imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,436
Pia hizo highly charged particles mara nyingine zikivugumizwa upande wetu ndio huwa zinaingiliana na mfumo wetu wa umeme haswahaswa North America na Russia na kusababisha umeme kukatika kuna mwaka mmoja US na CANADA walikosa umeme kwa siku kadhaa.