kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,688
Zitagongana 5 bil years to come
Hakutakuwa na matdhara kwa binadamu?
Zitagongana 5 bil years to come
hyo idadi waliipataje sasa??Katika galaxy yetu pekee ukianza kuhesabu nyota moja moja kila nyota sekunde moja kutamka itakuchukua miaka laki moja kuweza kumaliza galaxy yetu moja tyu na jumla ya galaxy ni matrilioni
Yapo maana kuna collision kubwa kubwa sana kwhy viumbe wengi watakufa,miaka bil 5 ijayo hakuna uwezekano wa maisha hapa kwani galaxy zitagongana na pia jua litapoteza mwanga wake na kuwa red giant ikizimeza sayari ya karibu yake kama mercury,Venus and earthHakutakuwa na matdhara kwa binadamu?
Yapo maana kuna collision kubwa kubwa sana kwhy viumbe wengi watakufa,miaka bil 5 ijayo hakuna uwezekano wa maisha hapa kwani galaxy zitagongana na pia jua litapoteza mwanga wake na kuwa red giant ikizimeza sayari ya karibu yake kama mercury,Venus and earth


Hyo ni imaginary lines tyu mkuu kuonesha magnetic field sio mistari ya kiuhalisia,ni mchoro tyu za field zinaanzia wapi ili uweze kuelewa kwa urahisi mkuuhyo mistari myekundu ilichorwa na nani kwenye hyo sayari?
Ni kubwa mno Mara matrilioni kuliko dunia,halafu mkuu nyota ni just gases tyu hazina solid surfacesipati picha iyo nyota ya articus ikadondokea dunia.
Mimi nina uhakika hatutakuwepo.Mkuu mimi nitakuwepo kweli?
Kuna namna tatu mkuuhyo idadi waliipataje sasa??