Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.

dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba

jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.

tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani

hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
Mkuu sayansi ya Darasa la sita imekupita kando
 
Gravity katika sayari ya MARS ni ndogo kulinganisha na ya Dunia,kwa wanadamu watakaoenda kuishi huko misuli yao italainika ili kuendana na gravity ya huko.siku wakirudi hapa duniani watashindwa hata kubeba ndoo ya maji
 
Hahahaha nimecheka bila brek. Hebu tupe undani wa huko Mars. Kumbe hatukuwekwa duniani kwa bahati mbaya
 
Hahahaha nimecheka bila brek. Hebu tupe undani wa huko Mars. Kumbe hatukuwekwa duniani kwa bahati mbaya
Sisi tumewekwa hapa duniani na miili yetu imeumbwa kwa siri kubwa sana,ina adapt na hali na mazingira yaliyopo, kwa mfano huko Bolivia na Nepal watu wanaishi juu ya milima ya Andes na Hamalaya imegundulika mioyo yao ni mikubwa kuliko watu wanaoishi kwenye nyanda za tambarare,pia wana seli nyekundu za damu nyingi kuliko kawaida,hii inawafanya waendane na hali ya oksijeni ndogo ktk mazingira yao.
 
images.jpg
 
Hapa duniani vimbunga vya mchanga vinapatikana zaidi ktk majangwa lakini katika sayari ya Mars kuna msimu vimbunga hivi hufunika sayari yote,kwa binadamu wanaotaka kwenda kuishi huko,shughuli wanayo.kwa maana hiyo Mars ni sayari jangwa.
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    10.8 KB · Views: 87
Kulia katika picha hii kimbunga cha vumbi kikiwa kimeifunika sayari yote ya Mars.
images.jpg
 
Ujenzi huo ni utalii wala si kwa ajili ya makaz ya kudumu
Binadamu bado hajakanyaga katika sayari nyekundu,sasa huo ujenzi ulifanyikaje? Ila kuna mpango huo ghali,hatari nyingine ni kwa hao watalii wanaweza kuja na microbes hatari hapa duniani,hapa tunao japo wanasumbua lakini kinga zetu zinaweza kupambana nao, je hao wa kwenye Mars nani anawajua labda wako tofauti kabisa na kitu chochote, hatujui.
 
N kweli sayari ya Mars (Red desert) ina yenye kwenda kasi san na kusababisha mawingu ya vumbi unayofunika uso wa sayar hiyo kwa majuma kadhaa. Kitendo hicho kwa sie tunaofuatilia uliona mpk hapa dunia,utazamapo sayar ya Mars usiku kuna wakat mwingine huwa ni lekundu sana pia kuna wakat huwa si lekundu sn jamaa alivyotuma picha yake hapo juu.

Mars n jangwa ikiwa na hali iliyojawa na Carbon Dioxide 95%. Joto la juu ya Mars linazid kidogo joto linalosababisha maji yagande (freezing point of water), na wakat wa usiku,joto hufika joto sent-grade 123°C.

Kat yaa Mars na Jupiter ,kuna kuna "Asteroids" vimondo au visayari vidogo km wanavyoviita wakt mwingine ,viliumbwa kwa mawe na chuma. Vimondo hivi ulizunguka jua pia vikiwa kwenye ukanda kati ya sayar hizo mbili. Vimondo hivi ukadiriwa kuwa milion moja. Ukubwa wa vimondo hivi utofautiana kwa ukubwa. Mf, kimondo Ceres kina kipenyo cha mail zipatazo 600 au kilomita 965. Vimondo (visayar) vingine vikubwa vinaitwa Pallas, Vesta na Hygiea.

Pia sayar ya Mars inazungukwa na Setellites (miezi),japo mars ina miezi miwili,majina ya setellites hizo (miezi) ni Phobos na Deimos,miezi hiyo kidogo upita upita mwezi wa dunia yetu..

Mars nayo ni miongon mwa sayar zenye miezi.

Sayari zingine zenye miezi ni Jupiter miezi 16. Sartun miezi 18. Uranus miezi 17. Neptune miezi 8. Pluto mwezi 1. Sayar zisizo na mwezi ni Mercury, Venus.
 
images.jpg

Kuna kila dalili ya wadudu microbes kwenye sayari nyekundu
 
TUANGALIE MIFUNGAMANO YA GALAXY. (CLUSTER OF GALAXIES).

Je,kuna galaksi nyingine kando ya Milky-Way na Andromeda? Ndiyo.

