Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

cool-space-picture-5.jpg

Tumewekwa hapa na hapa ndio nyumbani na tusiiharibu nyumba yetu miili yetu itazikwa hapa.
 
Ukweli mchungu ni kwamba mwanaadamu hawezi kusafiri nje ya solar system,kuna sababu imewekwa kwamba miili yetu isivumilie intersteller voyages haiwezekani, dunia yetu mother earth ikizunguka jua mara sabini ni mwili unakuwa na miaka sabini,kusafiri mamilioni ya maili ni vigumu na mazingira ya nje ya dunia ni hostile tumeumbwa ili tukae hapa,tuilinde sayari yetu,tusikate miti hovyo tusiharibu mazingira,hapa ndio nyumbani hakuna sehemu nyingine ya kukimbilia hata kama ipo ni mbaali sana hatuwezi kufika.
Kabisa mkuu
 
Bahari zetu zimejaa plastic mpaka wanyama na samaki wanakufa kwa idadi kubwa kabisa.
images.jpg

Mnyama huyu Humpback whale amekufa baada ya kumeza uchafu wetu.
 
Wanasayansi wanafanya assumption tu hawajui kitu kuhusu ulimwengu.
 
Afrika tunasema mungu fundi au mungu muumba wa vyote huu ni ujinga wa kiwango cha lami

Wakati mzungu akija na research za maana about controversy of the universe ss tunakuja na Sera za mungu anaishi mbinguni

Naomba wazungu waendelee kututawala mpaka siku afrika litakapo baki kopo lisilo na chochote

Tena waje wengi mamilion hata wale waishio Oman kutoka muscut waje tena Kwa wingi wakaikalie Zanzibar utumwa uendelee
 
Bila shaka kuna sehemu nyingine yenye viumbe pengine vya ajabu sana kuliko hata bwana yule huko juu kwenye masayari mengine.
 
Back
Top Bottom