Kwa nini Watanzania wengi tuko hivi?

Kwa nini Watanzania wengi tuko hivi?

Sisi culture yetu ukijumlisha na siasa yetu ya ujamaa ndio zinapelekea yote hayo.

Western culture inasisitiza sana kwenye ufanyaji kazi. Mtoto akifika umri flani tu anaondoka nyumbani anaenda kupambana.

Culture yetu ipo very accommodating kwenye hizo uvivu na kutowajibika.

Nakumbuka kuna mtu alikuwa analalamika kwamba kuna mwenzao kamripoti mfanyakazi mwingine kwa kuja kazini amelewa. Anaona jamaa ni mnoko. Na huyo jamaa ( mlevi) ndio ilikuwa mazoea yake kuja kazini kalewa.
 
Hakuna kitu zaidi ya unafiki
Watu wengi walioshi nchi za nje ya Tanzania
hata nchi za Africa tu kama sisi wanasema hiki kitu
tunacho zaidi watanzania..ni kama utamaduni hivi''

Ntakupa mifano hai ambayo binafsi nimeshuhudia..
kuna office nilikuwa nafanya kazi..kulikuwa na jamaa
mmoja office nzima 'anajulikana' kwa uvivu
kutokuja kazini...anaweza kuja kazini siku mbili tu kwa wiki
na akija anakuja kuomba ruhusa anaumwa...

sasa cha ajabu watu wote waliokuwa wanamlalamikia hawataki
kumripoti kabisa kwa HR...HR alikuwa ofisi ingine hapo ni kama branch hivi....Nilipoamua mimi kumripoti jamaa kilichotokea
wale waliokuwa wanalalamika wote wakanishangaa mimi
kwa 'roho ngumu' na ukatili wa kutofikiria jamaa akifukuzwa kazi
familia yake itateseka.....nikabaki mdomo wazi....hii culture ya unafiki mbona tunayo sana?

Nyingine mtaani...kuna mtaa tuli organize Ulinzi hapo mtaani
tukaajiri watu wa kulinda tunawalipa..kwa kuchanga kila nyumba....kilichonishangaza kuna baadhi ya watu walipokuwa
hawalipi...na watu wengi wanalalamika chinichini...
siku moja nikawataja tu wasiolipa waziwazi huku wapo wanasikia
wale walikuwa wanalalamika wakageuka kuwa nilichokifanya
sio kizuri...tungewavumilia tu hadi wangeona aibu wenyewe..
dah kwakweli hapo nikabaki tena mdomo wazi na huu utamaduni wetu wa unafiki..kitu kinakukera hutaki kuonekana
unakereka..saa zote unataka kuonekana mwema kwa kila mtu..

nimejiuliza sana why sisi watanzania huu utamaduni tunao sana?
 
Sio umbea jamaa alirnda kusema ukweli ambao watu wengine hawawezi
Huyo jamaa kutokuja kazini kwake kulikua kunakupunguzia nini exactly?

Ungemfata umuulize tatizo nini kwanza, changamoto ziko kibao.
Bila kumuuliza mtu tatizo personally afu ukaenda kumchoma huo ni UMBEA
 
Wanaomshukia mleta mada wote ni wapuuzi, wanafiki wakubwa.
Nimekuwa nikipenda sana kutumia maneno kwamba waTanzania wengi tunapenda sana kuomba, kupenda kupendwa ama kujipendekeza, sisi ni wavivu na tunapenda sana kulalamika.
Maneno haya nimekuwa nikiyasema sana na haya wakati mwingune niliyatumia humu ndani (Jf), lakini cha ajabu nilishukiwa kwa maneno kama mleta mada alivyo shukiwa.
 
Watu wengi walioshi nchi za nje ya Tanzania
hata nchi za Africa tu kama sisi wanasema hiki kitu
tunacho zaidi watanzania..ni kama utamaduni hivi''

Ntakupa mifano hai ambayo binafsi nimeshuhudia..
kuna office nilikuwa nafanya kazi..kulikuwa na jamaa
mmoja office nzima 'anajulikana' kwa uvivu
kutokuja kazini...anaweza kuja kazini siku mbili tu kwa wiki
na akija anakuja kuomba ruhusa anaumwa...

sasa cha ajabu watu wote waliokuwa wanamlalamikia hawataki
kumripoti kabisa kwa HR...HR alikuwa ofisi ingine hapo ni kama branch hivi....Nilipoamua mimi kumripoti jamaa kilichotokea
wale waliokuwa wanalalamika wote wakanishangaa mimi
kwa 'roho ngumu' na ukatili wa kutofikiria jamaa akifukuzwa kazi
familia yake itateseka.....nikabaki mdomo wazi....hii culture ya unafiki mbona tunayo sana?

