Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

ahaaa...! Sasa majibu yanakuja. Kumbe anapikwa kwa kazi ya urais? Another deadly mistake to chama cha mapinduzi.

''Her return home has sparked fresh speculation
on who will emerge victorious in the hotly-
contested slot of CCM candidate in the 2015
presidential election. Dr Migiro’s name has
cropped up in the list of prospective presidential candidates in 2015, when
President Jakaya Kikwete’s second and
constitutionally last five-year term comes to an
end. The race is likely to be tough, with party
primaries expected to be heated following
political divisions in the ruling party and candidates who attack each other openly. Dr
Migiro appears to have an edge, however, with
some analysts speculating that CCM’s top brass
may decide to go with a high profile member of
her calibre to become the next president and
the first woman to hold the seat. Though she has not openly indicated an interest in the
presidency, there is still time for the diplomat to
weigh her chances and possibly tip the balance
in the dominant party.''
 
Barely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN have hinted that poor performance and failure to fit “in the diverse and complicated body” were some of the reasons she was refused a contract renewal.

“The position of the Deputy Secretary-General is complicated and demanding; it requires somebody who is experienced to efficiently run the Secretariat. Her biggest challenge was not understanding the politics at the world body and creating alliances,” the source told Vox Media in a telephone conversation.

Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, the largest regional group comprising of 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected. “She wasn’t popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized.”

In Dar es Salaam, a former senior ruling party secretariat member who worked closely with her in the same team before she assumed the UN post said her appointment was influenced by her personal relationship with President Jakaya Kikwete. It is understood that President Kikwete and UN Secretary-General Ban Ki-moon cultivated a close relationship when serving as foreign ministers for their respective governments.

When it came for Ban Ki-moon to canvass for votes toward his UN bid, Tanzania’s vote was predominant; Dr. Migiro was apparently battered with Kikwete’s vote. But when Ban Ki-Moon recently decided to review his entire team in a bid to control growing criticism of his team, Dr. Migiro had to go for “poor performance and lack of experience required of staff with the top UN mandate.”

SOURCE: Why Dr. Migiro lost her UN job | Vox Media | Get Informed, Inform others

Nataka humu ndani ya JF mniambie na tuache unafiki wa kimajungu:
"Ni nani ataweza kutuaminisha juu ya utendaji wa Migiro zaidi ya bosi Mr.Ban?? Yeye ndie alikuwa supervisor wake ambae Migiro alikuwa anaripoti kwake. Kauli yoyote ile inayohusu utendaji wa Migiro itakayokwenda kinyume na kauli ya bosi wake Mr.Ban basi hayo yatakuwa ni majungu ya kupikwa ambayo ni kawaida kwa mfanyakazi bora kazini kupikiwa majungu.

Well mkuu, yaonesha hayo maneno yangu kwenye red hapo hukuyasoma, can you read them now??

To give out a source, it doesn't sound anything to me.
How many sources of news do we have in this world? among them how do you believe and how many you don't believe?
Sio kila source ya habari tuiamini, kwa taarifa yako zinazoaminika ni chache kuliko zisizoaminika, nyingi kati ya hizo ziko kimajungu.
 
Mkuu Mleli tunashukuru kwa kutuwekea hiyo nukuu. Hiyo nafasi ni ya miaka mingapi? Nasikia ni miaka mitano mitano. Nijibu hapo kwanza.

It doesn't matter that post is for how long...................
By using your common sense; can you prove the failure of somebody just because she didn't stay in her post for the
whole period?

Afterall, that post was governed by the contract. The question is, did she finish her contract?? the answer is YES, she has finished her contract. If the matter is to re-new the contract, absolutely that is another issue.

Sio kila mtu anayefukuzwa na bosi wake basi ana makosa - That's totaly wrong thinking.
The same aply mfanyakazi kuongezewa mkataba au la. Yawezekana kuna maslahi binafsi ambayo bosi hayapati kutoka kwa mfanyakazi husika, and so on.............

NOTE: Migiro hajafukuzwa, bali ameondoka baada ya mkataba wake kuisha.

Kwa kuwa hapa hatubishani bali tunakwenda kwa hoja, na mkitaka ku-prove Migiro's failure;
Tuambieni humu ndani; ni yapi Migiro alitakiwa kufanya na hakufanya?? ni yapi aliyakosea na kivipi? alitakiwa afanye vipi na badala yake yeye akafanya vipi?? baada ya hapo utujie na takwimu katika ya aliyoyapatia na aliyoyakosea yapi mengi? ili awe amefeli, kwa sababu hata mtihani ukikosa moja au hata manne bado huitwi failure. Na nyie mje na hizo takwimu hapa, wekeni katika asilimia ya aliyoyapata kati ya yote aliyoyafanya, ikiwa atakuwa below 50% then utakuwa ume-prove her failure.

