoa mambo safi wenzao hii ni dunia nzima..

kila mtu humu bwana wangu ana hela na ana drive range,mara mimi nina phd, mara kwetu tuna hela.. mimi indepedent najituma sana. mara nina kazi nzuri sijui bot,mara kpmg

nyoo ungekuwa una hela na mtu indepedent na muhangaikaji ungeshinda mmu humu masaa 24 unapiga domo.

endeleeni kudanganyana tu humu mmu na mtamegwa sana na ndala ndefu wenzenu mpaka mgawe tigo hiyo na hamuongwi chochote.

wa kishua wanaoana wao kwa wao na tena wanakutana majuu huko kwenye varsity za ukweli au mitaani kwao masaki na oysterbay..

ndala ndefu zimejaa jamiiforums humu kazi kuanzisha thread tu masaa 24 kupunuza stress za kukosa ajira, vipato, na matatizo ya familia zao zenye dhiki na matatizo tele,

humu wengi wenu ni ndala ndefu tu, mnaishi maisha ya bongo movie ya kuandika mitandaoni tu... na mtaishia kushinda mmu tu kupunuza stress za maisha maana ajira hakuna, home njaa kali, wanaume wanaoeleweka wanaoa level zao.. we ukibahatika kukutana nae unaishia kumegwa na kusepa tu.. utapania sana game ili umbahatishe mmojawapo akuoe, utalamba sana dushe had pumbuz, utazungusha sana kiuno hiko hadi nyonga iteguke but hatokaa.. muda wa kuoa ukifika anarudi ushuani anatafuta wa level zake anaoa na kuweka ndani.. utaishia kuenjoy treatment tu na hotel nzuri but mwanaume anaejielewa haoi ndala ndefu. nyooo kazi kushinda mmu tu..

jiwe limerushwa gizani hilo ukisikia yalaaa ujue limempata mty

Mkuu si mchezooo!
 
kaka wala usisumbuke na hawa wa humu jf wamejaa stress kibao baada ya kushindwa kumanage mahusiano yao japo hilo hawawezi kukwambia wapo hapa wanatema nyongo zao,ukitaka mke nenda usukumani kuna wake watimilifu na wenye kujitambua siyo hawa wanaoshinda na keybod kutwa ..hujiulizi mtu aliye normal anakwambia eti yeye haoni kwanini anatakiwa aoelewe? think deep mkuu!
kweli mkuu umenena.
 
Dada Housegirl acha urongo...eti alianza kazi tangu 22,alisoma lini?

Yaani sasa hivi yuko 27 ndio yuko 1.2mil,I doubt alianza kwa ku volunteer aisee...sasa hapo akifika 37 atakua ndio 2mil wakati at 37 his peers watakua wanachukua % ya turnover ya mwajiri na sio vimshahara...

Angalie wasije kucheka watu!!!

sasa unataka upewe CV nzima?
mtu hata humjui!! na nidanganye humu watu siwajui ili iweje!!

Ok forget all you know about the Tanzanian schooling system.
The guy schooled somewhere in Europe. He was employed there na serikali na marupurupu. He then schooled somewhere in Asia and he is back home to make a life here.

hadi Nikutajie mali zote alizonazo? au nikupe jina lake na la kampuni alipo ukamtafute?

EDITED: I removed the wife part b'se i thought its useless to the discussion.
 
wanaleta bongo movies tu hawa.

kuna mwanaume anae honga honga kizembe zembe nowdays..

kila mtu humu bwana wangu ana hela na ana drive mara kwetu tuna hela.. mimi indepedent najituma sana.

muda wa kuoa ukifika anarudi ushuani anatafuta wa level zake anaoa na kuweka ndani..nyooo

HAHAAA yani we acha tu!

