Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

Kwasasa ni Special Envoy for HIV/AIDS in Africa of the United Nations Secretary-General from 13 July 2012.Na kama unavyojua maswala ya HIV ni mtambuka ndiyo maana anaweza kuonekana sehemu tofauti na watu tofauti.
 
asante kwa kujibu...
 
so, technically she moved downwards in UN hierachy from deputy Gen. Secretary to Special envoy?
 
Marasi wastaafu wanapopewa heshma ya kuzindua vikao mbalimbali vya kimataifa hapa nchini huwa wana vyeo gani? Migiro pamoja na yote yanayosemwa dhidi yake( siujui kama ni ya kweli), ni Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN. Hivyo kwake kufungua warsha yoyote hapa nchini kuna kosa gani? Hadi awe na nafasi ya kisiasa? Mnaohoji kama anastahili kuitwa Naibu Katibu Mkuu, mnafanya hivyo kwa hoja gani? Mbona gamba kuu la CCM liliangukia pua kwa kashfa ya richmwendu linaitwa wajiri mkulu mstaafu na linalamba stahili zote sawa na wengine wa ukweli hatujaona mnahoji? Acheni uchuro na unafiki.
 
JK anajaribu kumpika, lakini Dunia nzima itatucheka kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania. Mama kajaariwa kuwa na elimu nzuri, lakini uwezo katika fani ya Uongozi hamna kabisa. Hapa UN tunashindwa kujua sababu za kupwaya, labda hakuamini kushika nafasi kubwa kama ile au uwoga wa kuzungukwa na wazungu. Labda mjaribuni huko Bongo, udiwani kabla ya kumpendekeza Urais

yawezekana ndugu kuwa unayosema yanaweza kuwa kweli. Lakini mama yetu Tibaijuka alikuwa jembe sana tu huko. Tunashindwa kujua iweje kwa Dk wetu huyu. Tunamtakia jk mapishi mema
 
Lema ana cheo gani Chadema saizi mbona anachangisha pesa.

Kinachoongelewa hapa ni hii recent 'phenomenon' ya mtu ambaye hana wadhifa wowote serikalini lakini anafanya kazi/anawalisha serikali. Mfano kwenye mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya mwezi uliopita huyu Asha Migiro aliiwakilisha serikali! Sasa kaanza kuzindua shughuli za seriali.

But we are not stupid, wanawake wa CCM na hasa wale walio kwenye nafasi za maamuzi e.g Sophia Simba, Hawa Ghasia wamepewa kibarua cha kumdadi huyu mama. Tunasubiri kwa hamu ngonjera za 'zamu hii ni ya mwanamke'!
 
Kwasasa ni Special Envoy for HIV/AIDS in Africa of the United Nations Secretary-General from 13 July 2012.Na kama unavyojua maswala ya HIV ni mtambuka ndiyo maana anaweza kuonekana sehemu tofauti na watu tofauti.

wangeweka bayana ingekuwa safi zaidi
 
Kwasasa ni Special Envoy for HIV/AIDS in Africa of the United Nations Secretary-General from 13 July 2012.Na kama unavyojua maswala ya HIV ni mtambuka ndiyo maana anaweza kuonekana sehemu tofauti na watu tofauti.
i hope hana mawazo ya kuja kuwa rais maana anaonekana fitna na michezo michafu ya kisiasa haiwezi,..hivi inakuwaje unaacha kufundisha unakimbilia siasa?ni uroho wa pesa au nini?
 
Acha umbeya ndg, Migiro hakushindwa UN bali mkataba wake umeisha na yeye mwenyewe ameamua kurudi nyumbani, lkn sio kwamba eti ndo akae tu bila hata ya kutumia ujuzi alio upata huko kimaifa, eti kuna watu wanamuonea wivu urais 2015, na usijipe chati chati eti uko UN, wakati wewe ni mbeba masufuria ya mama lishe hapo manzese. hata hiyo UN yenyewe unaisikia tu, kwa sababu laiti ungekuwa unajua usingeandika uozo huo.

Kwani UN ni peponi? wewe niaje? Unamshambulia mwenzio kwa jazba hivyo kisa nini??
 
Dr. Asha Rose oyeeee! Peopleoooooooooooooooooooooz poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
 
Acha umbeya ndg, Migiro hakushindwa UN bali mkataba wake umeisha na yeye mwenyewe ameamua kurudi nyumbani, lkn sio kwamba eti ndo akae tu bila hata ya kutumia ujuzi alio upata huko kimaifa, eti kuna watu wanamuonea wivu urais 2015, na usijipe chati chati eti uko UN, wakati wewe ni mbeba masufuria ya mama lishe hapo manzese. hata hiyo UN yenyewe unaisikia tu, kwa sababu laiti ungekuwa unajua usingeandika uozo huo.

Hapo kwenye red, fuatilia ukweli halafu urudi tena!
 
Tuamwona Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dk Asha-Rose Migiro kwenye vyombo vya habari kila mara. Mara hii anaongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia wakiongozana huko Arusha kufungua mkutano wa Umoja wa Mawaziri wa Serikali za Mitaa wa Afrika Mashariki. Tungependa kujua wadhifa wake wa sasa katika medani za siasa hapa nchini.

Lakini si alisema kuwa anataka kururi kufundisha UDSM? Bado apenda siasa? Si nilisikia kuwa aliacha UN kwa "kutokukidhi haja" au viwango?
 
Lakini si alisema kuwa anataka kururi kufundisha UDSM? Bado apenda siasa? Si nilisikia kuwa aliacha UN kwa "kutokukidhi haja" au viwango?

hizo ni kauli za kisiasa zaidi. Hawezi rudi udsm iwe ni kwa kupenda au kulazimishwa. Wangapi wamerudi?
 
Back
Top Bottom