Watanzania tuna unafiki mwingi ndani yetu... hatupendi kuambiana ukweli ili kujirekebisha utakuta mtu anachukia kuambiwa ukweli.....we need God kwakweli ili tubadilike ndani yetu ...maana ni heri mtu yule anayekwambia ukweli au anaesimamia ukweli kuliko watu wanaokaa vilinge kusemana semana(mateto) .....
Ni bora uwe mkweli ukose marafiki kuliko kua na marafiki wengi wanafikiukiwa mkweli unaweza kosa marafiki
naona wengine wanashiriki tu unafiki kwa kuhofia hili
Hamna tabia ambayo naichukia maishani mwangu kama unafikiWatu wengi walioshi nchi za nje ya Tanzania
hata nchi za Africa tu kama sisi wanasema hiki kitu
tunacho zaidi watanzania..ni kama utamaduni hivi''
Ntakupa mifano hai ambayo binafsi nimeshuhudia..
kuna office nilikuwa nafanya kazi..kulikuwa na jamaa
mmoja office nzima 'anajulikana' kwa uvivu
kutokuja kazini...anaweza kuja kazini siku mbili tu kwa wiki
na akija anakuja kuomba ruhusa anaumwa...
sasa cha ajabu watu wote waliokuwa wanamlalamikia hawataki
kumripoti kabisa kwa HR...HR alikuwa ofisi ingine hapo ni kama branch hivi....Nilipoamua mimi kumripoti jamaa kilichotokea
wale waliokuwa wanalalamika wote wakanishangaa mimi
kwa 'roho ngumu' na ukatili wa kutofikiria jamaa akifukuzwa kazi
familia yake itateseka.....nikabaki mdomo wazi....hii culture ya unafiki mbona tunayo sana?
Nyingine mtaani...kuna mtaa tuli organize Ulinzi hapo mtaani
tukaajiri watu wa kulinda tunawalipa..kwa kuchanga kila nyumba....kilichonishangaza kuna baadhi ya watu walipokuwa
hawalipi...na watu wengi wanalalamika chinichini...
siku moja nikawataja tu wasiolipa waziwazi huku wapo wanasikia
wale walikuwa wanalalamika wakageuka kuwa nilichokifanya
sio kizuri...tungewavumilia tu hadi wangeona aibu wenyewe..
dah kwakweli hapo nikabaki tena mdomo wazi na huu utamaduni wetu wa unafiki..kitu kinakukera hutaki kuonekana
unakereka..saa zote unataka kuonekana mwema kwa kila mtu..
nimejiuliza sana why sisi watanzania huu utamaduni tunao sana?
Sasa tangu lini dini ikahamasisha unafiki??Utamaduni wenye mizizi ya kidini ni Mzigo
Umenikumbusha k7na siku miaka mingi kidogo, nilikuwa naongelea uzembe serikalini.
Nikachambua wizara fulani, nikasema hapa kwa kufuata uwajibikaji Waziri alitakiwa kujiuzulu.
Uncke wangu mmoja alinitazama akaniambia ujue na hawa mawaziri wana familia zao zinawategemea.
Yani hilo ndilo lilikuwa la muhimu kabisa kwake.
Nikashangaa sana, kama wana famikia zinawategemea mbona wanafanya kazi kwa uzembe.
Nafikiri kuna generation fulani inaona kazi ni sehemu ya haki ya mtu kupata mshahara (well, to some extent ni sawa, kika mtu ana haki ya kufanya kazi ambayo ana uwezo nayo kwa kipaji chake, this is a basic human right). Lakini haki huwa zinakuja na wajibu, haki ya kupata kazi inakuja na wajibu wa kufanya kazi.
Nimeipends sana hio Cole, ni concrete evidence ya comment yangu iliyopita.
Mnaomshambulia mtoa mada kwa comments zake kwenye mada nyinginezo naona kama mnamuonea,
Mfano wa huyo mwanamke mchepukaji je aliyekuww akimsema huyo mwanamke yupo humu? Nilidhani labda mwanamke husika aliyekuwa akisemwa angetajwa jina lake ama ID yake humu kuwa wewe fulani unachepuka na huyu mtoa mada akapost vile ndo ingekuwa halali kuwa nae ni mnafiki tu kama wengine anaowazungumzia
Mtaamini vipi yule mtoa mada kama alikuwa anazungumzia hadithi tu na sio uhalisia
Nilivyomwelewa mtoa mada anashangazwa na watu wanaolalamikia tabia mbovu za watu katika jamii husika pasipo kuwakabili wenye tabia hizo ili wabadillike wanabaki wananung'unika pembeni na kuwachekea tu,,, huu ndo unafiki wenyewe
Mtu kachepuka huko mtaani mchane huko huko aliko unapoleta humu bila kumkanya huko huo nao ni unafiki
Yes na mie ndo nilivyokuelewa, watu kulalamika ama kukerwa kuhusu ubovu wa tabia za watu fulani pembeni pasipo kuchukua hatua za kuwabadilisha lakini akitokea mkweli mmoja akamsema muhusika hao hao wakerwaji wanaanza kumlalamikia huyu mkweli na kumuacha muovu ilhali wanakerwa na maovu yake(Unafiki)Halafu nazungumzia tabia zinazotuathiri wote
ukiwa mlevi but unarudi zako kimyakimya kwako sioni kama inanihusu
lakini ukiwa jambazi na unaleta majambazi wenzio mtaani hapo
kunyamaza hadi watu waibiwe ni unafiki na hatari binafsi mapenzi naona ni kitu
cha watu wawili..unaweza ripotia mtu anachepuka kumbe mhusika anajua siku nyingi na hataki wengine wajue
Wewe waTz tuache ka tulivyo, utaumia tu ubongo wako, Unakuta abiria anahadithia:
''nilijua tu kuwa gari itapata ajali maana wakati napanda niliona tairi ni kipara kweli halafu sasa dreva akawana anaendesha speed kali, nikawaza hii speed na zile tairi Mmh? Ila nashukuru Mungu sijaumia sana''.
Haya ndio mambo ya kizungu nayokuambiaga ujifunze