Kwa tabia hizi nani akuoe?

Kwa tabia hizi nani akuoe?

Dada zetu Cyan6 na Housegirl wamekutana na vimeo vya wanaume basi hawana hamuuuuu kabisaaa

Jamani life is good,relationship sio rocket science

Get another nigga of your choice ...stop whinning
 
Najua umuhimu wa pesa kwenye maisha ya binadamu,lakini kufanya pesa ndio kigezo cha kuchagua mwenza ni ujinga mkubwa sana,najua unawea usijue kwanini ...

Pesa inatafutwa,lakini kama mtu huyo ni mjinga kwenye mambo mengine huwezi kuyatafuta na kuja ku fix palipo pungua

Let me tell you something young lady,kitu ambacho unatakiwa kukiangalia mwanzo sio pesa bali mipango ya kuipata kama anayo huyo mjamaa,lakini kuna mambo mengine ya msingi sana ya kutazama na sio hapo kwenye hilo eneo tu,kama ana mipango na umekagua mambo mengine na ukaona yupo poa na anaishi uswahilini kwenye nyumba na choo passport size go merry him fasta,mtazipata nyingi tu

Ila kama hakuna plan wala future ya kuhakikisha zinapatikana unaweza kuweka doubt,ila kigezo ikiwa mwenye nazo utaingia chaka

Ahsante Eiyer! Sailing the same boat! Akili ya kutafuta ndiyo the best thing in a man!
Haijalishi sasa ni broke kiasi gani au anaishi mtogore, whatever!
What u need is akili as u can put it where there is poverty and u get prosperity!
At least umenielewa na I think Mke utakaempata amepata mume bora! Cjui kwny kuchepuka lakini!
 
Last edited by a moderator:
Dada zetu Cyan6 na Housegirl wamekutana na vimeo vya wanaume basi hawana hamuuuuu kabisaaa

Jamani life is good,relationship sio rocket science

Get another nigga of your choice ...stop whinning

Ahsante kwa kunielewa! Kumbe hata wewe umestukia hao ni vimeo eee? Great!
 
hapo tulikuwa tunaongelea ndoa sio hela...

I'm yet to have an official illegal husband but if you have to know, my bf is an IT person....1.2 take home is not bad...

1.2 take home is not bad??? Makelele mengi kumbe mpo cheap hivi!!
 
Mhhhhhhhhhh! PERHAPS! But it wouldnt kill him to TRY HIS BEST to get me whatever i want. Would it? Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah! I didnt think so too.

je yaliyomo yamo?? Cyo unapiga kelele hpa kumbe huko chini bwawa limejaa
 
Ahsante Eiyer! Sailing the same boat! Akili ya kutafuta ndiyo the best thing in a man!
Haijalishi sasa ni broke kiasi gani au anaishi mtogore, whatever!
What u need is akili as u can put it where there is poverty and u get prosperity!
At least umenielewa na I think Mke utakaempata amepata mume bora! Cjui kwny kuchepuka lakini!

Hiyo akili ya kutafuta una uhakika ni akili ya kutafuta kweliii?

Usikute lisaniii tu mipango miingii halafu haitakaa i-materialize then dissappointments zikafuata...

Yanini usimpende mtu the way u feel the chemistry btn u too?

Hii mambo ya kuwekeza hopes zako za maisha kwa binadamu,ukija kuchanganyikiwa usishangae...Mungu mwenyewe kawashindwa binadamu,utawawezea wapiii?
 
Last edited by a moderator:
Wengi humu wanaoongelea mambo ya hela kuolewa kwao ni ndoto ndo maana wanakuja humu kuponda tuu wanaume eti wanataka hela si kaoleweni na mabenki.
 
Kwa nini kuolewa inakua kama hisani? mtu mwenye mtazamo wa aina hiyo hata mwanamke aweje, atamnyanyasa tu.
wakati mwingine lara 1 yuko sahihi kuhusu mambo ya ndoa........kisa nataka kukuoa basi taabu tupu, ....kweli?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo akili ya kutafuta una uhakika ni akili ya kutafuta kweliii?

