Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

Naona hapa umechanganya. Asha Rose ni CCM.

Asha Rose ni Asha Rose Migiro. CCM ni CCM (Chama cha Mafisadi) Hivyo Asha Rose si Chama cha Mafisadi. Wewe ndie uliyechanganya. Anachoweza kuwa ni mwanachama wa Chama cha Mafisadi. Upo?
 
Kumbe na wewe ni katika wale wanaomchukia huyu mama..!!!!
Nilijua wewe ni mleta mada tu, lakini kumbe uliuleta huu uzi ili upate kumchafua vizuri. Nadhani nia yako imetimia.

i knew you was coming to me. Kuna kufanana kokote kati ya kumaliza muda wa uongozi na kustaafu? Tena kuna uhalali wowote wa Migiro kuambatana na uongozi wa kiserikali katika itifaki zake?
 
Wenzake akina nani??? Koffi Anani sio mwenzake. Koffi Anani alikuwa SG, naye Dr.Migiro alikuwa DSG. Hata kuingia kwao hao watu wawili miamala yao ni tofauti kabisa. Mkuu fikiria kwanza kabla ya kuandika kwani humu huongei na watoto wadogo wasiofahamu mambo.

Kwa nafasi aliyokuwa nayo Migiro ya DSG yeye ndie kaweka historia ya kukaa kwa muda mrefu kuliko wote kwenye hiyo post katika historia ya UN. Je na hao waliopita waliboronga???? kama ni kweli waliboronga basi we have to be proud for Migiro kwa sababu yaonyesha kuwa yeye ana afadhali angalau amemaliza muhula mmoja.

Hujajibu swali! Koment yako ya hapo mwanzo ulisema Asha hajaperfom sawasawa.

Kama katbu mkuu wa sasa wa UN anatumikia kipindi chake chote (5yrs+5yrs=10yrs) kama ilivyokuwaga kwa watangulizi wake, kwanini Asha rozi nae asimalizie kipindi chote cha miaka 10?.Hata hapa nyumbani pia Uraisi ni kila baada ya miaka mitano lakini wengi humalizia vipindi vyote viwili 10yrs.Pungufu ya hapo lazima unamatatizo!
 
i knew you was coming to me. Kuna kufanana kokote kati ya kumaliza muda wa uongozi na kustaafu? Tena kuna uhalali wowote wa Migiro kuambatana na uongozi wa kiserikali katika itifaki zake?

Ndio mkuu, uhalali wa yeye kuambatana na uongozi wa kiserikali upo na hakuna ubaya. Kama hakuna uhalali huo na kuna ubaya kufanya hivyo, come with facts.
Hapa twabadilishana mawazo tena ukijua kwamba mimi sio mbishi, hoja zako zenye mashiko ndizo zitanibadilisha na kuwa na mtazamo kama wa kwako.
 
Lema ana cheo gani Chadema saizi mbona anachangisha pesa.

Ritz na CDM!! Ila napenda misimamo yako kwa chama chako!!! Dr. Migiro anatumika kukaba roof ufunguzi wa mikutano inayohitaji high level opening na wakati huo pengine nje kisafari!!!! Da itifaki inazingatiwa!!! Kwik kwik kwik!!!
 
Hujajibu swali! Koment yako ya hapo mwanzo ulisema Asha hajaperfom sawasawa.

Kama katbu mkuu wa sasa wa UN anatumikia kipindi chake chote (5yrs+5yrs=10yrs) kama ilivyokuwaga kwa watangulizi wake, kwanini Asha rozi nae asimalizie kipindi chote cha miaka 10?.Hata hapa nyumbani pia Uraisi ni kila baada ya miaka mitano lakini wengi humalizia vipindi vyote viwili 10yrs.Pungufu ya hapo lazima unamatatizo!

Kwa hiyo wewe unaongea kinadharia na sio reallity. Mkuu, kufikiria tu kwamba kwa vile mtu hajamaliza kipindi chake cha uongozi basi ame-under perform sio hoja yenye mashiko.
Hali ya kuwa kauli ya Bosi wake katika hafla ya kumuaga inaashiria tofauti na maelezo yako.
"Ms Migiro's experience in responding as UN Deputy Secretary General, combined with her many years as an advocate for health and social justice in Africa, make her uniquely qualified for this important role," said Mr Ban.

Mr Ban ndie mtu pekee anaeweza kutuaminisha juu ya utendaji wa Dr. Migiro.
Inaniwia vigumu kukuelewa kwa jinsi unavyotaka umma wa watanzania tuamini kwa hizo kauli zenu humu ndani ya JF juu ya utendaji wa Migiro na tuache kuamini kauli ya Mr.Ban tena aliyoitoa mbele ya public na mbele ya vyombo vya habari vya ulimwengu mzima.

