Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

mtu akistaafishwa kwa manyufaa ya umma bado anastahik kuitwa mstaafu?
Mkuu, mbona EL alikimbizwa na kamati ya Mwakyembe kutokana na ufisadi na bado anaitwa waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kudumu wa Nec ya magamba?
 
Tuamwona Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dk Asha-Rose Migiro kwenye vyombo vya habari kila mara. Mara hii anaongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia wakiongozana huko Arusha kufungua mkutano wa Umoja wa Mawaziri wa Serikali za Mitaa wa Afrika Mashariki. Tungependa kujua wadhifa wake wa sasa katika medani za siasa hapa nchini.

Wanajaribu kumfaraji ili aweze kusahau yaliyitokea na kujaribu kuadjust arudie maisha yake ya kawaida japo ni ngumu kumeza lakini hana jinsi! Nilimwona kwenye sherehe ya kumpongeza iliyoandaliwa na wanawake wa CCM choo kikuu alikuwa yuko down sana japo akina first lady na akina spika walikuwa wanajaribu kumlazimisha achangamke ila bado haikuwa rahisi. Sidhani kama atakuwa na hamu hata ya ubunge tena kwa aibu aliyoivuna huko!
 
anauza nyago!
Tuamwona Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dk Asha-Rose Migiro kwenye vyombo vya habari kila mara. Mara hii anaongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia wakiongozana huko Arusha kufungua mkutano wa Umoja wa Mawaziri wa Serikali za Mitaa wa Afrika Mashariki. Tungependa kujua wadhifa wake wa sasa katika medani za siasa hapa nchini.
 
Naibu katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN).
Sifahamu ni kwa nini tunachnganya "mtaafu" (retired) na aliyekua(former). Migiro is the former deputy secretary general and never a retired on that post. The same is the case for presidents, ministers,RC,DC e.t.c. Tuache uzuzu wakubwa tunachekesha....
 
Rose ni Mhadhiri mwandamizi wa Sheria pale Chuo kikuu Kampasi ya Mwalimu Nyerere. Bado anaishi kwenye nyumba yake Kilimahewa. Binafssi SITASHANGAA akiPEWA ujumbe wa NEC ya CCM kwa nafasi za Mwenyekiti!
 
JK anajaribu kumpika, lakini Dunia nzima itatucheka kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania. Mama kajaariwa kuwa na elimu nzuri, lakini uwezo katika fani ya Uongozi hamna kabisa. Hapa UN tunashindwa kujua sababu za kupwaya, labda hakuamini kushika nafasi kubwa kama ile au uwoga wa kuzungukwa na wazungu. Labda mjaribuni huko Bongo, udiwani kabla ya kumpendekeza Urais

Duh! unamuua kisiasa, za uso mapema hii? ingawa hajaonesha nia bado kuutaka uraisi
 
Ha ha haaaa, unajua maana ya kuboronga wewe, hebu nipe definition ya kuboronga, niambia spika anna anaboronga wapi,? Mongela ameboronga wapi? na Migiro ameboronga wapi? kwa taarifa yako unaongea na international person, na ajira za UN huwa ni za mikataba mitanox2, na inakuwa ni rotation na hivyo muda wako ukiisha anatafutwa mtu kutoka nchi nyingine, kwa hiyo ni organisation ya kimataifa mtu hawezi kukaa milex2, kofi anani alipomaliza muda wake sasa hivi kapewa Ban kimmoon, sasa hapo tatizo liko wapi? na tuseme kila mtu anayemaliza mkataba wake anashindwa? hapa EAC watu mikataba inaisha na wanateuliwa watu wengine kutoka nchi nyengine hasa kwa nafasi za juu, sasa wewe huo uzushi umeupata wapi? nashukuru kwa matusi ila najua mtu mwenye upeo mfupi siku zote domo lake liko wazi kwa matusi. Asante kwa uzushi wako na watanzania wenye vichwa kama cha kwako watakuunga mkono, ila wale wenye positive mind never, sahau kabisa.

Mbona hakumalizia vipindi vyote viwili kama ilivyokuwa kwa kofii Anani na wenzake! au ndio hiyo perfomance?
 
