Leo tuone MFUNGAMANO WA NYOTA (GALAXY).
Nyota iliyopo karibu zaid na jua ni inaitwa Alpha Centauri,iko umbali miaka 4.3 ya mwendo mwanga kwa mwaka (light-year) LY. Nyota iliyo karibu dunia Barnard's star,iko umbali wa mail trillion 30.
Jua letu lipo mail 93 mill,mwendo wa mwanga wake kufika dunian n dakika 8:19 at light speed.
Sasa tujue kitu muhinu hapa,mwanga usafir umbali wa mail 186,000 au kilomita 300,000 kwa 1 second.
Hivyo na tunapotoka ktk mfumo wa solar system na kuingia ktk mifungamano ya nyota kwa highlight speed tunatumia neno LIGHT YEAR kutambua umbali wa mifungamano ya nyota na galaxies.
Hapa hesabu uanza tofauti kabisa,hivyo mwaka moja wa mwendo mwanga (one light year) ni sawa na mail 186,000 mara 60,ili kupata umbal inayosafir mwanga kwa sekunde moja,mara 60 kupata dakika moja,ili kupata saa moja,mara 24,ili kupata umbali wa siku,na mara 365.25 ili kupata umbali wa ya mwaka moja.
Hii ni sawa na 186,000×60×60×24×365.25 ambayo ni sawa na mail 5,800,000,000,000. Hivyo,mwaka moja wa light-year ni sawa mail trillion 5.87 au kilomita trillion 9.45. Hivyo tunapotaja umbali kati ya nyota na nyota au kati ya mfungamano moja hadi mwingine tunatumia "MIAKA,YA MWENDO WA MWANGA" (LIGHT-YEAR).
Kwa kawaida kutoka nyota moja hadi nyota hadi nyingine kuna umbali wa mail trillion 30 na nyota tuzionazo kwa macho ni chache sana.
Haya yote yanadhihirisha uwepo Mungu ktk UUMBAJI.
MUNGU WETU AKITUJALIA TUTAENDELLEA KWA KINA KUUJUA MALIMWENGU (UNIVERSE).
MUNGU NI MKUU SANA NA STADI MKUU KULIKO.
Asanteni leo tuishie hapo,