Watanzania tubadilikeni, majungu tuacheni, hio sio mila yetu wala ya mababu zetu.
 
Si amepewa Ulaji as ...Special Envoy for HIV/AIDS in Africa of the United Nations Secretary-General

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Asha Rose ni Asha Rose Migiro. CCM ni CCM (Chama cha Mafisadi) Hivyo Asha Rose si Chama cha Mafisadi. Wewe ndie uliyechanganya. Anachoweza kuwa ni mwanachama wa Chama cha Mafisadi. Upo?

Sio anachoweza,ni mwanachama wa ccm
 
Kwa hiyo wewe unaongea kinadharia na sio reallity. Mkuu, kufikiria tu kwamba kwa vile mtu hajamaliza kipindi chake cha uongozi basi ame-under perform sio hoja yenye mashiko.
Hali ya kuwa kauli ya Bosi wake katika hafla ya kumuaga inaashiria tofauti na maelezo yako.
"Ms Migiro's experience in responding as UN Deputy Secretary General, combined with her many years as an advocate for health and social justice in Africa, make her uniquely qualified for this important role," said Mr Ban.

Mr Ban ndie mtu pekee anaeweza kutuaminisha juu ya utendaji wa Dr. Migiro.
Inaniwia vigumu kukuelewa kwa jinsi unavyotaka umma wa watanzania tuamini kwa hizo kauli zenu humu ndani ya JF juu ya utendaji wa Migiro na tuache kuamini kauli ya Mr.Ban tena aliyoitoa mbele ya public na mbele ya vyombo vya habari vya ulimwengu mzima.

Watanzania tubadilikeni, majungu tuacheni, hio sio mila yetu wala ya mababu zetu.

Mr Ban ilibidi amfariji tuu.We ulitaka aongee mbovu. Migiro hamna kitu!TZ inawanawake wengi vichwa, ila sio Migiro.
Arudi kwenye ualimu akafundishe tuu.Kama nchini mwake hajawahi kufanya kitu akakumbukwa, Kimataifa atawezaje?
 
Wanafiki wote motoni. Hay umeyakumbuka leo baradhri ww. Makamu Mwenyekiti Bara ajaye
 
Mr Ban ilibidi amfariji tuu.We ulitaka aongee mbovu. Migiro hamna kitu!TZ inawanawake wengi vichwa, ila sio Migiro.
Arudi kwenye ualimu akafundishe tuu.Kama nchini mwake hajawahi kufanya kitu akakumbukwa, Kimataifa atawezaje?

Can you prove her failure????
Kama unatabia ya kumsifia mtu kiunafiki, is not the same applied to the international level.
Wenzetu wakimsifia mtu wanamaanisha kweli, na hata kama umeboronga na hawataki kusema mabaya yako kwa kukulindia heshima, watakaa kimya na katu hawatokupa sifa zisizokustahiki. The same applied to Migiro, hata kama kuna upungufu katika performance yake, well, she is a human being. Lakini kwa mazuri tuliyoyasikia kuhusu yeye ni kweli tupu na ni stahiki yake. Soma kauli ya Mr.Ban hapo chini.........

" Kama ni kuvaa viatu vyake, naweza kusema ningechekesha sana, kwa ufupi siwezi kuvaa viatu vya Migiro, amekuwa msaada mkubwa sana kwangu, ameniwakilisha vema kila mahali nilipomtuma hata katika mazingira magumu na ya hatari, kote ameniwakilisha vema sana, kama mwalimu wangu, na kama profesa wangu anastahili alama ya juu sana............Siyo rahisi kuelezea yale aliyoyafanya nyuma ya pazia, namna gani alivyochapa kazi kwa nguvu, yapo mengi makubwa ambayo Migiro ameyafanya na kuyakamilisha kwa uadilifu wa hali ya juu. Migiro ni mwanadiplomasia aliyebobea lakini ni mtu wa vitendo, vitendo ambavyo lazima utaona matunda yake.......Migiro amefanya kazi na viongozi wagumu, kiwamo aliyekuwa Rais wa Libya Muammar Quadaff aliyethubutu hata kumrushia katiba ya Umoja wa Mataifa, amezikuna nyonyo za watu wengi wakiwamo watu wanyonge na wenye matatizo mbalimbali. Migoro unaondoka, lakini Umoja wa Mataifa hauta sahau mchango wako. Hapa ni nyumbani kwako, na nitaendelea kuomba msaada wako na ushirikiano wako, bado nitaendelea kukuhitaji"

........................Mwisho wa kunukuu.

Nataka humu ndani ya JF mniambie na tuache unafiki wa kimajungu:
"Ni nani ataweza kutuaminisha juu ya utendaji wa Migiro zaidi ya bosi Mr.Ban?? Yeye ndie alikuwa supervisor wake ambae Migiro alikuwa anaripoti kwake. Kauli yoyote ile inayohusu utendaji wa Migiro itakayokwenda kinyume na kauli ya Mr.Ban basi hayo yatakuwa ni majungu ya kupikwa ambayo ni kawaida kwa mfanyakazi bora kazini kupikiwa majungu.
 