Kwa sasa Raia Fulani ni nani hadi aanze kuwapangia ratiba na kuwawekea mipaka raia huru wa Tz kama huyu msomi na mwenye uzoefu na urafiki na watu wengi?

ptuuuuuuu!- (kiashirio cha kutema mate kuelekea utosini) kwako mleta mada na wenzako ambao mnaanza kuelekeza chuki na mijadala ya kutafuta wagombea wa urais. Ninyi ni wa kutemewa mate kama alivyosema mzee mmoja hili neno moja la busara hivi juzi.

Yaani hata kuwa tu Mhadhiri wa Chuo kikuu unaweza kualikwa sehemu mbalimbali kufungua vikao au kuwapa watu sehemu tu ya uzoefu na elimu ambayo watanzania wenzako wamekuwezesha.

Hupendi, jiandikie wito mwenyewe kama mwaliko au kisha ujiwekee kiti kisicho na mtu useme nacho kama alivyofanya yule mchekeshaji kwenye Republicans convention! Sijamsikia huyu mama akitamka chochote juu ya kugombea lakini homa na kuharisha kunawapata baadhi ya watu sijui mnatumwa na hao ambao wameshajitangaza? ptuuuuuuuuuuuuuuungru!nao wapate makoozi usoni!!!
 
Mimi nadhani yeye bado ni hazina kubwa kwa Taifa kwa kushika nyadhifa ile ya juu

Binaadamu tunakuona mtu ukiwa na kitu au nafasi, sasa nafasi haipo tunamwona tambara la deki,

Zamani waTanzania waliweza kujiidentify through yeye kupitia title yake

Kafanya alivyoweza kwa uwezo wake, she couldn't play UN politics well maana pale kwenye nafasi ile u r less operational and more strategic hivyo she had an armlenght of helpers

Ndio tunasema hajaperfom sawasawa lakini HAJAHARIBU wala hajaabisha

Migiro atumike vizuri katika women leadership grooming, maana ukishakosea ndio unajifunza

So she should forge ahead turning each stumbling block, into a stepping stone na pamba masikioni

Kama hujapafomu sawasawa si ndio kuharibu?
 
Rose ni Mhadhiri mwandamizi wa Sheria pale Chuo kikuu Kampasi ya Mwalimu Nyerere. Bado anaishi kwenye nyumba yake Kilimahewa. Binafssi SITASHANGAA akiPEWA ujumbe wa NEC ya CCM kwa nafasi za Mwenyekiti!

Hii biashara ya kusema ni mhadhiri pale mlimani sijui imalizwe vipi. Nimekaa mazingira ya chuo kwa miaka 10 hivi, kipindi hicho migiro anapigiwa upatu wa viti maalum (kwa wanawake wa elimu ya juu nadhani). Hajafundisha kwa zaidi ya miaka 10, iweje sasa bado awe mhadhiri wa chuo. Pia sishangai hata mama Tibaijuka, Muhongo, et al wakiwa bado ni wahadhiri
 
Kwa sasa Raia Fulani ni nani hadi aanze kuwapangia ratiba na kuwawekea mipaka raia huru wa Tz kama huyu msomi na mwenye uzoefu na urafiki na watu wengi?

ptuuuuuuu!- (kiashirio cha kutema mate kuelekea utosini) kwako mleta mada na wenzako ambao mnaanza kuelekeza chuki na mijadala ya kutafuta wagombea wa urais. Ninyi ni wa kutemewa mate kama alivyosema mzee mmoja hili neno moja la busara hivi juzi.

Yaani hata kuwa tu Mhadhiri wa Chuo kikuu unaweza kualikwa sehemu mbalimbali kufungua vikao au kuwapa watu sehemu tu ya uzoefu na elimu ambayo watanzania wenzako wamekuwezesha.

Hupendi, jiandikie wito mwenyewe kama mwaliko au kisha ujiwekee kiti kisicho na mtu useme nacho kama alivyofanya yule mchekeshaji kwenye Republicans convention! Sijamsikia huyu mama akitamka chochote juu ya kugombea lakini homa na kuharisha kunawapata baadhi ya watu sijui mnatumwa na hao ambao wameshajitangaza? ptuuuuuuuuuuuuuuungru!nao wapate makoozi usoni!!!

