Fafanua hapo mkuuTRA hawajaacha Taaluma hawajui kitu kabisa wanafanya madudu mengi waangaliwe hao...wameweka VAT kwa mizigo ya Transit wakati nchi zingine VAT mgeni unarudishiwa unapotoka iwe boarder unayotoka au airport...
Hivi hii ni kweli kaka?TRA hawajaacha Taaluma hawajui kitu kabisa wanafanya madudu mengi waangaliwe hao...wameweka VAT kwa mizigo ya Transit wakati nchi zingine VAT mgeni unarudishiwa unapotoka iwe boarder unayotoka au airport...
Yaani mimi nimeshangaa sana jinsi TRA walivojidhalilisha jana. Hivi ina maana TRA hakuna wasomi wanaojua maana ya VAT??. Hiyo kodi hulipwa na mlaji wa mwisho. Nikashangaa sana eti wanasema sio ya mlaji, nikajiuliza mabenki yatapata wapi pesa hiyo kwani income/profit tax imefutwa??? Baadala yake wameweka VAT?? Kwakweli ni bora kukaa kimya kuliko kutoa ufafanuzi wa namna ile.Wahuni kweli hawa TRA ya Magu.
kwanza tujiulize swali dogo , ungezeko la thamani maana yake ni nini? Anathaminisha nani bidhaa na kisha aweke ongezeko? Hilo ongezeko litalipwa na mthaminishaji ama mteja? Ukipata majibu sahihi ya maswali haya utgundua kuwa hilo ongezeko ni mzigo wa mlaji wa mwisho na sii vinginevyo
Umeeleza vizuri mkuu, wanaosema beno nduru yuko sahihi nashindwa kuwaelewa,kila kampuni inayofanya biashara ni lazima ilipe kodi na kodi hiyo inakatwa kwenye mapato ya kampuni husika.Hii ni hesabu rahisi lakn wenye mabenki wanatufanya tuwe kama wajinga wao.....niko upande wa TRA,kwanini mabenki yatulipishe wananchi pesa ambayo wangetakiwa kulipa wao?, wao mabenki si tayari walikuwa wanakata 800/- kwenye ATM, then serikali ilipotangaza kuwadai kodi wakapandisha mpaka 944/-!, ina maana wao wanataka faida yao ibaki palepale ila sisi wananchi ndio tuumie kwa niaba yao? HAIWEZEKANI.
nini maana ya VAT?...............niko upande wa TRA,kwanini mabenki yatulipishe wananchi pesa ambayo wangetakiwa kulipa wao?, wao mabenki si tayari walikuwa wanakata 800/- kwenye ATM, then serikali ilipotangaza kuwadai kodi wakapandisha mpaka 944/-!, ina maana wao wanataka faida yao ibaki palepale ila sisi wananchi ndio tuumie kwa niaba yao? HAIWEZEKANI.
COUNTER-ARGUE PLEASE...Kaa hivo hivo na utahira wako, naona wewe Uchadema unakusumbua.
Mkuu ww hujui sera za biashara. Kila kampuni ina profit policy yake interms of percentage. Kwamba kwenye kila muamala benki imejiwekea sera ipate faida kiasi gani, sasa unapomwongezea cost nayeye atatafuta namna ya kumaintiain profit yake ileile ambapo kimsingi ni lazima ataongeza bei ya bidhaa husika. Kwahiyo hamna namna ni lazima benki zitaongeza bei zao. Mfano mdogo. Ulikuwa unanunua mzigo wa jumla kwa bei X na ww unsuza kwa bei Z. sasa hivi bei ya mzigo wa jumla imepanda hadi bei Y, je ukienda kuuza kwa reja reja utauza kwa bei ileile uliyokuwa unauza mwanzo au nawewe utaongeza??....niko upande wa TRA,kwanini mabenki yatulipishe wananchi pesa ambayo wangetakiwa kulipa wao?, wao mabenki si tayari walikuwa wanakata 800/- kwenye ATM, then serikali ilipotangaza kuwadai kodi wakapandisha mpaka 944/-!, ina maana wao wanataka faida yao ibaki palepale ila sisi wananchi ndio tuumie kwa niaba yao? HAIWEZEKANI.