Kwa sababu naamini mpaka kufa kwangu kwamba katika hii dunia hakuna aliye perfect 100%.
La kama hamna hizo takwimu na hutaki kumsifia kuwa ameweza, basi kaa kimya.
 
sawa, keshamaliza ya UN. Ila tunasikia ali lobby ili kuongezewa muda ikadunda. hayo sio ishu. Niliuliza sababu ya yeye kuonekana na serikali wakati hana wadhifa wowote. Majibu ya jikoni ni kuwa anatengenezewa umakamu mwenyekiti wa ccm. Hope hatutamwona tena kwenye majukwaa ya kiserikali
 
wakati amerudi tu, nilisikia kwamba anarudi UDSM kufundisha, kazi yake ya zamani

sasa hapa ndo anaonekana kwen press kwenye mamikutano mbali mbali. Je, amerudi kweli kufundisha? Kuna watu wa UDSM wanaweza kutuhakikishia kuwa labda amepangiwa vipindi au ni vipi?

Maana kimsingi kama tunaulizia cheo chake, na kwa kufuata maneno yake alivyorudi, ni Mhadhiri mwandamizi hivi wa sheria

sasa huko kwengine anaenda kwa capcaity ya 'special envoy' wa UN sijui nini hilo nalo la mjadala
 
Hii biashara ya kusema ni mhadhiri pale mlimani sijui imalizwe vipi. Nimekaa mazingira ya chuo kwa miaka 10 hivi, kipindi hicho migiro anapigiwa upatu wa viti maalum (kwa wanawake wa elimu ya juu nadhani). Hajafundisha kwa zaidi ya miaka 10, iweje sasa bado awe mhadhiri wa chuo. Pia sishangai hata mama Tibaijuka, Muhongo, et al wakiwa bado ni wahadhiri
Naam ndugu, hata Dr. Bilal, Dr Mwakyembe, Prof Mwandosya ni waajiliwa wa CKD maana wako kwenye likizo isiyokuwa na malipo, na mara ITAKAPOWAPENDEZA watarudi kule kuendelea walipoachia! Ni taratibu za kawaida za kazini. Sina shaka huu ndo utaratibu hata maeneo mengine ya kazi!
 
sawa, keshamaliza ya UN. Ila tunasikia ali lobby ili kuongezewa muda ikadunda. hayo sio ishu. Niliuliza sababu ya yeye kuonekana na serikali wakati hana wadhifa wowote. Majibu ya jikoni ni kuwa anatengenezewa umakamu mwenyekiti wa ccm. Hope hatutamwona tena kwenye majukwaa ya kiserikali

Wewe tatizo lako ni nini? ni Migiro kuonekana kwenye majukwaa ya serikali tuu au kuna jingine? because for me that's not an issue.
Je ni kila anayeonekana kwenye majukwaa ya serikali unahoji uhalali wake wa kuwepo hapo? or what is soo interesting with Dr.Migiro.
Na kabla ya kuhoji sababu za yeye kuwepo kwenye majukwaa ya kiserikali, tuambie kwanza uharamu wa yeye kuwepo hapo. Mkuu, mbona sikuelewi. Try to be more widely open; unachokitaka kwa huyu mama ni kipi? mbona mama wa watu yuko tu kimya na hamkwazi mtu??
Ana nini hasa huyu mama mpaka kupanda kwake kwenye majukwaa iwe ni sumu kwa baadhi ya watu kama ninyi??
Kamwe usimtukane ambaye hajawahi kukutukana na wala usimpige vita yule aliye salama kwako. huo ni ushauri tuuu.

Hizo tetesi za kuandaliwa cheo kwenye chama ni tetesi tuu, yaani unamvinjia heshima mtu kwa kitu kinachoitwa tetesi??
 
Anatumia pia gari la serikali katika mizunguko yake! Je ni sawa? Kitakachotokea uchaguzi wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM karata itakayochezwa ni kama ya uspika kumng'oa Sitta. Watamng'oa Lowasa na kupendekeza safari hii wawanie wanawake ili Migiro apite. Yote hayo ni kumkomoa Lowasa
 
Back
Top Bottom