imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,408
Kuna kitu tunaita Magnetar ni miungoni mwa neutron stars ikiwa na high magnetic field,mlipuko wa magnetar unasababisha kutolewa kwa kiasi kikubwa cha mionzi hasa gama rays
Na bado tunaiteketeza bustani yetu tuliyopewa na mungu,mwisho tutakosa kila kitu, na ujanja wa binaadamu ni mdoogo sana kuna viumbe wajaanja sana lakini kwa mungu ni mwisho.Binadamu maskini hatuna hata ubavu wa kutoka ndani ya system moja tyu ya solar system,je vipi kuhusu mabilioni ya nyota yaliyobaki na sayari zake?ukweli mchunga hatuwez fika kamwe,tutabaki tyu kuchungulia na darubini
Wanadam katika sayari yetu ya Dunia hatuwezi safiri inje ya Dunia yetu kwa miili yetu labda tusafiri inje ya miili yetuNa bado tunaiteketeza bustani yetu tuliyopewa na mungu,mwisho tutakosa kila kitu, na ujanja wa binaadamu ni mdoogo sana kuna viumbe wajaanja sana lakini kwa mungu ni mwisho.
True.Wanadam katika sayari yetu ya Dunia hatuwezi safiri inje ya Dunia yetu kwa miili yetu labda tusafiri inje ya miili yetu
Nina maswali mawili kwanza nasikiaga tu hii kitu inayoitwa north pole kwamba kule kuna mabarafu makubwa na ndio incha ya dunia sasa Kwani nini hayo mabarafu hayayeyuki je jua halifiki huko?Hali mbaya ya hewa
Wakati mwingine katika sehemu kadhaa wa kadhaa zilizopo ufukweni tumekuwa tukishuhudia hali mbaya ya hewa ingawa dunia ni sehemu ya kustaajabisha yenye hali nzuri kabixa ya hewa kwa viumbe vyake,
Katika sayari ya Jupiter kuna pepo Kali na vimbunga
Katika Venus na mars kunatokea mabadiliko makubwa sana ya hali ya hewa ndani ya Sikh mfano kuna hali ya joto linazolidi maji yanayochemka kwa Mara tano na zaidi,katika Uranus na Saturn pia kuna pepo Kali zivumazo,ila katika Neptune upepo hasafiri kwa kasi kubwa ya 1600 mph!
Material ya kwenye hizo nyota ni mazito sana.Kuna kitu tunaita Magnetar ni miungoni mwa neutron stars ikiwa na high magnetic fiel
Jibu swali la 1Nina maswali mawili kwanza nasikiaga tu hii kitu inayoitwa north pole kwamba kule kuna mabarafu makubwa na ndio incha ya dunia sasa Kwani nini hayo mabarafu hayayeyuki je jua halifiki huko?
Pili vipi kuhusu south pole yenyewe ipo wapi na kuna nini huko na mbona haizungumzwi kama north pole?
Nyongeza niliwahi kusikia sayari ya mara (kama sijakosea) yenyewe inachukua muda mrefu kulizunguruka jua tofauti na dunia inaelezwa miaka 250 ya duniani kule ndio mwaka mmoja na siku moja kule ni ndefu sana kuliko hapa duniani ipo hivyo inakuwaje wakati yenyewe ndio ipo karibu na jua nilitegemea mzunguko wake ungekuwa mfupi kuliko duniani?
Nani sasa??Umenena vema nakusaport wana sayansi wanatuaminisha dunia ni duara