Kwa tabia hizi nani akuoe?

Kwa tabia hizi nani akuoe?

Napenda sana ulivyo huru na mawazo yako
Masharti mengiiii uwe na hela na maisha ya kunipa hapo aaaaaaaaaah nitakufagilia upite ama sivo uwe umejaaaliwa, ufundi wako kunako 6 by 6 uwe IMPECCABLE. Ila kama maisha kuunga na kupigana donee mshahara, kitandani kwenyewe nakufanyia hisani tu maana hukujiumba I HAVE ALL THE RIGHTS TO KUNUNARING, KIBRINIZATION, KISIRANIZATION.

HIVI MNAFIKIRI MTU ATAWEZAJE KUSURVIVE IN THA LEVELOF IN-ACCOMPLISHMENT, FAILURE, BAD LUCK! Sometimes anakuwa hivo ili asiondoke atiii!

Sincerely
Jicho la 3.
 
na mimi nashangaa mnavyolalamiiika. mara 95% of the world is poor sijui hao wenye hela mtawatoa wapi.

i havent said anything about the man. the man is under 30 and and is on the process of establishing his business (a construction company). has a car!
kwa mimi 1.2 ni nyingi kwa huyu, at 27 he is this far. i respect him.

kama unaona 1.2 ni cheap, usilalamike kutoa 50 ya salon......65 ya waxing.....24 ya Amarula ya kukaa home.....picking me up to dates.....na weekend makange ya rose garden. (I finance my own clothes thank you)

all those things u mention is still cheap to me hta nguo ntaku finance ,,,maskini kijana WA watu ndyo anaanza kazi na mshahara wake wa 1.2 still Kuna mtu bdo anaitolea macho hyo 1.2 acheni utegemezi fanyeni kazi
 
haha labda kwenye hiyo kampuni butbalianza kazi toka yuko 22!!

we kama ndo umeanza tu maisha unataka mwanamke wa nini. ama sivyo na wewe uwe na low expectations sio unataka a high maintanance wakati kufinance huwezi.
 
how much beautiful a u?
BTW kwa mchanganuo huu ina reflect u bado na mawazo ya kitoto..

hahaaa i was really looking forward to someone bringing this up!

Kama me mbaya ulinifwata wa nini?

Why get into a relationship with someone with no sex appeal??

anyways, i am not that beautiful. on a scale of ten, i am right below average. yani nikitoka nje nasema mungu wangu am I the missing link that Eiyer has been looking for?

usitake kunitesa kisa mbaya. tena uniache na ubaya wangu. i dont intend to spend my life kissing someone's a$$ just because he doesnt find me appealing.

AGAIN WHY FOLLOW ME KAMA SIJAKUVUTIA. There must be something wrong with you....maybe you are really ugly yourself¿ hahaaa.

utoto kisa i want be well groomed¿ mweee hata sitaki kukua. niache na utoto wangu.
 
Last edited by a moderator:
hebu kuwa makini kidogo na aina hii ya msimamo, itakugarimu sana hasa kwa nyie mnaokaa dar es salaam..

Kuna watu wanapesa lakini ni za muda mfupi sana.
Unavyosema unakataa mwanaume mwenye njaa, means Men are static kitu ambacho si kweli, mara mia ukampata wa kuchuma nae kuliko kumpata aliyechuma tayari..

Usijiwekee Mazingira ya kuwa slave!!
then kwa maandishi yako haya unaweza ukakutana na pretender akakumaliza..akijua kukupata wewe ni pesa
mambo yanakua so easy, kuazima gari na kukupeleka sehemu za maana inatosha kukumaliza!!

Hebu acha na uvivu wa kutaka kutafutiwa tuu, na wewe si ufanye kazi?
asante kwa ushauri mkuu ila mwanaume mwenye hea ndiyo mtamu
 
haha labda kwenye hiyo kampuni butbalianza kazi toka yuko 22!!

we kama ndo umeanza tu maisha unataka mwanamke wa nini. ama sivyo na wewe uwe na low expectations sio unataka a high maintanance wakati kufinance huwezi.

dada mi ni mjasiriamali cjaajiriwa na pato langu la mwezi ni mara 5 ya kipato cha ur bf na still na work hard to fullfill my dreams to become finnancial free before 30 thought i m same age with ur bf {27} kwa hyo cyo issue kwangu kumfinace mwanamke vitu km hivyo , ninachopingana na nyie ni ile hali ya kuona mwanaume anapaswa kuwa kila kitu kwenu nyie mmtega tu mnasuburia kupewa acheni utegemezi fanyeni kazi
 
I don't think so. You guys have made it look and sound so bad. You engage yourselves in relationships for wrong reasons.

Nyie wanawake mara nyingi ndio hamjiamini when it comes to marriage. Most of you don't really know what you want in life, ndio maana mnasemwa. Binafsi naamini unachagua maisha utakayo. Kama unaona maisha ya ndoa ni mazuri kwako sawa, kama vipi uishi mwenyewe. Lakini ni wadada wangapi wenye courage ya kuishi peke Yao na kuwa na furaha..sijakutana nao bado!