Usikute lisaniii tu mipango miingii halafu haitakaa i-materialize then dissappointments zikafuata...

Yanini usimpende mtu the way u feel the chemistry btn u too?

Hii mambo ya kuwekeza hopes zako za maisha kwa binadamu,ukija kuchanganyikiwa usishangae...Mungu mwenyewe kawashindwa binadamu,utawawezea wapiii?

Na wewe bhana tunarudi kulekule yaani chemistry tu baasi tayari huyu ni Mke au mume!
Yaani wadada wote unaokutana nao ukipata chemistry tu basi wanafaa kuoa!
Ila at least u sound intelligent! Respect mingi mingi!
 
yani ndugu yangu hiyo ishu ni ya kweli wala sio maigizo.yapo mengi tu ambayo ameyasema au kutenda na sijayaandika hapa.kifupikwangu mimi hafai kuwa mke maana ukioa mtu kama huyo atakufanya ufe mapemaa.
Mr Yes,
The good news ni kwamba Mwenyezi Mungu kawajalia kina dada/mama (majority) subira na hekima kubwa sana hata kutushinda wanaume. Hiyo kitu weka kwenye recycle bin. Tafuta upya ukitanguliza subira na Uadilifu. With time, Anayekufaa ATAKUJA TUUU. Good luck.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na masharti meeeengi lazima na wewe uwe mkamilifu kwa % nyingi!
Mwanamke awe mzuri, umbo zuri, akili, smart, mvumilivu, mcheshi, ajue kupika, mkarimu etc etc na wewe una nini?
Una urefu gani, umeenda shule kiwango kipi, una kazi yenye kipato kipi, kitandani una kiwango gani? Makazi yako yakoje na tabia zako zikoje?
Ukimeet hizo cliteria then chagua mpaka ukucha ukoje!
uko sawa 99%
 
hiyo maisha inategemea tu na settings, kuna wanaume hawana kazi na still they can handle thy family effectively.
living happly all the time..
Ishu siyo who is bread winner! what matters mnapendana na kuheshimiana kwa kiasi gani..

Sisi miafrika tumezoea sana kuishi kwa kukariri..

Hahhaaaa.....mkuu u don play,u smashing gorillas like it ain' no thang!
 
Na wewe bhana tunarudi kulekule yaani chemistry tu baasi tayari huyu ni Mke au mume!
Yaani wadada wote unaokutana nao ukipata chemistry tu basi wanafaa kuoa!
Ila at least u sound intelligent! Respect mingi mingi!

Hahhaaa....Cyan6 utakua ni Lara1 2.0!
 
Usinikumbushe aisee...mpaka mwili umenisisimka. Seriously nilikutana na msichana aliyekeketwa...yaani dushe lilisinyaa palepale..sikuweza kufanya kitu. Niliogopa nakuona huruma sana..its terrible jamani. Ahhhh. Are seriously , pole sana.
benteke, mimi natoka Tarime, headquater ya hiyo issue unayoisema, na hatujawahi "sinyaa" on the contrary we love our women lot with deep affection. Let alone issue zingine ambazo kwa hiari siziandiki humu. Your problems are psychological and of course you might be missing something only practice can tell. Napotoka mtu kama huyo mdada anayo "added value" and my deep respects too.

cc miss chagga, Tarime one,
 
Last edited by a moderator:
Mr Yes,
The good news ni kwamba Mwenyezi Mungu kawajalia kina dada/mama (majority) subira na hekima kubwa sana hata kutushinda wanaume. Hiyo kitu weka kwenye recycle bin. Tafuta upya ukitanguliza subira na Uadilifu. With time, Anayekufaa ATAKUJA TUUU. Good luck.

Really.......???????
 
Back
Top Bottom