Kwa porojo hizi za TRA ndiyo maana hata mapato ya kila mwezi yamebaki "midomoni" mwao

VAT..Value Added Taxation...ongezeko la kodi ya Thamani..inachajiwa kwa mlaji(consumer) hiyo ya TRA ya kuchaji Mabenki VAT labda sio kwa definition inayojulikana waje na VAT (T) Kidata ambayo itakua ya Tanzania tuu na si zile za kina Frank Wood.

Eti VAT (T) Kidata . Mkuu umenichekesha sana. Ila ndio ukweli...hii VAT wanayotozwa wauzaji itakua ni ya kibongo tu...sio inayojulikana dunia nzima.
 
Back
Top Bottom