Kwa porojo hizi za TRA ndiyo maana hata mapato ya kila mwezi yamebaki "midomoni" mwao

Hujui maana ya VAT ww. Sibishani na asiyejua maana Anaejua na asiejua, hawa wawili hawawi sawa ktk maelezo yao.
ujuzi wa jambo lolote unatakiwa kuwa backed na nadharia sahihi, vinginevyo ni sawa na gari bila usukani.
 
Hujui maana ya VAT ww. Sibishani na asiyejua maana Anaejua na asiejua, hawa wawili hawawi sawa ktk maelezo yao.
ujuzi wa jambo lolote unatakiwa kuwa backed na nadharia sahihi, vinginevyo ni sawa na gari bila usukani.
 
TRA hawajaacha Taaluma hawajui kitu kabisa wanafanya madudu mengi waangaliwe hao...wameweka VAT kwa mizigo ya Transit wakati nchi zingine VAT mgeni unarudishiwa unapotoka iwe boarder unayotoka au airport...
Hakuna jinsi. Nchi Kama za Ulaya transit inatumiwa Kama inavyopaswa lakini Tanzania kuna udanganyifu mkubwa. Mizigo Tanzania ni transit on paper lakini inaishia mitaani!!
 
Mkuu ww hujui sera za biashara. Kila kampuni ina profit policy yake interms of percentage. Kwamba kwenye kila muamala benki imejiwekea sera ipate faida kiasi gani, sasa unapomwongezea cost nayeye atatafuta namna ya kumaintiain profit yake ileile ambapo kimsingi ni lazima ataongeza bei ya bidhaa husika. Kwahiyo hamna namna ni lazima benki zitaongeza bei zao. Mfano mdogo. Ulikuwa unanunua mzigo wa jumla kwa bei X na ww unsuza kwa bei Z. sasa hivi bei ya mzigo wa jumla imepanda hadi bei Y, je ukienda kuuza kwa reja reja utauza kwa bei ileile uliyokuwa unauza mwanzo au nawewe utaongeza??
Ni jambo la kibiashara wala si wizi.

....kama dhana ndio hii, basi naamini serikali ilikurupuka, kwa kudhani kuwa inakata kodi kwenye miamala bila mwananchi wa kawaida kuhusika!, kumbe mwananchi wa kawaida kama mtu wa mwisho nae lazima ahusike,sababu hakuna biashara isiyotaka faida!

Basi bora kuhifadhi fedha shimoni!( hakikisha umezifunga vizuri zisiharibiwe na wadudu!).
 
VAT..Value Added Taxation...ongezeko la kodi ya Thamani..inachajiwa kwa mlaji(consumer) hiyo ya TRA ya kuchaji Mabenki VAT labda sio kwa definition inayojulikana waje na VAT (T) Kidata ambayo itakua ya Tanzania tuu na si zile za kina Frank Wood.
 
Umeeleza vizuri mkuu, wanaosema beno nduru yuko sahihi nashindwa kuwaelewa,kila kampuni inayofanya biashara ni lazima ilipe kodi na kodi hiyo inakatwa kwenye mapato ya kampuni husika.Hii ni hesabu rahisi lakn wenye mabenki wanatufanya tuwe kama wajinga wao.
Mkuu VAT ni value added tax yaani kodi inayoongezwa kwenye bei sasa kama bei ya kutoa pesa ATM ni shillingi 1,000.00 hiyo kodi inayoongezwa kwenye bei utaipata wapi kama sio juu ya hiyo elfu moja. Vumiliine tu hakuna namna.
 
dictator uchwara kafundishwa na dictator aliyekubuhu kagame kuumiza wananchi wake wamejificha vyombo vikuu vya fedha wanaadhiliana barabarani aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mtoa mada bila shaka ni Nyumbu Wa ufipa , uwezo wa kuelewa mambo zero (0) ila uwezo wa kupotosha mambo ni 100%
 
Babu M ukiwa na mfumo mzuri kuna vitu unaweza kuweka ili usidanganywe na ukapata mapato makubwa tuu kwa mizigo kupitisha katika Nchi yako kuriko kubana mizigo haipiti na kukosa mapato ndio maana unaona tunakimbizana na police kwa kuwa na Risiti za bidhaa wakati kama Nchi inapata mapato vizuri kwa mizigo inayoingia ndani huo mchezo kufanyika...hata South Africa;botswana,Zambia na Zimbabwe wanafanya hivyo sio ulaya tuu mkuu...
 
Mkuu daud unaponunua mzigo mfano South Africa yale maduka zile machine za kutoa risiti zina sehemu linaandikwa jina lako lote ili ile risiti unapotoka boarder yoyote Custum officer anakuja kukagua kama mzigo ulionunua unatoka nje ya South Africa wanagonga muhuri wa SARS,South African Revenue Service unapewa address ili ukilipa kodi katika Nchi yoyote uliyofika unaambatanisha na copy za pass mbele ya picha yako na Risiti ile umaituma kwa address utakayopewa baada ya mwezi tuu unapata cheque yako kama ukiwapa address ya Tanzania unatumiwa unaenda kuchukua fedha katika benk zenye option ya Visa..kwa airport hakuna mlolongo mrefu kama huo utapewa Atm card dk hiyo hiyo unaambiwa itakuchukua wiki kutoa katika benk yoyote na popote pale...
 
Tatizo ni pale mamlaka za kisheria zinapoendeshwa kisiasa naona anguko la uwekezaji nchii hii ni aibu. Tutakuja kujuta wallah twendeni tu
 
Mkuu VAT ni value added tax yaani kodi inayoongezwa kwenye bei sasa kama bei ya kutoa pesa ATM ni shillingi 1,000.00 hiyo kodi inayoongezwa kwenye bei utaipata wapi kama sio juu ya hiyo elfu moja. Vumiliine tu hakuna namna.
Nimekuelewa mkuu, basi inabidi TRA hiyo kodi waipe jina jingine na wala sio VAT, make hapo kila upande unakuja na njia yake ya kukokotoa
 
Hawa mawakala wanapotosha uma. tozo ya 18% yanakatwa kutoka kwenye mapato ya mtoa huduma. mfano kama bank wakiongeza huduma kuwa 944, basi hiyo hela atatozwa 944 x 0.18 = tsh 170/=
wasituzingue. afadhali waweke gharama iwe sh 100, walipe sh 18.
 
Back
Top Bottom