Barely a week after the immediate former Deputy Secretary-General, Dr. Asha Rose Migiro returned to Tanzania after serving a five-year term at the helm of the world body, sources within the UN have hinted that poor performance and failure to fit "in the diverse and complicated body" were some of the reasons she was refused a contract renewal.

"The position of the Deputy Secretary-General is complicated and demanding; it requires somebody who is experienced to efficiently run the Secretariat. Her biggest challenge was not understanding the politics at the world body and creating alliances," the source told Vox Media in a telephone conversation.

Dr. Migiro is understood to have approached the African Group, the largest regional group comprising of 28 percent of all UN members, to ask for help in lobbying for her re-appointment, but her quest was rejected. "She wasn't popular amongst diplomats; so nobody listened to her. You should also recall that her appointment was widely criticized."

In Dar es Salaam, a former senior ruling party secretariat member who worked closely with her in the same team before she assumed the UN post said her appointment was influenced by her personal relationship with President Jakaya Kikwete. It is understood that President Kikwete and UN Secretary-General Ban Ki-moon cultivated a close relationship when serving as foreign ministers for their respective governments.

When it came for Ban Ki-moon to canvass for votes toward his UN bid, Tanzania's vote was predominant; Dr. Migiro was apparently battered with Kikwete's vote. But when Ban Ki-Moon recently decided to review his entire team in a bid to control growing criticism of his team, Dr. Migiro had to go for "poor performance and lack of experience required of staff with the top UN mandate."

SOURCE: Why Dr. Migiro lost her UN job | Vox Media | Get Informed, Inform others
 
Lema ana cheo gani Chadema saizi mbona anachangisha pesa.

watu wengine bana sijua wana tumia nini,sasa ya lema na chadema yamefikaje hapa?tunataka kujua hizi safari nani anagaramia na anausikaje kwenye shughuli za serikali?
 
Mkuu Mleli tunashukuru kwa kutuwekea hiyo nukuu. Hiyo nafasi ni ya miaka mingapi? Nasikia ni miaka mitano mitano. Nijibu hapo kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kupunguza kiherehere. Binafsi sina tofauti zozote na migiro. Cha msingi tujue uhalali wa uhusika wake katika siasa za tz kwa sasa.

Hicho chako si tu kiherehere ni kirohoroho; Una tofauti kubwa sana na Migiro na ndio maana hujui kwamba siasa ni maisha ya watu ya kila siku na kila mtu anaruhusiwa kushiriki na kushirikishwa siasa ilimradi havunji sheria ya nchi na kwamba kurudi kufundisha si issue kwake kama hatapewa nafasi nyingine.

Ni uwezo na uzoefu wako mdogo au PR yako kuwa ya roho ya korosho ya kutoshirikana na watu hata ukiacha kazi au kustaafu hutakaa ukaribishwe popote maana huna cha kuwapa. Migiro ataendelea kuitwa na kupewa nafasi ya kuongea, kufundisha, kushauri na hata kuongoza kutegemeana na nafasi na wanaomuhitaji wanavyomkubali. Eti uone uhalali wa uhusika wake katika siasa za TZ? Hiyo ni kwa mujibu wa sheria namba ngapi ya lini? Hujui kuwa hata kuanzisha tu huu uzi usio na mantiki ktk jukwaa la siasa tayari unashiriki siasa za Tz.

Naendelea kuuliza 'Raia Fulani' ni nani ku-monitor na ku-monopolize ushiriki wa siasa Tanzania? kwamba mtu akikaribishwa kwenye jukwaa fulani au kikao fulani au sherehe fulani basi wale wenye nepi zenye chapa za kugombea urais zinaanza kulowa! Ptuuuuuuuptu usoni! Mbona bado sana; haya ni majira tofauti na mliyozoea, si unasikia mtu anasimama na kusema nisipoona jina langu patachimbika; kabla ya jogoo kuwika hakuna panapochimbika bali badala yake tunamshuhudia akitembea na koleo na kifusi akijitolea kufukia mabonde!
 
nimekupenda mkuu Kibunago.

Mkuu ni budi watu wawe fair na tujadili hoja za maana hapa. Eti anasema anatafuta uhalali wake wa ushiriki wa siasa TZ? Sasa alitaka ashiriki siasa za nchi gani?

Mleta hoja anatafuta kupewa kazi na cheo tusichokuwa nacho kiitwacho, Mnusaji, Msajiri na Mkaguzi Mkuu Mfawidhi wa Ushiriki wa wananchi katika siasa nchini!!!!:tape2:
 
Back
Top Bottom