Nakubaliana na usemi wako, a man has to take control of his house. Tatizo liko kwenye viwango, high demands...wakati wenyewe hivyo viwango hamna..!

engage in rships with wrong reasons¿ kwani is there an ultimate reason for people to get in rships. people who engage in polygamy, what do they want? what about young girls wanaoolewa na vibabu? kuna watu hawataki watoto. there are people satisfied with poverty, mtu anasema kabisa hana mpango wa kumpeleka mtoto to a private school!

huwezi kusema mtu ameingia in a rship for wrong reasons.

about women, ofcourse wengi hawana courage kuface stereotypes. but these types of women are a dying breed. women now know whay they want and arent afaid of getting it
 
dada mi ni mjasiriamali cjaajiriwa na pato langu la mwezi ni mara 5 ya kipato cha ur bf na still na work hard to fullfill my dreams to become finnancial free before 30 thought i m same age with ur bf {27} kwa hyo cyo issue kwangu kumfinace mwanamke vitu km hivyo , ninachopingana na nyie ni ile hali ya kuona mwanaume anapaswa kuwa kila kitu kwenu nyie mmtega tu mnasuburia kupewa acheni utegemezi fanyeni kazi

mweee macho yamenitoka hahaaa. i have a thing for businessmen.

I dont think kuna mwanamke yeyote humu anayesema anataka mwanaume mwenye hela, ambaye hajishughulishi. They all independent women who want an independent man. is that too much to ask?

nashukuru kwa kukumbusha wanawake wawe bread winners. na sisi tunawakumbusha many things in the house change as a result of this. all the traditional values fall apart, you know what I'm sayin'?
 
Need I say more? Hapa nimeanza kufall in love na hii intelligence, trust me!

Unaweza kuucheza mpira kwa style unayoitaka kwasababu uko kwenye kikapu chako ......!!
 
hahaaa i was really looking forward to someone bringing this up!

Kama me mbaya ulinifwata wa nini?

Why get into a relationship with someone with no sex appeal??

anyways, i am not that beautiful. on a scale of ten, i am right below average. yani nikitoka nje nasema mungu wangu am I the missing link that Eiyer has been looking for?

usitake kunitesa kisa mbaya. tena uniache na ubaya wangu. i dont intend to spend my life kissing someone's a$$ just because he doesnt find me appealing.

AGAIN WHY FOLLOW ME KAMA SIJAKUVUTIA. There must be something wrong with you....maybe you are really ugly yourself¿ hahaaa.

utoto kisa i want be well groomed¿ mweee hata sitaki kukua. niache na utoto wangu.
housegirl nilikuwa nimeyamiss sana haya majubu yako ......

By the way,kwa mantiki uliyoijenga hapo uko sawa ...!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Eiyer, ni mama zetu tu ambao for millenia wamekubali na kuvumilia MITALA, men have never accepted co-husbands

Ni kwasababu sio sahihi kibinadamu na kiafya .....

Lakini udhaifu wao sio jambo la maana kwasababu hiyo ....!
 
kila la kheri mama

kaka wala usisumbuke na hawa wa humu jf wamejaa stress kibao baada ya kushindwa kumanage mahusiano yao japo hilo hawawezi kukwambia wapo hapa wanatema nyongo zao,ukitaka mke nenda usukumani kuna wake watimilifu na wenye kujitambua siyo hawa wanaoshinda na keybod kutwa ..hujiulizi mtu aliye normal anakwambia eti yeye haoni kwanini anatakiwa aoelewe? think deep mkuu!
 
siyo hawa wanaoshinda na keybod kutwa ..hujiulizi mtu aliye normal anakwambia eti yeye haoni kwanini anatakiwa aoelewe? think deep mkuu!

nashinda kutwa kwenye keyboard ulininunulia wewe?

nenda hukohuko usukumani upate mwanamke anashinda nyumbani kufuta vumbi na kukupikia.

eti mtu anasema shurti kuolewa? huoni huyu mtu hayuko normal? Think Deeper mkuu...abeg....
 
people wanajiandikia tu humu.. jamiiforums kila.mtu ana degree.. kila.mtu mambo safi kila mtu ana bwana tajiri.. omba ukutane nao sasa wanakimbia hao..

humu kuna wanaume na wanawake mna njaa vibaya mno mnaishi kwa ndugu au mmepanga uswahilini huko. wazaz wanaunga unga tu. mnamegwa na waganga njaa tu halafu humu kujitamba tu...

maisha sio lele mama kama mnavyojiongopea humu...

jiwe limerushwa gizani ukisikia yalaaa ujue limempata mtu
 
Ha ha ha ha..! Cyberspace kiongozi..!
 
Ni kwasababu sio sahihi kibinadamu na kiafya .....

Lakini udhaifu wao sio jambo la maana kwasababu hiyo ....!

Mi nadhani "SIO SAHIHI" ni kigezo chetu wanaume. Wakina mama wanapobadili hadi dini zao ili kuwa na sisi kama wake zetu hakuna kigezo cha afya. Issue Mkuu ni kwamba kina mama ni more accomodative wa demands zetu na sidhani ni kwa sababu ni wadhaifu
 
people wanajiandikia tu humu.. jamiiforums kila.mtu ana degree.. kila.mtu mambo safi kila mtu ana bwana tajiri.. omba ukutane nao sasa wanakimbia hao..

humu kuna wanaume na wanawake mna njaa vibaya mno mnaishi kwa ndugu au mmepanga uswahilini huko. wazaz wanaunga unga tu. mnamegwa na waganga njaa tu halafu humu kujitamba tu...

maisha sio lele mama kama mnavyojiongopea humu...

jiwe limerushwa gizani ukisikia yalaaa ujue limempata mtu

hahaha yalaaaaah.lols
 
Back
Top Bottom