Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

nashukuru kwa siku 3 nimesoma mada hii mpaka hapa.
nimejifunza mengi na nawashukuruni sana. kwani sijabaki bila kitu.
japo maswali ya kuuliza ni mengi lakini naamini ipo siku tutapata kaukweli japo kidogo.

lakini pamoja na kuendelea kuamini juu ya uwepo wa Mungu dini haikutendea haki.
Ni maswali yapi yakuuliza hayo?
Pia ni lipi din haikutenda?
 
kama ulimwengu ni mkubwa kiasi hicho, je yesu alipokuja hapa duniani kwa lengo la kuokoa huo wokovu ni kwaajili ya dunia tuu ama ulimwengu mzima?
 
kama ulimwengu ni mkubwa kiasi hicho, je yesu alipokuja hapa duniani kwa lengo la kuokoa huo wokovu ni kwaajili ya dunia tuu ama ulimwengu mzima?
Sayari karibu zote zimepewa majina ya miungu ya kipagani,ni jambo la kushangaza sana.
 
We are not alone ,sio kwa mambo haya ya kuogofya namna hii.Hivi hizi Sayari na Vyote vilivyomo kwenye Galaxy haviwezi kugongana kwa sababu yeyote ile ?

Nimejaribu ku'imagine kama ikitokea ni nini kitatukuta Viumbe dhaifu kama sie ,nimeshindwa kwa kweli.Wacha niishi muda wangu ukikata itakuwa heri kwangu.
 
We are not alone ,sio kwa mambo haya ya kuogofya namna hii.Hivi hizi Sayari na Vyote vilivyomo kwenye Galaxy haviwezi kugongana kwa sababu yeyote ile ?
Vinagonganaga! Galaxy yetu inaenda kugongana na Andromeda, ila sio leo wakati huo sidhani kama tutakuwepo sidhani kwa sababu tumewekwa hapa kwa muda ambao ukiisha umekwisha tunarudi tulikotoka.
 
images.jpg

Hapa inaonyesha galaxy mbili zenye ukubwa sawa zikigongana.
 
Nje ya dunia hakuna oxygen hayo mafuta yanawaka vipi au na oxygen unabeba
Kitaalamu chombo kinachotumia nishati ya mafuta kinahitaji oxygen kutoka nje kiweze kuchoma nishati hiyo. Labda wanaihifadhi sehemu
 
View attachment 623261
Hapa inaonyesha galaxy mbili zenye ukubwa sawa zikigongana.
Hizo galaxy haziwezi gongana hata siku moja kwanza distance ya galaxy,kwa galaxy ni pana ajabu hta nyota na nyota n mbal mno,Mwenyez Mungu KARATIBISHA hayo yote myaonayo angani, soma ZABURI 8:3. Kisha useme nini maana ya kuratibisha
 
Hizi Galaxy ni baadhi tu ya galaxy zinazogongana thanx to hubble telescope
images.jpg
 
Vinagonganaga! Galaxy yetu inaenda kugongana na Andromeda, ila sio leo wakati huo sidhani kama tutakuwepo sidhani kwa sababu tumewekwa hapa kwa muda ambao ukiisha umekwisha tunarudi tulikotoka.
Inaeza hata isitokee maana hizo ni prediction tuh....hata utabir wa hali ya hewa kuna mda watokea na kuna mda hua hautokei kama walivyotabir
 
elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.

dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba

jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.

tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani

hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
Kuna baadhi ya wanasayansi wana mawazo kama yako....hii mambo iko very complicated aisee
 
Yawezekana ikaonekana zinaenda kugongana ila kumbuka distance ya miliky-way ni 100,00 light year (Ly) na andromeda ni 2.8 million light year. Ni mbali sana pia hata zikioneka kukaribiana kila kundi na njia yake tu.
 
Mkuu ikiwa hawana uhakika na kitu kitachotokea kesho je hio miaka bilioni 3 [emoji15]
Yawezekana ikaonekana zinaenda kugongana ila kumbuka distance ya miliky-way ni 100,00 light year (Ly) na andromeda ni 2.8 million light year. Ni mbali sana pia hata zikioneka kukaribiana kila kundi na njia yake tu.
Going back in time,tunaiangalia Andromeda katika muda uliopita sasa hivi itakuwa imesogea.ushahidi wa kugongana kwa galaxy upo, kugongana ni sehemu ya uumbaji,kama vile matetemeko,tsunami,volcano.haya matukio yanayotokea ni sehemu ya uumbaji sio laana.
 
Back
Top Bottom