Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

nje ww unauelewaje?labda utusaidie kwa uelewa wako.
sio nje kama unavyodhani,ni kutoka ktk himaya/eneo.. ni kama vile kutoka ktk mfumo wa jua letu,hiyo inamaana kuvuka mpk kitu cha mwisho ambacho kipo kwenye solar system ndo kutoka nje.
 
Ni kweli kwamba sound inahitaji medium of transport kusafiri mean in space there is no such medium but space is not empty there is matters like objects ambazo ziko very distant so using those object sound can travel who ever it can be radio waves which can be converted ili ieleweke
Kingine cha kushangaza inakuwaje kama hivyo vimondo vinakuja Kupiga duniani wakati tumeelezwa nje ya dunia kila kitu hakina uzito
 
Kingine cha kushangaza inakuwaje kama hivyo vimondo vinakuja Kupiga duniani wakati tumeelezwa nje ya dunia kila kitu hakina uzito
Hivi vimondo vinalizunguka jua sema kuna kipindi vinavutwa na gravivity ya sayari au mwezi hata ukiuangalia mwezi wetu utaona makovu yaliyoachwa na vimondo
 
Asteroid belt ambako ndiko inaaminika kuwa ndio vimondo vinakotokea kuna vingine vina ukubwa wa Dar-Chalinze
images.jpg
 
je hizi sayari zinatokana na nini au zina jitengeneza zenyewe kwenye solar syatem?

Somo zuri sana hili
 
Mkuu Bizz_Sam I salute you. Umetumegea mambo mazuri sana kuhusiana na "stranger at the Pentagon" hatukuyajua haya lakini sasa tumeelimika. Swali nimesikia kuna kitu kinaitwa UFO (unidentified foreign objects) hii inauhusiano wowote na hawa strangers??
 
Sijaona picha hata moja ambayo haijatengenezwa na Computer, picha zote zimetengenezwa na computer. Haya mambo ni ya kusadikika.
 
elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.

dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba

jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.

tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani

hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
Mkuu, naomba upokee salamu hii.

Shkamoo!
 
Kwa mara ya kwanza umenifanya nifikirie tofauti na vile nilivyojifunza kuhusu the universe. You might have a point if somebody rethink deeply.
Swali la kujiuliza hizo pics za umbali wa thousands of kms from unkown source towards our galaxy zimepigwa kutokea wapi.? Na kama ni kutoka katika spaceships na setelite hivyo vyombo vilichukua muda gani kufika huo umbali wa thousands of km?
Nitarudi
Kifupi ni kwamba hizo picha zote ni za kutengeneza kupitia Computer, hakuna picha hapo ya uhalisia hata moja.

Hivi Mkuu, ww na akili zako timamu kweli kabisa uwe kwenye kitu kinachomove kwa kasi kubwa usifeel chochote kile??? Kama ulishawahi kupanda ndege na kwenda masafa marefu wale mapilot huwa wanaweka mode ya ndege kujiendesha yenyewe kisha wao wanapumzika, sasa swali la kujiuliza ni hili. Kama dunia ipo kama chungwa kwanini kuna auto pilot ktk ndege? Rubani anakaa masaa kadhaa angani na haigusi ndege kwa chochote, dunia ikiwa kama chungwa si ina maana ndege inaweza ikapotea ktk uso wa dunia?
 
Duh huwa nakubali dunia ni duara pale tu nikikumbuka zanzibar ni karibu sana ila siwezi kupaona kwa macho nikiwa Dar
Maana naamini dunia ingekuwa flat Lazima zanzibar pangeonekana
Kwani Mkuu unadhani kinachokufanya usiione ni nini??? Ushawahi kuitazama meli inapotoka sehemu kisha kwenda sehemu nyingine??
 
Kifupi ni kwamba hizo picha zote ni za kutengeneza kupitia Computer, hakuna picha hapo ya uhalisia hata moja.

Hivi Mkuu, ww na akili zako timamu kweli kabisa uwe kwenye kitu kinachomove kwa kasi kubwa usifeel chochote kile??? Kama ulishawahi kupanda ndege na kwenda masafa marefu wale mapilot huwa wanaweka mode ya ndege kujiendesha yenyewe kisha wao wanapumzika, sasa swali la kujiuliza ni hili. Kama dunia ipo kama chungwa kwanini kuna auto pilot ktk ndege? Rubani anakaa masaa kadhaa angani na haigusi ndege kwa chochote, dunia ikiwa kama chungwa si ina maana ndege inaweza ikapotea ktk uso wa dunia?
Katika karne hii 21, inashangaza kuona kuna watu bado wanafikra za karne ya kumi, Afrika?!???!.
 
Back
Top Bottom