Nyingine mtaani...kuna mtaa tuli organize Ulinzi hapo mtaani
tukaajiri watu wa kulinda tunawalipa..kwa kuchanga kila nyumba....kilichonishangaza kuna baadhi ya watu walipokuwa
hawalipi...na watu wengi wanalalamika chinichini...
siku moja nikawataja tu wasiolipa waziwazi huku wapo wanasikia
wale walikuwa wanalalamika wakageuka kuwa nilichokifanya
sio kizuri...tungewavumilia tu hadi wangeona aibu wenyewe..
dah kwakweli hapo nikabaki tena mdomo wazi na huu utamaduni wetu wa unafiki..kitu kinakukera hutaki kuonekana
unakereka..saa zote unataka kuonekana mwema kwa kila mtu..

nimejiuliza sana why sisi watanzania huu utamaduni tunao sana?
ishi kitanzania mkuu achana na kujifanya Mandela
 
Masuala ya mapenzi unaweza sema ni kitu binafsi zaidi
mimi sipendi wanawake waliojichubua lakini siwezi kukulaumu wewe ukichukua
mwanamke aliejichubua
sio sawa na jambo linalo tuathiri wote
mfano uwe unachafua mtaa kwa kutupa takataka na zinatuathiri wote
hapo ni kinyamaza huku sipendi ndo unafiki wenyewe
au nipinge watu kuja kukuambia live kwenye kikao huo ndo unafiki ninao ongelea
mapenzi ni kitu binafsi....

sipendi makahaba lakini wewe ukioa khaba ambae hajatulia hainihusu
Naam The Boss nimekuelewa vizuri sana naamini hata mimi ulinielewa vizuri sana kwenye comment yangu ya kwanza.

Mada inaongelea unafiki au kwa lugha nyingine ni ile hali ya kuwa two-faced. Haukubaliani na kitu fulani leo halafu kitu kitu hicho unakuja kuona hakina tatizo siku nyingine.

Na huo mfano wangu wa mapenzi ni sahihi kabisa haijalishi kama mapenzi ni suala personal au kinyume chake. Mtu anakemea uchepukaji kwenye mada hii, mtu huyo huyo unamkuta kwenye mada nyingine anatetea uchepukaji.
 
Sisi culture yetu ukijumlisha na siasa yetu ya ujamaa ndio zinapelekea yote hayo.

Western culture inasisitiza sana kwenye ufanyaji kazi. Mtoto akifika umri flani tu anaondoka nyumbani anaenda kupambana.

Culture yetu ipo very accommodating kwenye hizo uvivu na kutowajibika.

Nakumbuka kuna mtu alikuwa analalamika kwamba kuna mwenzao kamripoti mfanyakazi mwingine kwa kuja kazini amelewa. Anaona jamaa ni mnoko. Na huyo jamaa ( mlevi) ndio ilikuwa mazoea yake kuja kazini kalewa .

Aisee!! Halafu unakuta hapo huyo mlalamikaji wala hata hana maslahi yoyote kwa huyo mlevi zaidi ya kukelwa tu harufu mbaya ya pombe kila wakutanapo. Kuna watu wana huruma za kipuuzi sana.
 
Mtu kama haji kazini au akija amelewa ina maana kazi yake itafanywa na mtu mwingine huku yeye atapokea mshahara kama kawaida huku kazi hafanyi inavyotakiwa kitu ambacho ni unfair kwa wengine ambao wanafanya kazi zao na kumsaidia huyo mtoro na mlevi....kumripoti ni sawa kabisa
 
Naam The Boss nimekuelewa vizuri sana naamini hata mimi ulinielewa vizuri sana kwenye comment yangu ya kwanza.

Mada inaongelea unafiki au kwa lugha nyingine ni ile hali ya kuwa two-faced. Haukubaliani na kitu fulani leo halafu kitu kitu hicho unakuja kuona hakina tatizo siku nyingine.

Na huo mfano wangu wa mapenzi ni sahihi kabisa haijalishi kama mapenzi ni suala personal au kinyume chake. Mtu anakemea uchepukaji kwenye mada hii, mtu huyo huyo unamkuta kwenye mada nyingine anatetea uchepukaji.

