Kwa sasa Asha Migiro ni nani?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,767
2,544
Tuamwona Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Dk Asha-Rose Migiro kwenye vyombo vya habari kila mara. Mara hii anaongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia wakiongozana huko Arusha kufungua mkutano wa Umoja wa Mawaziri wa Serikali za Mitaa wa Afrika Mashariki. Tungependa kujua wadhifa wake wa sasa katika medani za siasa hapa nchini.
 
Ni mwalimu hapo Mlimani, na wala hana wadhifa wowote kisiasa zaidi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa UN
 
JK anajaribu kumpika, lakini Dunia nzima itatucheka kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania. Mama kajaariwa kuwa na elimu nzuri, lakini uwezo katika fani ya Uongozi hamna kabisa. Hapa UN tunashindwa kujua sababu za kupwaya, labda hakuamini kushika nafasi kubwa kama ile au uwoga wa kuzungukwa na wazungu. Labda mjaribuni huko Bongo, udiwani kabla ya kumpendekeza Urais
 
Ilikuwa kosa kubwa sana kumbeba beba. Labda kama angeachwa akwee mwenyewe huenda angekuwa bora kuliko ilivyokuja kutokea. Mishkaki ya kulipua kwa moto mwingi huishia kutokuiva au kuungua. Si vibaya akarudi Mlimani kuwafunza vijana wetu. She can still make a better mwalimu.
 
JK anajaribu kumpika, lakini Dunia nzima itatucheka kama atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania. Mama kajaariwa kuwa na elimu nzuri, lakini uwezo katika fani ya Uongozi hamna kabisa. Hapa UN tunashindwa kujua sababu za kupwaya, labda hakuamini kushika nafasi kubwa kama ile au uwoga wa kuzungukwa na wazungu. Labda mjaribuni huko Bongo, udiwani kabla ya kumpendekeza Urais
Acha umbeya ndg, Migiro hakushindwa UN bali mkataba wake umeisha na yeye mwenyewe ameamua kurudi nyumbani, lkn sio kwamba eti ndo akae tu bila hata ya kutumia ujuzi alio upata huko kimaifa, eti kuna watu wanamuonea wivu urais 2015, na usijipe chati chati eti uko UN, wakati wewe ni mbeba masufuria ya mama lishe hapo manzese. hata hiyo UN yenyewe unaisikia tu, kwa sababu laiti ungekuwa unajua usingeandika uozo huo.
 
Ni mke wa Prof. Migiro wa hapa Murutunguru, wilayani Ukerewe.:crying::crying::crying:
 
Acha umbeya ndg, Migiro hakushindwa UN bali mkataba wake umeisha na yeye mwenyewe ameamua kurudi nyumbani, lkn sio kwamba eti ndo akae tu bila hata ya kutumia ujuzi alio upata huko kimaifa, eti kuna watu wanamuonea wivu urais 2015, na usijipe chati chati eti uko UN, wakati wewe ni mbeba masufuria ya mama lishe hapo manzese. hata hiyo UN yenyewe unaisikia tu, kwa sababu laiti ungekuwa unajua usingeandika uozo huo.
Kama wewe ni mchawi, basi kajipange upya, na kama unamlipa mtu kupiga bao, mtafute mwingine. Unaongelea wivu, wewe unaweza kuwa wa kwanza kwa kufikiri kila mtu ni mbeba masufuria.
Ukweli ni huo, huyo ni mwanamke wa tatu kwa CCM, kuboronga katika jumuia za kimataifa.Mongela, Tubaijuka na sasa Makinda hapo Dodoma.
 
quote_icon.png
By HAPPY MAKUKU

Acha umbeya ndg, Migiro hakushindwa UN bali mkataba wake umeisha na yeye mwenyewe ameamua kurudi nyumbani, lkn sio kwamba eti ndo akae tu bila hata ya kutumia ujuzi alio upata huko kimaifa, eti kuna watu wanamuonea wivu urais 2015, na usijipe chati chati eti uko UN, wakati wewe ni mbeba masufuria ya mama lishe hapo manzese. hata hiyo UN yenyewe unaisikia tu, kwa sababu laiti ungekuwa unajua usingeandika uozo huo.
Ingekuwa hivyo Dr Lipumba angepeta bongo, maana yeye ndio anamaujuzi yenyewe...............!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom