Illakwahhi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 465
- 744
- Thread starter
- #121
Hahaha utafikia labia minoraMimi ningependa zaidi kwenda Labia majora kwenye ile sayari ndani ya sayari.
Hahaha utafikia labia minoraMimi ningependa zaidi kwenda Labia majora kwenye ile sayari ndani ya sayari.
HahahahhaNimeona milky way galaxy na 1C1011 galaxy lakini sijaona galaxy S7edge
Kweli muraLabda uende South Korea 😀 sio North Korea.
No! Dunia kujizunguusha yenyewe kwenye mhimili wake.... (Spinning of the earth on its Axis) this resulted to occurance of the day and night....Dunia kuizunguka jua
Ni mimiKama kwenye iyo avatar ni wewe mkuu..passport nakupa bure
Earth rotation on its axisNa nini kinasababisha usiku na mchana
MajibuLabda na Mie niongezee,vingine sina wasiwasi navyo wacha Tu waniburuze, lakini Shaka yangu ni ndogo tu..Ni juu ya kipimo cha Mwangaza, yaani kina uhakika asilimia ngapi?!
Kwa maana wanasema mwangaza unasafiri megamita 300/ sekunde, sikatai ila labda kulingana na Jua letu.
Swali na Shaka langu ni Je vipi kuhusiana na nyota zilizo Mbali na Jua letu..?!
1)kwani zinawaka Kwa kiwago Sawa na Jua letu?
2)Na kama sivyo,ina maana mawimbi ya mwangaza yatatofautiana Kati ya Yale yanayopimwa kwenye Jua letu na nyota zengine. Halafu
3) vipi kuhusiana na ukinzani wa Minurisho ya mwangaza kutoka kwenye nyota za Mbali inayopita kwenye mawingu mazito(Nebula)mpaka kutufikia wanakadiriaje..?!Mtoa mada na wengine wajuzi naomba mnijuze tena maelezo mepesi Tu.
YupoNinakushukuru kwakutupatia ufahamu kuhusu Galaxy yetu, ambayo kwa kiswahili inaitwa Kilimia. Na hiyo inatufanya sisi binadamu tujione kuwa duni sana hata kama tunajiona tumevumbua mambo mengi. Na hiyo inatulazimisha kuamini kuwa Yehova Mungu Aliyeumba mbingu na ARDHI YUPO
Source mitandaoSource mtoa post otherwise unafanya plagiarism
It turns out that measuring the distance to a star is an interesting problem! Astronomers have come up with two different techniques to estimate how far away any given star is.Tusaidiane ukubwa wa Jua ulipimwa na nini, mpaka Dunia yetu iingie Mara Million 1?
Hata kwa Telescope ya kawaida tu unaweza kuona venus na zebaki zipokatiza mbele ya jua,hapo ndipo unapata hesabu
Ni kweli mkuuhahaha mimi huwa sipendi kubishana na imani za watu ndio mana hukaa kimya baada ya muda,kwa vile najua imani ina uhusiano wa moja kwa moja na nafsi zetu kwa hio tukiamini kitu inakuwa tabu sana kuweza kutazama vitu kwa mitazamo tafauti,lakini kila mtu ana wakati wake wa kuona uhalisia ulivyo
Ni kweliNdio yaliyomkuta Galileo na kanisa,alipogundua dunia haiko katikati ya ulimwengu..aliambiwa akae kimya..😀😀
A tiny DotDah, hatari sana hii universe. Who is human being then?
Asante kwa majibu murua1. ki uhalisia sayari nyengine sio kama tufe wala hazina udongo wa kwenda kutua kama ilivyo hapa duniani,wengi wetu hatujapata kuziona sayari kwa macho yetu,mara zote tunaziona kwenye computer tv na kwenye vitabu,hizi picha zote huo sio picha halisi ni michoro tu, lakini kama utaviona kwa telescope yako mwenyewe havipo kama tufe ni maduara tu.
2. kupatwa kwa jua na mwezi, kwa kweli mimi sijui jua linapatwa na nini lakini haioneshi hata kidogo kuwa ni mwezi ndio unakwenda kati baina ya jua na dunia, mara nyingi tukitazama kupatwa kwa jua tunatazama kwa mitazamo ya mafundisho tulopewa ndio mana tunahisi ni mwezi ndio unaingia kati kulipata jua.
lakini kama utaangalia kwa jicho lisilo na mafundisho utakuta mwezi haupo kabisa katika eneo la kupatwa kwa jua,mwezi hauonekani ukiingia au kutoka kwenye usawa wa jua,kinaonekana kivuli tu kinaliziba jua,kama mwezi ndio unalipata jua na mwezi ni tufe kubwa kama dunia ilivyo basi tufe lingeonekana linaingia kwenye usawa wa jua na kutoka lakini hivyo sivyo inavyo onekana,panakuwa na kivuli ambacho kimo ndani ya jua lenyewe kinaliziba jua na kivuli kinaondoka mwezi hauonekani kabisa kuingia kwenye anga za jua na kutoka
Uzi murua kabisa!
Ila sikuwahi kudhani Tz kuna flat earth theorists hahaha!

Sijutii kuwa Jf ngoja jumatatu nkienda kwenye kiwanda(darasa) nkiwamwagie wanafunzi nondo.

Nimerekebisha mkuu. Ila kuna sehemu kaka umetujaza upepo. Hapo kwa mtaalam kim
Allah akbar