Mimi sikubaliani na wewe kuvuta bangi...lakini unavuta bangi ndani kwako
na husumbui mtu wala kutukana hapo kweli hainihusu..
lakini kama sikubaliani na wewe kufungua mziki kwa nguvu halafu kwa sababu unanipigia kelele halafu nawalaumu wengine wakikupeleka polisi kwa hilo ni unafiki
 
Huyo jamaa kutokuja kazini kwake kulikua kunakupunguzia nini exactly?

Ungemfata umuulize tatizo nini kwanza, changamoto ziko kibao.
Bila kumuuliza mtu tatizo personally afu ukaenda kumchoma huo ni UMBEA

Kutokuja kwake kazini maana yake tunalazimika kusema uwongo kuwa kaja
au tuseme kweli hajafika tupate lawama
na pili kazi yake itabidi mwingine afanye wakati mwisho wa mwezi yeye analipwa
wewe unaona sawa na fair?
 
Watu wengi walioshi nchi za nje ya Tanzania
hata nchi za Africa tu kama sisi wanasema hiki kitu
tunacho zaidi watanzania..ni kama utamaduni hivi''

Ntakupa mifano hai ambayo binafsi nimeshuhudia..
kuna office nilikuwa nafanya kazi..kulikuwa na jamaa
mmoja office nzima 'anajulikana' kwa uvivu
kutokuja kazini...anaweza kuja kazini siku mbili tu kwa wiki
na akija anakuja kuomba ruhusa anaumwa...

sasa cha ajabu watu wote waliokuwa wanamlalamikia hawataki
kumripoti kabisa kwa HR...HR alikuwa ofisi ingine hapo ni kama branch hivi....Nilipoamua mimi kumripoti jamaa kilichotokea
wale waliokuwa wanalalamika wote wakanishangaa mimi
kwa 'roho ngumu' na ukatili wa kutofikiria jamaa akifukuzwa kazi
familia yake itateseka.....nikabaki mdomo wazi....hii culture ya unafiki mbona tunayo sana?

Nyingine mtaani...kuna mtaa tuli organize Ulinzi hapo mtaani
tukaajiri watu wa kulinda tunawalipa..kwa kuchanga kila nyumba....kilichonishangaza kuna baadhi ya watu walipokuwa
hawalipi...na watu wengi wanalalamika chinichini...
siku moja nikawataja tu wasiolipa waziwazi huku wapo wanasikia
wale walikuwa wanalalamika wakageuka kuwa nilichokifanya
sio kizuri...tungewavumilia tu hadi wangeona aibu wenyewe..
dah kwakweli hapo nikabaki tena mdomo wazi na huu utamaduni wetu wa unafiki..kitu kinakukera hutaki kuonekana
unakereka..saa zote unataka kuonekana mwema kwa kila mtu..

nimejiuliza sana why sisi watanzania huu utamaduni tunao sana?
Nyerere alituharibu sana na Ujamaa. Ubepari ungeanza siku nyingi tusingefika huku.
 
Wabongo ni wanafiki tu unaona hata mambo anayofanya Magu wanasifia kweli kweli ila wakija upande mwingine wanasema maisha magumu wanalalamika tu

Ila muda wakushangilia wanashagilia tu
 
Mbona zipo nchi watu wachamungu lakini huu utamaduni hawana sana kama sisi?
Ungetulia ungenielewa_Namaanisha hivi..'Dini hushape namna watu wanavyofikiri'_ Ngoja nijaribu kukuvuta nilipo kwa mfano kidogo;

Mtu anafundishwa toka wakati yupo mdogo kuwa

'hakuna aliye mkamilifu chini ya jua_mkamilifu ni mungu tu'

Tena 'usihukumu nawe usije ukahukumiwa'

Tena 'mpende jirani yako kama nafsi yako'

Na sio siku moja ni kizazi hadi vizazi hivyo unakuwa utamaduni

Halafu bado unashangaa kwanini watu wanaleana maofisini kweli mtoa post...!?

Sio kwamba ni wanafiki wenzako wanatazamia kwa subira kwamba ipo siku atabadilika kwakuwa naye ni mtu

Tatizo linageuka kwako sasa kwakuwa umagharibi umekuingia na unaishi na waswahili na hii ndio maana halisi ya uswahili 'kuleana' upo.!
 
Dini zinasema asiyefanya kazi na asile. Usitetee uzembe kwa kivuli cha dini. Hayo ni matatizo yetu.

Back
Top Bottom