Jaribu kupunguza kiherehere. Hakuna yoyote alliyezungumzia urais kwa migiro huko mbeleni. Hapa wadau wanauliza inakuwaje tunamwona kwenye hafla za kiserikali. Wewe unasema ni mhadhiri. Kwa vigezo vipi? Kwa fikra zako unadhani atarudi kushika chaki? Never! Basi tumwonhezee na cheo kingine cha mhadhiri mstaafu, maana hilo la naibu katibu mkuu mstaafu (aliyemaliza muda wake) mmelishikia bango. Binafsi sina tofauti zozote na migiro. Cha msingi tujue uhalali wa uhusika wake katika siasa za tz kwa sasa.
 
Mbona hakumalizia vipindi vyote viwili kama ilivyokuwa kwa kofii Anani na wenzake! au ndio hiyo perfomance?

Wenzake akina nani??? Koffi Anani sio mwenzake. Koffi Anani alikuwa SG, naye Dr.Migiro alikuwa DSG. Hata kuingia kwao hao watu wawili miamala yao ni tofauti kabisa. Mkuu fikiria kwanza kabla ya kuandika kwani humu huongei na watoto wadogo wasiofahamu mambo.

Kwa nafasi aliyokuwa nayo Migiro ya DSG yeye ndie kaweka historia ya kukaa kwa muda mrefu kuliko wote kwenye hiyo post katika historia ya UN. Je na hao waliopita waliboronga???? kama ni kweli waliboronga basi we have to be proud for Migiro kwa sababu yaonyesha kuwa yeye ana afadhali angalau amemaliza muhula mmoja.
 
Kwa sasa Raia Fulani ni nani hadi aanze kuwapangia ratiba na kuwawekea mipaka raia huru wa Tz kama huyu msomi na mwenye uzoefu na urafiki na watu wengi?

ptuuuuuuu!- (kiashirio cha kutema mate kuelekea utosini) kwako mleta mada na wenzako ambao mnaanza kuelekeza chuki na mijadala ya kutafuta wagombea wa urais. Ninyi ni wa kutemewa mate kama alivyosema mzee mmoja hili neno moja la busara hivi juzi.

Yaani hata kuwa tu Mhadhiri wa Chuo kikuu unaweza kualikwa sehemu mbalimbali kufungua vikao au kuwapa watu sehemu tu ya uzoefu na elimu ambayo watanzania wenzako wamekuwezesha.

Hupendi, jiandikie wito mwenyewe kama mwaliko au kisha ujiwekee kiti kisicho na mtu useme nacho kama alivyofanya yule mchekeshaji kwenye Republicans convention! Sijamsikia huyu mama akitamka chochote juu ya kugombea lakini homa na kuharisha kunawapata baadhi ya watu sijui mnatumwa na hao ambao wameshajitangaza? ptuuuuuuuuuuuuuuungru!nao wapate makoozi usoni!!!

nimekupenda mkuu Kibunago.
 
Jaribu kupunguza kiherehere. Hakuna yoyote alliyezungumzia urais kwa migiro huko mbeleni. Hapa wadau wanauliza inakuwaje tunamwona kwenye hafla za kiserikali. Wewe unasema ni mhadhiri. Kwa vigezo vipi? Kwa fikra zako unadhani atarudi kushika chaki? Never! Basi tumwonhezee na cheo kingine cha mhadhiri mstaafu, maana hilo la naibu katibu mkuu mstaafu (aliyemaliza muda wake) mmelishikia bango. Binafsi sina tofauti zozote na migiro. Cha msingi tujue uhalali wa uhusika wake katika siasa za tz kwa sasa.
Kumbe na wewe ni katika wale wanaomchukia huyu mama..!!!!
Nilijua wewe ni mleta mada tu, lakini kumbe uliuleta huu uzi ili upate kumchafua vizuri. Nadhani nia yako imetimia.
 
Uongozi mpya wa CCM sasa ndani ya bahasha,
Nape Katibu Mkuu
Ngeleja Katibu Mwenezi
Migiro Makamu Mwenyekiti.
kawa waweza jipatie gazdti la Rai. da! hii ndio tz bana aise
 
Back
Top Bottom