Ngai Moko
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,394
- 1,857
Matumiz ya "x" kumaanisha "s" ni hatari sana kwa umri ulionaoKwa kuongezea ni kua universe ni curve in nature xx kuliko uzunguke umbali mrefu unaweza pata shortcut lkn cio kwa speed of light
Matumiz ya "x" kumaanisha "s" ni hatari sana kwa umri ulionaoKwa kuongezea ni kua universe ni curve in nature xx kuliko uzunguke umbali mrefu unaweza pata shortcut lkn cio kwa speed of light
Ni zaidi ya hapoDunia inaingia Mara 300,000 ktk Jua kwa mujibu wa John D.Fix.
hii ndio pointi ya maana kabisa dunia ni duara kweli. lakini sio chungwa dunia ni kama chapati tu. yaan sisi hatuishi nje ya dunia bali tunaishi juu ya dunia na juu yetu kuna anga si vinginevyo. over.elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.
dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba
jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.
tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani
hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
uwezo wa macho yako tu.Duh huwa nakubali dunia ni duara pale tu nikikumbuka zanzibar ni karibu sana ila siwezi kupaona kwa macho nikiwa Dar
Maana naamini dunia ingekuwa flat Lazima zanzibar pangeonekana
we jamaa ni great think.swala hili limejitokeza kwa wachangiaji wengi natarajia wanaweza kulisoma hapa
jua halizami wala haliendi chini ya dunia,linazunguka juu ya uso wa dunia, mzunguko mmoja unachukua masaa 24,ki ilivyo hasa kila kitu kipo kama tunavyokiona na tunavyokihisi, hatuhisi dunia kuzunguka hivyo ndio ilivyo haizunguki,jua lipo juu ya utosi hivyo ndio ilivyo jua haliko 93 mil miles,lipo juu ya utosi.
ngoja nitoe mfano mmoja hapa wa kuchemsha bongo,wengi wetu tunaweza tusifahamu lakini tujaribu
umbali wa jua kutoka duniani ni 93mil miles
mwangaza wa jua kufika duniani unachukua 8 mitutes, kwa hio umbali wa jua ni 8 light minute
tuchukulie kama jua lina umbali wa mara mbili zaidi 93x2=186mil mile, hapa tutaliona jua nusu ya lilivyokuwa kabla,ambapo umbali wake utakuwa 8x2=16 light minutes away
tukifanya umbali wa mara tano ya hio hesabu jua hatutaliona kabisa 93x5=465 mil miles away, sawa sawa na 8x5=40 light minutes away
swali linakuja hapa
katika nyota zote zilizo angani ambazo tunaziona,iliyo karibu sana ni 4.2 light years away
ikiwa tungeshindwa kuliona jua kwa umbali wa 40 lights minutes away, tunaziona vipi vyota zilizo na umbali wa 4.2 light years away
Na zile nyota ndogo huwa tunazionaje?Majibu
1.Jua linawaka kiwango tofauti na nyota zingine,mfano linaunguza 5 millions tons of matter per second na iko 93 million miles from earth mwanga kutoka uso wake huchukua dak 8 kufika duniani
2.ndyo hutofautiana mfano nyota ya karibu nyingine inaitwa proxima centauri huchukua miaka mamilioni kutufikia
Kwahyo kuna majua mangapiGalaxy yetu inaitwa Milki way ambapo ndipo inapatikana solar system yetu yenye sayari tisa huku dunia tuishiyo ni ya tatu kutoka kwenye jua. Hivyo basi mbali na kuwepo solar system kwenye Galaxy yetu pia kuna mipangilio mingine mingi ifananayo na solar system yetu ili kukamilisha Galaxy.
hilo zoezi la kuhesabu nyota nalo ni gumu maana nawaza tu eti bilion 400 inamaana ziko 400kamili??Sayari Tisa tunazungumzia solar system mbavyo ni vitu vyote vinazunguka Nyota jua,kwahy jua ni nyota moja kati ya nyota bilioni 400 kwenye Galaxy yetu ya milky way maana yake jua nasayari zake ni kama kadoti kadoti kalichopo ndani ya milky way galaxy
View attachment 613164
Jirani yetu(Andromeda) ambaye tunasogeleana hatimae tutaungana na kutengeneza galaxy mpya..lakini sio leo hii harusi ni baada mabilioni ya miaka.
Hahaha majua mangapi ?Kwahyo kuna majua mangapi
Unajua nikupe maelezo kuwa huwez kufeel motion kitu kizima kikisogea,kwa mfano gari likitembea unafeel motion kwa sababu kuna vitu Viko at rest kama miti na majumba ila kwa upande wa dunia tunamove at all kwahy hauwez kufeel motion mpaka kuwe na something at rest, hebu tukubali ukwel tuache ubishi hapa hakuna cha cherehani ni kiwanda kimojahii ndio pointi ya maana kabisa dunia ni duara kweli. lakini sio chungwa dunia ni kama chapati tu. yaan sisi hatuishi nje ya dunia bali tunaishi juu ya dunia na juu yetu kuna anga si vinginevyo. over.
Huwa tunadeal na kiasi cha mwanga kinachotoa na movement zakeNa zile nyota ndogo huwa tunazionaje?
Jua ni ndogo sana mkuu,kwa mfano katika galaxy yetu ziko nyota karibu bil 400,kwahy nyota ya saizi ya jua sio chini ya bil 250 katika galaxy moja tyuKwahyo kuna majua mangapi
Katika galaxy yetu pekee ukianza kuhesabu nyota moja moja kila nyota sekunde moja kutamka itakuchukua miaka laki moja kuweza kumaliza galaxy yetu moja tyu na jumla ya galaxy ni matrilionihilo zoezi la kuhesabu nyota nalo ni gumu maana nawaza tu eti bilion 400 inamaana ziko 400kamili??
Nakumbuka tangu naanza2002 shule, Christmas ilitokea miaka 2000 iliyopita ila leo ni 2017
Mwanadamu hana ajualo.
hyo mistari myekundu ilichorwa na nani kwenye hyo sayari?Kuna kitu tunaita Magnetar ni miungoni mwa neutron stars ikiwa na high magnetic field,mlipuko wa magnetar unasababisha kutolewa kwa kiasi kikubwa cha mionzi hasa gama rays![]()
Zitagongana 5 bil years to comeMkuu mimi nitakuwepo kweli?