Galaxy yetu na,ile ya Andromeda ni miongon mwa galaxy 25 zilizofungwa kwenye uvutano mmoja. Mfungamano huo wa galaxy mahali ilimo galaxy yetu unaitwa Local Group of Galaxies.

Japo Local Group ni galaxy 25 zilizofungwa kwenye uvutano mmoja,ni sehem ndogo kwenye kitu kingine kikubwa. Ipo mifungamano ya galaxy km Local Group 2500 iliyoungwa kwenye uvutano mmoja. Mfungamano wa Galaxies ambamo sisi tumo uaitwa Vigro Cluster. Hata hivyo Vigro Cluster siyo yote aliyoyaumba Mungu.

Hata hivyo Vigro Cluster siyo yote aliyoumba Mungu wetu. Vigro Cluster ni sehemu moja ya vitu vingi vilivyofungwa pamoja kwenye uvutano mmoja na kuunda kitu kinachoitwa Super Cluster ambazo nazo ziko mamilioni ktk malimwengu (universe).

Kwa kifupi tumeona kuwa kuna nyota inayotumulikia inayotwa Jua,ambayo n moja ya nyota zaid ya bilioni 200 zinazounda galaxy ya milky-Way, ambayo nayo imejengwa pamoja na galaxies nyingine 25 kuunda mfungamano wa galaxies unaitwa Local Group,ambayo n moja ya mifungamano km hiyo 2,500 inayounda kitu kinachoitwa Vigro Cluster,ambayo nayo ni moja ya vitu km hicho,vilivyofungwa pamoja na kuunda Super Cluster, ambazo nazo ziko MAMILIONI.

Unapoendelea kutafakari kumbuka kuwa distance ya star to stat n mail trilion 30.

Je, huo uwanda wa anga ni mkubwa kiasi gani,tafakar kwa kina sana.

Mungu wetu ni ajabu sana. Mungu ni Muumbaji kwelikweli,uwezo wake ni mkubwa sana.

Pia unatoendelea kutafakar Soma ZABURI 8;3. 19:1.
 
N kweli sayari ya Mars (Red desert) ina yenye kwenda kasi san na kusababisha mawingu ya vumbi unayofunika uso wa sayar hiyo kwa majuma kadhaa. Kitendo hicho kwa sie tunaofuatilia uliona mpk hapa dunia,utazamapo sayar ya Mars usiku kuna wakat mwingine huwa ni lekundu sana pia kuna wakat huwa si lekundu sn jamaa alivyotuma picha yake hapo juu.

Mars n jangwa ikiwa na hali iliyojawa na Carbon Dioxide 95%. Joto la juu ya Mars linazid kidogo joto linalosababisha maji yagande (freezing point of water), na wakat wa usiku,joto hufika joto sent-grade 123°C.

Kat yaa Mars na Jupiter ,kuna kuna "Asteroids" vimondo au visayari vidogo km wanavyoviita wakt mwingine ,viliumbwa kwa mawe na chuma. Vimondo hivi ulizunguka jua pia vikiwa kwenye ukanda kati ya sayar hizo mbili. Vimondo hivi ukadiriwa kuwa milion moja. Ukubwa wa vimondo hivi utofautiana kwa ukubwa. Mf, kimondo Ceres kina kipenyo cha mail zipatazo 600 au kilomita 965. Vimondo (visayar) vingine vikubwa vinaitwa Pallas, Vesta na Hygiea.

Pia sayar ya Mars inazungukwa na Setellites (miezi),japo mars ina miezi miwili,majina ya setellites hizo (miezi) ni Phobos na Deimos,miezi hiyo kidogo upita upita mwezi wa dunia yetu..

Mars nayo ni miongon mwa sayar zenye miezi.

Sayari zingine zenye miezi ni Jupiter miezi 16. Sartun miezi 18. Uranus miezi 17. Neptune miezi 8. Pluto mwezi 1. Sayar zisizo na mwezi ni Mercury, Venus.
Nielekeze cha kufanya ili niweze kuiona sayar itoayo mwanga asubuh au jioni. Ni sayar gani na je inakuwaje ionekane asubuh na jion tu?
 
nashukuru kwa siku 3 nimesoma mada hii mpaka hapa.
nimejifunza mengi na nawashukuruni sana. kwani sijabaki bila kitu.
japo maswali ya kuuliza ni mengi lakini naamini ipo siku tutapata kaukweli japo kidogo.

lakini pamoja na kuendelea kuamini juu ya uwepo wa Mungu dini haikutendea haki.
 
Back
Top Bottom