rutegeramisi gwategera
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 446
- 496
Vitu vyote vya angani nyota, sayari, mwezi (moon) hujizungusha hata kama ni bapa utaona raundiMbona mambo mengi ya angani yamekaa ki duara duara tuu na sio pembe tatu au nne?
Lakini asilimia kubwa vingaavyo angani huzunguka