Full bongo movie! Hivi ushawahi kuona mtu in real life anaishi maisha ya kibongo movie?? eti mtu ameondoka kwao kuzuri ameenda kuwa housegirl. wanawake wa JF bana.

yani umuombe mwanaume a random 70thou akupe tu!!!!! utawapata wapi wanaume wa hivi sikuhizi?

eti bwana wangu tajiri....kisa ana drive! angekuwa tajiri (i.e ana drive) angetoka na wewe unayeshinda JF!!

eti kwenu mna hela!! si ungeshinda unaogelea kwenu huko. kutwa JF unafanya nini!! hivi kuna mtu yeyote JF mwenye hela anayeshinda humu!! wenye hela wanalog in saa 3 usiku for half an hour tu!!

hivi maskini wewe (i.e unayeshinda JF) ulivyo na tamaa ya kuolewa, jamaa tajiri (i.e anaye drive) akuoe wa nini!! huoni kwanza hata anavyotoka na wewe unamuaibisha!!

mwenzangu shaurimbaya toaga stress tu kama hawa wanawake wa kibongo movie. hata wewe tumekuelewa i.e your @$$ broke as fu¢k na jinsi unavyotamani kuoa, maskini 🙁. tafuta tafuta pesa wa kuoa wapo usukumani wamejaa tele....
 
Last edited by a moderator:
Jamani mbona tunachukulia relationships ni kama rocket science?Watu wanakomaa na ma-theories na masharti kibaoo

Meet someone,chemistry iki-click pendaneni yaishe....sio ooh pesa,kubarikiwa ubo.o,sijui nini...zote ni fantasy tu hizo

I love this chukua like like like
 
wanawake wa siku hizi khaaaaaa!!

nina gf "muiraqw" nimejaribu naye anatabia hizi hizi nakaribu kumweka katika mstari lakini haelekei...jaribu kumshauri ndugu hizo dharau si nzuri utakuja mdharau na mama yangu walaaaaaaa!!
halafu anategemea tuje tuoane......

sasa kama kuna wakati hadi mimi ananidharau je tukioana akija kuwadharau wazazi wangu itakuwaje??

kweli Mr Yes hata mimi nipo njia panda sana..nimemwacha kwanza sijawasiliana naye mwezi sasa...na sina hofu akipata mwingine apate coz nlimpenda saaaana ila tabia ndo imenipa shida hata kuwaza mema ya huko mbele tukuendeako.

Na sitajutia kwani nlimwonya mara nyingi sana lakini sioni mabadiliko.....

na huwa anasema eti hata kuja kumnyenyekea mwanaume.

Mr Yes brother don bother Mungu keshatuonesha dalili za mvua kwahiyo tunapaswa either kutoka na mwamvuli pamoja na koti au Kutotoka mpaka inyeshee iishe kabisa ndo tuendelee na safari yetu.

Mmmh mnawapata wapi hao wanawake wa hivyo?
 
Last edited by a moderator:
"GET YOU WHATEVER YOU WANT" is too much for anybody..."EVEN YOU CANNOT GET YOURSELF "WHATEVER" YOU WANT"...Unless otherwise the scope of "WHATEVER" is narrowed. .

Jibu zuri hili chukua like
 
Hahahaaaa....kala pussy na remaining balance hatoi,utamfanya nini?

Fanya real business,uingize cheques,TISS activity kwenye account yako iwe busy kiasi kwamba banker wako anakupigia kukupa update.Saidia nchi na ajira utoe

Sio unafanya petty businesses like that,mtu akikurusha huna legal ground ya kum-sue

Hahahah,katiba mpya iweke hili hakuna kugegeda kwa mikopo
 
It is true tunapenda kuolewa! Mi sipingi na nakubaliana na wewe 100% Shida ni aina gani ya muoaji!
Kuwa desperate kuolewa ni kitu kizuri kwa sababu nature ipo hivyo! To get someone to compliment you!
Sasa ninyi waoaji mmetumia chance hiyo vibaya, mnaishi hovyo, hamna malengo, wazinzi, matapeli, hamna hofu y Mungu, wavivu mmesahau kusimama kama wanaume, mnasubiri kuletewa na wanawake, halafu mnalazimisha eti msichague!
Yaani sisi tubebe takataka zenu kwa kisingizio tusionekane hatujaolewa?
Wale waliojaribu wamedumu kwenye hizo ndoa sasa?
Stand as a man, I will stand as a woman!

Well noted, this is what any smart woman wants,I like this
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom