Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Inner planets vipi kuhusu outer gas giants.
Zote zitatengeneza kitu komoja ngawa properties zitakuwa tofauti na zitatokea reaction za elements ambapo kitu Fulani amaizing kitapatikana
 
Kuna kitu tunaita spiral arms its region with pattern ambazo gesi na clouds zinapata mgandamizo mkuu ndipo nyota huzaliwa
 
Hiyo Sauti inasafiri vipi wakati wataalam wanasema nje ya dunia sauti haiwezi kusafiri kitokakana na hakuna mawimbi ya kusafirisha Sauti inakuwaje?
Sound inahitaji kisafirishio ili iweze kupita,actually in the space we have matter ambapo sound zitacollide na kusafiri eg asteroids and clouds huko huko sauti zinapita bcz sound is vibration
 
Hapa nyota inapokaribia umauti halafu inapolipuka na kufa View attachment 617173
Yaah kifo cha nyota Mara nyingi inakadiriwa na mass yake,kwa mfano jua litachukua miaka mabilioni kwan mass yake ni ndogo kwa mfano nyota kubwa kama Betelgeuse itachukua miaka michache kama millions hivi kwisha kwani ukubwa wake inafanya iweze kuburn hydrogen&helium kiasi kikubwa sana,matokeo yake inatanuka na kuburst,kadiri inavozidi kuishi ndivo brightness inapungua inakuwa nyekundu na hatimaye inaburst kabixa kitendo ambacho ni hatari zaidi katika anga
 
MUNGU aliumba ulimwengu lkn elimu yenu hyo haikubali
Ndugu vipi mbona unakuwa km unalalamika lakin kile unachoona tofaut haitolei ufafaniluz,kulikon hapa tupo ktk darasa hakuna aliye juu ya somo ili ila sote tu wanafunzi.

Km,umeona mahal tofauti tia neno kwa ufafanuz ili tujue tumekosea wapi
 
Ujenzi unaendelea kule MARS
 

Attachments

  • 1509605459213.jpg
    1509605459213.jpg
    10.2 KB · Views: 63
Horsehaed Nebula ktk ukanda wa orion Belt
 

Attachments

  • 1509605815991.jpg
    1509605815991.jpg
    10.6 KB · Views: 60
kwa elimu yenu hyo mbon haiendan hata na mafundisho ya MUNGU
Uzur ni kwamba ukiwa na elimu pamoja na dini ni rahis kuviunganisha binafsi. Ninapojifunza au kufundisha kuhusu ulimwengu najikuta namwona mungu ni wa ajabu Sana. Tatizo ni kuwa na elimu dunia bila dini. Utaishia kushangaa tu bila kumjua wala kumsifu aliyeutandaza ulimwengu.
 
Uzur ni kwamba ukiwa na elimu pamoja na dini ni rahis kuviunganisha binafsi. Ninapojifunza au kufundisha kuhusu ulimwengu najikuta namwona mungu ni wa ajabu Sana. Tatizo ni kuwa na elimu dunia bila dini. Utaishia kushangaa tu bila kumjua wala kumsifu aliyeutandaza ulimwengu.
Kweli kabisa ila kumjua Mungu ni muhim sana,pia kufuatilia hao wanasayansi yapo mengi wamegundua ambayo ni kazi ya Mungu. Baada ya vyombo vyao kugundua mambo mazito sana angani nasi tumkiri kwa vinywa vyetu kuwa kuna Muumbaji wa vitu hivyo.

Hivyo si kupost tu hapa bali pia tunakiri uumbaji wa Mungu. Baadae sn nitakuja na kitu kingine cha kuelezea ubana wa uwanda wa anga palivyo papana sana.
 
Kimondo kikianguka huko Russia.jambo la kumshukuru mungu ni ametujengea ngome ya ajabu,vitu vinavyoiangukia dunia vikianza kuingia ktk atmosphere huwa vinaungua vingine kabisa,kutokana na speed na mgandamizo wa hewa.
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    10.6 KB · Views: 82
Back
Top Bottom