Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Yes nikweli mfano ukiwa ndani ya ndege angani huwezi juwa kama ndege inakimbia speed kubwa .
Hata dunia inazunguka kwa speed kubwa ila hatuioni sababu tupo safari moja. Nimeongeze kwa mtazamo wangu.
Ni kweli kabisa
 
Galax kugongana ni madhara makubwa kwa viumbe waliomo ktk mazingira hayo maana hali ya hewa itabadirika na kuathiri mzunguku halisi uliokuwapo awali na Sayari hufa, na Nyota huungana
Sasa fikiri nyota nyingine inayolingana na Jua letu iungane na Jua letu ina maana itakuwa na ukubwa mara 2 ya jua letu na itaathiri mzunguko halisi wa sayari joto litapanda mara 2. Zaidi ya uhalisia fikiri kwa mfano dunia yetu ifikie nyuzi joto 80° hakuna kiumbe kitastahimili hali hii maji ya yatayeyuka kwa kuevuka (mvuke) kutafta kwingine kwenye mazingra yaliyo rafiki.
 
Kupanuka kwa universe hakuongezi umbali kati ya nyota na nyota ila huanzishwa kwa galax zingine na galax moja ni familia inayo elea pamoja kwa hiyo kuweza kukutana ni jambo lisilo shaka maana inategemea uelekeo wa majirani hawa upoje.
 
kama universe inapanuka ina maana vilevile umbali toka nyota moja hadi nyingine na kutoka galax to galax unaongezeka, inakuwaje tena ziungane? Au kuna galax ambayo imesimama haisogei?
Swali zuri, hapa kuna nguvu mbili kuu zinazoshindana,moja ni Dark energy ambayo inafanya ulimwengu upanuke kwa kasi ya mwanga na nyingine ni Gravity ambayo inavuta ulimwengu,sasa kama galaxy ziko karibu nguvu ya gravity katika galaxy mbili husika zitavutana na hatimae zitaishinda dark energy.
 
Tukio la kuungana kwa magalaxy litaleta taharuki, na sidhani mwanadamu kama atakuwepo.kama ikitokea mwanadamu kuwepo hizi vurugu za muungano zitatumalizia mbali.
 
 
Je mwanadamu amegundua mbinu ya kuidanganya gravity? Kama ni ndio je gravity laws zinabidi ziangaliwe upya?.
 
We jamaa ujinga wako ni wa kiwango cha kipekee kabisa..!

Tena ni wa kiwango cha PhD
 
Mkuu ongezea maelezo itapendeza
Point yangu baada kuitazama video hiyo ni kwamba je mwanadamu anawezaje kufloat?je laws of gravity zinaweza kukiukwa?!! Hizi nguvu ni muhimu katika usafiri wa space.
 
Point yangu baada kuitazama video hiyo ni kwamba je mwanadamu anawezaje kufloat?je laws of gravity zinaweza kukiukwa?!! Hizi nguvu ni muhimu katika usafiri wa space.
Ukweli ukimzidi alieambiwa,unageuka uongo kwake.na hilo Ndio chujio.Moyo mnyenyekevu Tu, ndio utakaofaulu.
 
Wakati captain Cook alipofika Australia na mabaharia wake,walishangazwa kuona wanyama kama panya wakubwa wakitembea kwa kudunda dunda ndipo alipowauliza(wenyeji) kwa kiingereza kuhusu mnyama huyo anaitwaje wakajibu "kangaroo"wakiwa na maanisha "hatujui unachokisema" ndipo Cook akachukulia kuwa ameambiwa jina la mnyama huyo.
 
Kitakachowakuta wanaanga watakaoelekea Mars,pindi malfunction yoyote itakapotokea ni kifo cha haraka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…