CHADEMA haivunji muungano bali unatakiwa kuboreshwa na wananchi wa nchi hizi mbili washirikishwe kikamilifu. Matatizo ya muungano hayatakaa yaishe bila kuwa na uthubutu wa kuyasema. sasa watu wakitaka kuyasema mnasema ni Mwiko. hii ni sawa na kufuga donda ndugu.
Hadi jana kuna Bar kama 7 zimechomwa zanzibar na nyingi ni za wabara kisa mwezi mtukufu watu wasinywe bia - hakuna hata mmoja aliyekamatwa. Bado mnasema tusikae chini pande zote tuunde kitu kizuri ambacho wabara na wazanzibar wataridhika na kunufaika.
Watu wote wasioutakia mema muungano huu ndiyo wanaojifanya eti kuongelea kero hizi waziwazi ni uhaini. Mfano mzuri ni yule mbunge wa Zanzibar badala ya kujibu hoja za Lissu yeye akaanza kutukana tukana hovyo, amwewadhalilisha wazanzibar kwamba wana mwakilishi feki. Hoja ya LISSU zipo wazi asimame mtu azijibu badala ya kuanza kutoa matusi kama mtu hujaelimika.