Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,364
- 108,508
Umesema "hana wadhifa wowote zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu"
Well, Naibu Katibu Mkuu Mstaafu sio wadhifa!
Kwa hiyo huwezi kusema "hana wadhifa wowote zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu"!
Ni muendelezo wa saratani ile ile ya Mtanzania, Kiswahili tabu, kilugha chao tabu, cha kijifunza tabu...!
Balaa tupu!
Rudia tena kuisoma sentensi yangu mara mbili mbili, maana naona umejaribu kunukuu na bado umesahau neno "kisiasa"...nadhani tatizo lako mkuu umekurupuka kusoma bandiko langu pasipo kutafakari maudhui.
Ukishindwa kuelewa mara hii basi una mushkeli kunako ubongoni mwako.